id
stringlengths
1
5
label
int64
0
17
text
stringlengths
1
221
label_text
stringclasses
18 values
1898
8
zima taa ya roshani
iot
1899
8
angaza mwanga kwa asilimia sabini
iot
1900
4
kile inayovuma katika teknolojia leo
news
1903
4
niambie kuhusu mechi ya soka ya leo
news
1905
8
punguza mwangaza hadi asilimia arubaini
iot
1906
10
punguza sauti
audio
1907
10
boresha uwazi wa sauti
audio
1908
14
hali ya agizo langu kwenye hoteli
takeaway
1909
14
sasisho la utoaji wa mgahawa
takeaway
1912
16
weka kengele ya saa kumi na moja asubuhi
alarm
1916
8
kahawa iko tayari
iot
1918
17
hali ya hewa iko aje kwa siku saba zijazo
weather
1919
17
niambie kuhusu hali ya hewa wiki hii
weather
1920
17
hali ya hewa ya wiki ya shule iko aje
weather
1921
9
jioni njema
general
1922
5
ni saa ngapi nairobi
datetime
1923
5
nionyeshe wakati wa sasa wa nairobi
datetime
1926
8
washa kifyonzi cha roboti
iot
1927
8
zima plagi ya wemo ndani ya chumba cha michezo
iot
1929
3
nipatie baadhi ya muziki
play
1930
3
cheza baadhi ya ngoma
play
1931
3
kucheza orodha ya nakupenda malaika
play
1932
17
je hali ya hewa ni tulivu leo
weather
1935
15
nani mwandishi wa wimbo
music
1936
17
je kunanyesha huko boston
weather
1937
17
nipe hali ya hewa ya manhattan
weather
1938
17
ripoti ya hali ya anga ya mombasa
weather
1939
3
fungua wimbo kutoka kwa orodha iliyotolewa
play
1942
8
amilisha kifyonzi
iot
1944
8
zima taa
iot
1946
10
ongeza sauti
audio
1947
10
punguza sauti
audio
1949
4
kuna habari zozote hivi punde
news
1950
4
habari zozote zinazochipuka
news
1951
5
saa za nairobi ni gani
datetime
1952
5
saa ngapi huko mombasa
datetime
1954
10
ongeza sauti hadi asilimia hamsini
audio
1955
15
rudia wimbo unaocheza sasa
music
1956
9
halo habari za leo
general
1957
9
olly niambie kamsa zangu
general
1958
4
pata habari za hivi punde
news
1959
4
pata habari za hivi punde
news
1961
8
itakuwa nzuri ikiwa mwanga utakuwa manjano
iot
1963
3
hey siri nichezee orodha ya kiotomatiki kulingana na nyimbo zilizoskika katika programu ya gaana wiki hii
play
1964
3
hey olly kucheza mimi orodha ya kucheza automated kulingana na nyimbo kuskika katika programu ya gana wiki hii
play
1965
3
nichezee orodha ya kucheza ya daudi kabaka ya nyimbo ziliyozinduliwa mwaka huu
play
1966
8
badilisha rangi ya taa iwe kijani
iot
1967
8
badilisha rangi ya taa iwe manjano
iot
1968
17
nje kunanyesha
weather
1969
17
leo ni siku ya jua au la
weather
1970
15
rudia wimbo huu mara tatu
music
1972
8
zima taa kuu
iot
1973
8
zima taa ya ukumbi
iot
1974
8
zima mwanga wa karakana
iot
1975
16
nimeweka kengele yoyote ya leo
alarm
1976
16
kama kuna kengele yoyote imewekwa nifahamishe
alarm
1977
16
tafadhali toa kengele ambayo niliweka ya leo asubuhi
alarm
1978
4
nijulishe kuhusu habari za mechi ya kenya uganda
news
1979
4
kama kuna habari kuhusu siasa ni nini
news
1980
3
cheza muziki ninayopenda zaidi
play
1981
3
tafuta muziki ya gengetone na ucheze
play
1983
16
weka kengele nusu saa kutoka wakati wa chakula changu
alarm
1984
4
niambie matokeo ya uchaguzi ambao ulikuwa uanakuja leo
news
1985
10
tafadhali badilisha sauti na utulize
audio
1986
10
weka wastani wa kifaa hiki
audio
1989
3
weka wimbo wa maboko pamba
play
1990
3
cheza muziki wa john nzenze
play
1991
17
hali ya anga ikoje leo
weather
1992
17
unaweza kuniambia hali ya hewa ya jumatatu
weather
1996
3
unaweza kufungua beatles
play
1997
4
unaweza tafuta kibaki
news
1998
4
weka hadithi za uhuru
news
1999
4
zipo sasishoza uhuru
news
2000
8
tafadhali washa kifyonzi changu
iot
2001
8
kama kifyonzi changu hakijawashwa tafadhali washa
iot
2002
8
haraka amilisha kisafishaji cha utupu cha roboti changu
iot
2004
10
usiku mwema
audio
2005
14
je inaweza kubeba chakula kutoka java
takeaway
2008
3
tafadhali cheza ndaya
play
2010
17
wiki hii hali ya hewa itakuwa ya jua au la
weather
2011
9
hujambo
general
2012
15
jina la wimbo huu unaochezwa sasa hivi
music
2013
15
nani muimbaji wa wimbo huu
music
2014
15
ni yapi maandishi ya wimbo huu unaocheza
music
2015
8
punguza mwangaza wa taa za bafu
iot
2018
8
badilisha taa kwa toni nyekundu
iot
2019
8
badilisha taa hadi buluu hadi kijani hadi manjano
iot
2020
10
ongeza sauti kwa viwango viwili
audio
2021
10
punguza sauti iwe nyororo sana
audio
2022
5
leo ni saa ngapi na siku gani
datetime
2023
5
saa na tarehe ya sasa tafadhali
datetime
2024
8
anza kutengeneza kahawa
iot
2025
8
tafadhali tengeneza kahawa kulingana na upendeleo wangu wa awali
iot
2027
5
unaweza kuangalia saa
datetime
2028
15
ni muziki gani unaocheza sasa hivi
music
2029
15
niambie wimbo huu
music
2031
15
huo ni wimbo upi
music
2032
15
niambie jina la wimbo huo
music
2033
14
hali ya sasa hivi ya agizo la kubeba
takeaway
2034
14
chakula changu kiko wapi
takeaway