id
stringlengths
1
5
label
int64
0
17
text
stringlengths
1
221
label_text
stringclasses
18 values
7701
2
ondoa matukio yote kwenye kalenda yangu
calendar
7702
2
safisha ratiba yangu
calendar
7704
2
hujambo washa vikumbusho vyako vya mkutano wa kesho saa nne asubuhi
calendar
7705
2
nikumbushe mkutano wangu wa kesho saa kumi alfajiri
calendar
7706
2
nina mkutano kesho asubuhi saa nne tafadhali nikumbushe
calendar
7707
2
nikumbushe kuwa nina mkutano na asha kuhusu hafla ya ola inayofanyika kesho
calendar
7708
16
tafadhali weka kengele ya mkutano wa kesho saa moja asubuhi
alarm
7709
16
tafadhali weka kengele ya mkutano wa kesho saa moja asubuhi
alarm
7713
2
futa matukio yangu yote ya kesho
calendar
7714
2
niko na shughuli kesho kwa hivyo toa matukio yote kwa kalenda yangu
calendar
7715
2
pata anwani ya maonyesho ya hali ya ufukweni ya owit gala
calendar
7716
2
weka sherehe ya siku ya kuzaliwa watakapokua abdi na asha kwa kalenda yangu
calendar
7717
2
jaza kalenda yangu na mkutano na nganga na shiro wa desemba tarehe tano saa kumi na moja na nusu jioni
calendar
7719
2
hey panga mkutano na juma kwa ijumaa hii mchana
calendar
7721
2
unaweza kuangalia vikumbusho na kuniambia ni nini kinasubiri
calendar
7722
2
tafadhali niambie siku za kuzaliwa za kina nani zipo kwenye mwezi wa februari
calendar
7724
2
nataka kufanya jambo la kuchekesha kila siku tafadhali weka ukumbusho
calendar
7725
2
eka ukumbusho wa vitu za furaha kila baada ya siku mbili
calendar
7728
2
nikumbushe kuenda kwa duka kesho
calendar
7733
16
niamshe kila siku ya wiki saa moja asubuhi
alarm
7735
2
nahitaji kupanga mkutano na juma
calendar
7736
2
ingiza mkutano na juma kwa jumanne
calendar
7737
2
toa sherehe ya siku ya kuzaliwa ya mbugua kwa kalenda yangu
calendar
7739
2
siendi kwenye sherehe ya siku ya kuzaliwa ya kimani
calendar
7740
2
ondoa sherehe ya kuzaliwa ya musa kwenye kalenda yangu
calendar
7742
11
kuondoa ununuzi wa vyakula kutoka kwa vitu za kufanya kwa orodha ya siku ya jumapili
lists
7743
2
unaweza kuwasili mapema ili nisichelewe kwa miadi yangu
calendar
7744
2
nitapatikana jumapili saa kumi na moja jioni
calendar
7745
2
sherehe ya siku ya kuzaliwa ya wyatt iko saa nne usiku
calendar
7746
2
niko likizo hii wiki
calendar
7748
2
futa tukio yangu zote katika kalenda yangu
calendar
7749
2
weka safari ya duka la mboga inayojirudia kwa kila jumapili
calendar
7750
2
kila jumatatu nikumbushe kutoa nje takataka ya kuchakata
calendar
7752
2
ni nini iko kwenye kalenda yangu leo
calendar
7754
2
panga tukio linalojirudia kwa kalenda yangu
calendar
7756
2
lipi ndilo tukio lifwatalo kwenye kalenda yangu
calendar
7757
2
ni nini kinachofuata katika kalenda yangu
calendar
7758
2
tukio langu lijalo ni lini
calendar
7759
2
tafadhali toa lile tukio kutoka kwa kalenda yangu
calendar
7760
2
litoe hilo tukio kwa kalenda yangu
calendar
7761
2
badilisha kalenda yangu ya leo
calendar
7763
2
ni nini iko kwenye kalenda yangu leo
calendar
7764
2
unaweza tafadhali kufuta kalenda yangu ya matukio yote
calendar
7765
2
kuna njia ya kufuta kalenda yangu
calendar
7770
2
nina vikumbusho vyovyote vilivyowekwa
calendar
7771
2
ratiba yangu ni nini leo
calendar
7772
2
niambie kuhusu mkutano wa wiki hii
calendar
7773
2
ratiba yangu iko aje
calendar
7775
2
ongeza yoga kwenye kalenda yangu ijumaa
calendar
7776
2
ongeza kukimbia kwa kalenda yangu hii alhamisi
calendar
7779
2
nina miadi yoyote mnamo machi tarehe thelathini
calendar
7781
2
nikumbushe nikikosa utaratibu wangu wa kutembea jioni
calendar
7783
2
je nina mchezo wa soka wikendi hii
calendar
7784
2
elezea matukio yaliopangwa
calendar
7785
2
nikumbushe siku ya kuzaliwa ya asha siku tatu kabla ya wakati
calendar
7786
2
nikumbushe wakati wa chakula cha mchana
calendar
7787
2
nikumbushe usiku kabla ya miadi na daktari
calendar
7789
2
usiache nisahau kumpigia juma
calendar
7790
2
tafadhali nikumbushe kuhusu mkutano wa biashara wa saa tano asubuhi
calendar
7791
2
nina mkutano muhimu jumapili hii mchana saa nane mchana usisahau kunikumbusha
calendar
7792
2
pigia sarah
calendar
7793
7
tuma barua pepe kwa sarah kuhusu brunch leo
email
7794
2
je mkutano wa jumatatu saa mbili asubuhi unajumuisha miguna miguna
calendar
7795
2
mkutano wangu wa jumanne asubuhi uko wapi
calendar
7796
2
ni saa ngapi siku ya ijumaa daktari ako na miadi
calendar
7797
2
fungua kalenda yangu
calendar
7798
2
hili litafanyika lini
calendar
7799
2
nionyeshe tukio zilizo ongezwa hivi karibuni
calendar
7800
2
weka ukumbusho
calendar
7802
2
fungua vikumbusho vyangu
calendar
7803
2
fanya ukumbusho unaorudiwa kwa mazoezi yangu ya yoga kila siku saa sita mchana
calendar
7805
2
tafadhali eka ukumbusho wa kila mwezi wa kulipa kodi
calendar
7806
2
kila jumatano nikumbushe kwenda kununua mboga
calendar
7807
2
nisisahau nina mkutano wa mwalimu na wazazi jumatatu hii saa kumi jioni
calendar
7809
2
nafaa kuwa na mkutano mkuu wa idara ijumaa saa tatu asubuhi
calendar
7810
2
ongeza tukio
calendar
7811
2
ongeza tukio
calendar
7812
2
nikumbushe miadi yangu ya daktari wa meno usiku wa kuamkia kesho
calendar
7813
2
ni lini miadi yangu ya daktari wa meno
calendar
7814
6
nionyeshe matukio yajayo katika eneo hili
recommendation
7815
6
nionyeshe matukio yanajiri huko nairobi
recommendation
7816
6
nionyeshe matukio yajayo katika mji wa kiambu
recommendation
7818
2
mimi nina mkutano kesho
calendar
7819
2
je niende soko siku baada ya kesho
calendar
7821
2
toa ukumbusho zote kwa kalenda
calendar
7822
2
kuna mikutano gani leo kwa kalenda yangu
calendar
7823
2
nina nini leo
calendar
7824
2
kuna nini leo
calendar
7825
2
tafadhali panga miadi ya kukata nywele saa saba mchana jumamosi
calendar
7826
2
tafadhali weka ratiba ya miadi kwa daktari kwa uchunguzi wa kibofu ijumaa
calendar
7827
2
tafadhali nikumbushe kumpigia mbithi saa saba mchana siku ya alhamisi
calendar
7828
2
nini ijayo ya kufanya
calendar
7829
2
ni nini kingine kwenye orodha
calendar
7831
2
ondoa miadi yote
calendar
7832
2
je nina miadi ya daktari alhamisi hii
calendar
7833
2
nina mikutano yoyote iliyopangwa wikendi baada ya wiki ijayo
calendar
7834
2
je siku ya mradi wangu wa kwanza kuwadia binti wangu atakua na ukariri
calendar
7835
2
tafadhali ongeza tukio kwenye ratiba yangu
calendar
7837
2
futa zote
calendar
7838
2
kinachoendelea leo saa mbili asubuhi na saa kumi na moja jioni usiku
calendar