id
stringlengths
1
5
label
int64
0
17
text
stringlengths
1
221
label_text
stringclasses
18 values
2490
4
nipe habari kutoka kwa chanzo
news
2491
4
kuna habari gani kutoka kwa kbc
news
2492
4
habari za kila siku kutoka kwa kbc
news
2493
4
unaweza leta hadithi za habari ya sasa
news
2494
4
je kuna njia ya kuangalia ikiwa kuna hadithi za habari zozote mpya za kusomwa
news
2500
8
olly tafadhali zima soketi mahiri
iot
2501
8
tafadhali zima soketi mahiri
iot
2502
8
washa soketi mahiri
iot
2503
8
unaweza zima soketi mahiri
iot
2504
16
weka kengele ya wakati
alarm
2505
16
weka kengele yangu ya muda
alarm
2506
16
kengele ilyowekwa ya muda
alarm
2507
16
weka kengele yangu ya jumanne saa kumi na mbili jioni
alarm
2508
16
nahitaji kuweka kengele ya ijumaa ijayo saa sita mchana
alarm
2509
10
tafadhali kuwa kimya kwa masaa mawili yafuatayo
audio
2510
10
unyamaze mpaka saa kumi na moja jioni
audio
2511
10
nakuhitaji unyamaze mpaka kesho
audio
2513
8
nawezaje kuweka kipima saa kwenye mashine yangu ya kahawa
iot
2516
17
hali ya hewa iko aje wiki hii
weather
2519
8
nataka kuwasha kifyonzi cha roboti
iot
2521
4
nionyeshe kinachoendelea
news
2522
4
nini na kisanga
news
2523
4
nini kinaendelea karibu hapa
news
2524
14
naweza tuma agizo
takeaway
2525
14
wana huduma za kubeba chakula
takeaway
2528
3
alexa cheza ohangla
play
2529
3
weka nyimbo tano za kwanza zilizosikizwa zaidi kwenye orodha ya kucheza yangu kwa foleni kutoka inayoskiizwa zaidi hadi
play
2530
3
nichezee wimbo wa rap na rock moja baada ya nyingine
play
2532
3
cheza muziki wa nadia mukami
play
2533
3
baada ya wimbo huu weka metallica
play
2534
3
nataka wimbo sura yako ufuate
play
2535
3
fungua spotify an ucheze orodha ya tano
play
2536
3
fungua orodha ya nyimbo ya tano
play
2537
3
cheza orodha ya tano
play
2539
14
ni lini napaswa kutoka ndo nichukwe agizo yangu
takeaway
2541
8
taa za bluu tafadhali
iot
2543
17
hali ya hewa iko aje karibu nami
weather
2547
4
ni nini vichwa vya habari kutoka kwa habari za bob
news
2549
4
nimeongeza tu royal media services kuna chochote kipya huko
news
2550
8
badilisha taa nyumbani kwangu ziwe za machungwa
iot
2552
5
nahitaji saa ya siku
datetime
2554
5
siku ya wapendanao iko siku gani ya wiki
datetime
2555
5
tarehe ya kesho ni nini
datetime
2556
5
kesho ni tarehe ngapi
datetime
2557
17
hali ya hewa mombasa iko vipi
weather
2559
3
cheza muziki wa gurdian angel
play
2561
3
cheza orodha ya kucheza ya rock
play
2565
16
nahitaji kengele iwekwe ya jumapili saa kumi na moja asubuhi
alarm
2567
8
zima soketi ya wemo
iot
2568
4
kuna habari zozote zinazochipuka kutoka kwa k. b. c.
news
2569
4
angalia hadithi za habari za karibuni kwenye k. b. c.
news
2570
8
tafadhali zima taa sasa
iot
2571
8
unaweza tafadhali zima taa kuzima
iot
2572
8
badilisha taa kuwa kijani
iot
2574
3
cheza mziki wa nviiri the storyteller niko sawa
play
2575
3
cheza ukichanganya nyimbo zangu slow za otile brown kutoka spotify
play
2577
8
zima taa jikoni tafadhali
iot
2579
10
hali ya utulivu kwa masaa manne
audio
2580
10
tafadhali nyamaza mpaka nikuambie uwache kunyamaza
audio
2581
10
hali kimya
audio
2584
15
niambie ni nani aliandika huu wimbo
music
2585
10
anzisha redio kwa sasa kwa sauti ya chini
audio
2586
15
tafadhali hifadhi hiki kituo kwa pandora
music
2587
15
ongeza hii kwa kituo cha pandora
music
2589
4
tafadhali unaweza kunipa muhtasari wa vichwa vya habari vya hivi punde
news
2592
10
niko na mkutano usiku wa leo saa moja jioni hivyo nyamazisha muziki kwa saa moja
audio
2593
4
nijulishe habari ya karibuni ya uhuru kenyatta
news
2595
4
kuna habari mpya yoyote ya mazingira
news
2596
4
nini kinaendelea kwenye habari za kimataifa
news
2597
4
nijulishe habari za kimataifa
news
2601
8
tafadhali zima taa ya ukumbi
iot
2602
16
nitengenezee kengele ya saa kumi na moja asubuhi kesho
alarm
2603
16
weka kengele ya masaa mawili kutoka sasa
alarm
2604
16
weka kengele ya saa moja kutoka sasa
alarm
2606
3
cheza muziki wangu ninaoupenda sasa hivi
play
2607
5
leo ni machi tarehe sita
datetime
2608
14
ni kitu gani kilichotokea kwa agizo langu la pizza imekuwa saa moja tangu nilipoagiza
takeaway
2609
14
kumbuka nimeangizia keki ya sherehe ya kuzaliwa leo usiku nijulishe hali tafadhali
takeaway
2612
5
ni nini leo
datetime
2613
5
leo ni ya tarehe nne au ya tano
datetime
2614
17
mvua itanyesha siku yangu ya kuzaliwa
weather
2616
17
je nitalazimika kuwa na wasiwasi kuhusu majembe ya theluji yakizika gari langu kwenye barabara kuu ya jumanne
weather
2617
4
tafadhali nijulishe kunapokuwa na sasisho la makala ya ajali ya ndege
news
2618
4
weka arifu kutoka daily nation ya hali ya hewa
news
2619
4
google ongeza taarifa kutoka citizen ya hali ya hewa
news
2624
4
kuna nini na magazeti
news
2626
4
nilisikia kuhusu habari zinazochipuka kuhusu mtoa huduma wetu mpya tafadhali angalia habari na unisasishe
news
2627
10
badilisha sauti ya kicheza muziki changu hadi asilimia themanini
audio
2628
10
kupunguza kiwango cha kicheza muziki kwa asilimia hamsini ya kiwango chake cha sasa
audio
2629
14
agiza artcafe
takeaway
2630
14
agiza chakula cha kichina
takeaway
2631
14
onyesha mikahawa iliyo karibu inayouza vyakula vya kubeba
takeaway
2632
5
nijulishe tarehe ya leo katika muundo wa marekani
datetime
2633
5
tarehe ya leo tafadhali
datetime
2634
10
punguza sauti ya vipaza sauti
audio
2635
10
ongeza sauti hadi hamsini
audio
2636
10
nyamazisha sauti sasa
audio
2637
4
habari za uwazi
news
2640
4
niambie kuhusu tupu
news
2642
4
kuna kitu tofauti leo kuhusu upendo
news