id
stringlengths
1
5
label
int64
0
17
text
stringlengths
1
221
label_text
stringclasses
18 values
2942
9
hey nini leo
general
2944
8
alexa zima taa iliyo sebuleni
iot
2945
8
zima taa sebuleni
iot
2947
8
alexa zima soketi ya wemo ya jikoni
iot
2948
15
tafadhali hifadhi wimbo wa sasa kwa zilizo pendwa sana
music
2950
15
hifadhi wimbo huu kama wimbo nipendao zaidi
music
2951
3
cheza muziki inayohusiana na ule muziki nilikuwa nikisikiliza leo asubuhi
play
2952
3
alexa cheza muziki inayohusiana na muziki niliskiza asubuhi
play
2953
3
cheza muziki hiyo mimi napenda
play
2954
15
mimi napenda muziki wa electronic
music
2956
16
kengele zangu ni za saa ngapi
alarm
2958
8
washa kifyonzi cha roboti
iot
2961
15
rudia zote
music
2964
3
tafadhali cheza nyimbo zote za sauti sol
play
2966
8
zima taa za ofisi
iot
2967
8
zima taa za ofisi
iot
2968
3
cheza kenyan boys chior
play
2969
3
cheza malaika ya nyashinski
play
2970
3
tafadhali cheza albamu yoyote ya kenya boys choir
play
2972
8
olly unaweza kuanza kutengeneza
iot
2973
8
anza kutengeneza kahawa
iot
2974
15
nyimbo zingine za msanii huyu
music
2976
8
badilisha rangi zako ziwe kijani
iot
2977
8
badilisha rangi yako iwe kitu tofauti
iot
2980
4
kinachoendelea katika habari za ulimwengu
news
2981
4
tafuta na unisomee tukio za dunia zinazoendelea leo
news
2982
4
nipe habari za kimataifa
news
2984
16
futa kengele iliyopangwa
alarm
2986
16
olly futa kengele
alarm
2987
14
je jiji hufikisha inavyopaswa
takeaway
2988
14
naweza letewa kutoka java
takeaway
2989
14
chakula cha kupakia kutoka java
takeaway
2990
4
teknolojia ya habari
news
2994
3
endeleza wimbo unaofuata tafadhali
play
2996
12
ni nini kipya katika soko la hisa
qa
2997
12
nini baadhi ya sasisho kuhusu soko la hisa
qa
2998
17
hali ya hewa dandora nairobi
weather
2999
17
hali ya hewa ya san antonio texas kwa siku nane zijazo
weather
3000
17
linganisha hali ya hewa nyumbani na san antonio texas
weather
3003
3
cheza zote na elani band
play
3005
15
huu wimbo uko kwenye c.d gani
music
3006
15
jina la msanii aliyetengeneza wimbo huu ni nani
music
3007
8
olly unaweza ongeza taa tafadhali
iot
3009
8
nahitaji mwanga uongezwe unaweza kufanya hivyo
iot
3010
8
olly nirudishie taa
iot
3012
17
tafadhali niambie hali ya hewa
weather
3013
3
tafadhali cheza muziki
play
3014
10
tafadhali ongeza sauti
audio
3015
3
cheza uradi ijayo
play
3016
3
ongeza sura yako nzuri kwenye foleni
play
3017
14
je swahili kutoa
takeaway
3019
14
olly nitafutie chakula
takeaway
3022
8
zima soketi
iot
3023
8
washa soketi
iot
3024
8
washa plagi
iot
3025
17
hali ya hewa ya nairobi
weather
3026
17
hali ya hewa iko aje kwa wiki ijayo huko chicago
weather
3027
17
mkusanyiko wa utabiri wa theluji buffalo
weather
3032
17
olly hali ya hewa ya sasa iko aje
weather
3033
17
hali ya hewa ya sasa ikoje
weather
3035
17
olly hali ya hewa ya siku inayofuata
weather
3036
17
hali ya hewa kwa siku inayofuata
weather
3038
4
olly ukurasa wa mbele wa makala tafadhali
news
3040
4
mada motomoto inayovuma
news
3042
8
zima taa
iot
3043
16
weka upya kengele
alarm
3044
16
kengele imewekwa saa ngapi
alarm
3047
14
tafadhali unaweza niagizia chakula kutoka jumia
takeaway
3048
14
olly ni filamu zipi zinazochezwa nairobi cinema
takeaway
3049
14
na je pizza pizza leo jioni tafathali itisha pepperoni kubwa
takeaway
3051
8
olly badilisha rangi ya taa yangu iwe buluu na tafadhali zima taa ya jikoni
iot
3053
8
zima taa kwa chumba cha kulala cha watoto tafadhali kisha ubadilishe taa kwenye chumba changu kiwe nyekundu
iot
3054
4
nini mpya na muundo wa nguo
news
3055
4
je paok alishinda liverpool
news
3057
4
sijapata habari zangu za kila siku bado naomba unieleza kwa ufupi
news
3058
4
ni vichwa vya habari vipi vya hivi karibuni kutoka newsource hii
news
3059
4
ni habari gani mpya kutoka kwa gazeti hili
news
3061
4
nataka kujua ni nini taarifa hii ya chanzo kipya
news
3062
16
tafadhali toa hii kengele
alarm
3063
16
ningependa hii kengele itolewe kabisa
alarm
3064
16
kengele hii yafaa kunyamazishwa milele
alarm
3065
9
wacha nisikie mzaha
general
3066
14
niagizie baadhi ya pilau
takeaway
3067
14
niitishie pilau ya jumia
takeaway
3068
14
niagizie bhajia ya jumia
takeaway
3069
14
iagizie baadhi ya chakula cha kiafrika
takeaway
3070
10
tafadhali nyamazisha sauti
audio
3071
10
nyamazisha sauti
audio
3072
10
tafadhali ningependa kunyamazisha vipaza sauti
audio
3073
10
zima sauti
audio
3074
10
zima sauti
audio
3075
10
simamisha sauti
audio
3076
8
zima plagi
iot
3078
15
maneno ya wimbo huu ni yapi
music
3079
15
unaweza tafuta habari kuhusu muimbaji wa wimbo huu
music
3081
14
nataka kula chapati mbili na soda tafadhali
takeaway
3083
8
tafadhali nishangaze kwa kubabili rangi za taa
iot
3084
8
rangi nyepesi ya taa tafadhali
iot
3085
8
unaweza kunifanyia upendeleo macho yangu yanahisi kukazwa na taa hizi tafadhali unaweza kuibadilisha kuwa rangi isiyoangaza sana
iot
3086
3
cheza wimbo
play