id
stringlengths
1
5
label
int64
0
17
text
stringlengths
1
221
label_text
stringclasses
18 values
9000
2
nikumbushe baada ya saa moja niende kununua vitu
calendar
9001
2
panga mkutano na naibu rais wa idara tarehe ishirini na moja machi mwaka wa elfu mbili na kumi na saba
calendar
9003
2
sawa google nahitaji mkutano na cfo alhamisi
calendar
9005
2
weka tukio la maadhimisho ya miaka jumanne
calendar
9006
2
weka tukio la siku ya kuzaliwa kwenye kalenda jumatano
calendar
9007
2
weka tukio la kutoa shukrani liwe ijumaa
calendar
9010
2
siku ya kuzaliwa ipo tarehe kumi na tano mwezi huu
calendar
9012
2
weka arifa mnamo machi tarehe tatu kuhusu mkutano wa kampuni
calendar
9016
2
futa matukio ya kalenda yote
calendar
9017
2
futa kalenda yote
calendar
9018
2
niambie mikutano yangu yote kati ya mei yarehe kumi na tarehe kumi na tatu
calendar
9020
2
wiki ya kwanza ya machi ya mikutano
calendar
9021
2
weka ukumbusho wa mkutano wa ofisi kwa siku tatu zijazo
calendar
9022
2
ongeza kwa kalenda kikumbusho cha kila siku cha kufulia
calendar
9024
2
tukio
calendar
9025
2
kutakia siku ya kuzaliwa
calendar
9026
2
ongeza kwenye kalenda mkutano wa ofisi kwa siku tatu zijazo
calendar
9027
2
ongeza kwenye kalenda miadi ya matibabu kwa siku ya kwanza ya miezi mitano ijayo
calendar
9028
2
ongeza kwenye kalenda ziara ya nyumbani kila siku wiki hii
calendar
9029
9
sherehe kwenye ufuo
general
9031
2
ondoa tukio la mkutano wa ofisi yangu kwa wiki ijayo
calendar
9032
2
tafadhali nipe taarifa wakati nahitaji kuondoka kwenda kwa mkutano
calendar
9033
2
kalenda ya julai tarehe tatu
calendar
9034
2
mkutano kwa kalenda ya julai
calendar
9036
2
ghairi matukio yote ya leo na uniwekee alama kuwa nina shughuli
calendar
9037
2
weka alama kwenye matukio zote ya kalenda yaliyosalia ya leo kama imefutwa
calendar
9038
2
ondoa mkutano wa nairobi
calendar
9039
2
futa ndoa tarehe tatu mwezi wa julai
calendar
9041
2
futa sherehe ya siku ya kuzaliwa
calendar
9044
16
weka kengele ya jumanne saa kumi na moja jioni
alarm
9045
16
kengele saa kumi na moja jioni jumanne
alarm
9046
2
kwa wiki ya ishirini futa matukio yote ya mafunzo
calendar
9047
2
safisha siku yangu tarehe ishirini na tisa
calendar
9048
2
ghairi shughuli za matibabu wikendi hii
calendar
9050
2
ongeza harusi ya monas hata kwenye kalenda yangu jumanne
calendar
9052
2
tukio la kalenda harusi ya mona jumanne
calendar
9055
2
tengeza tukio la ukumbusho ya mkutano na mona siku ya jumanne
calendar
9056
2
alexa weka ukumbusho wa tukio la mkutano na mona jumanne
calendar
9057
2
nikumbushe wakati wa tukio
calendar
9058
2
niambie lini tukio linafanyika
calendar
9060
2
nina vikumbusho gani kwa sasa
calendar
9063
2
ongeza siku ya kuzaliwa ya lee kwenye kalenda tarehe ishirini na mbili juni
calendar
9064
2
weka tukio la kalenda linalojirudia
calendar
9066
2
je nina mchezo aprili saba
calendar
9068
2
mimi nina miadi wiki ijayo
calendar
9070
2
nikumbushe baada ya kumi na tano kabla ya mkutano kuanza
calendar
9071
2
weka taarifa ya mkutano
calendar
9072
2
onyesha ratiba yangu ya leo
calendar
9073
2
ondoa tukio ile kwenye kalenda
calendar
9075
2
niambie kuhusu ratiba
calendar
9076
2
nipe huo ratiba
calendar
9077
9
tafuta muda wa mapumziko
general
9078
2
kesho sherehe ya kuzaliwa kwa mama yangu
calendar
9079
2
mwezi ujao siku ya kuzaliwa ya kaka
calendar
9080
2
futa mkutano wote leo
calendar
9081
2
kesho kutwa tafanya mikutano yote
calendar
9083
2
futa maelezo yote katika tukio
calendar
9084
2
ongeza mkutano kwa ofisi saa tano asubuhi
calendar
9085
2
weka ukumbusho wa mkutano wa mhariri alhamisi saa nane mchana
calendar
9086
2
niwekee ukumbusho wa kupatana pamoja wa klabu cha wanawake jumapili baada ya kanisa
calendar
9087
2
lazima nihudhurie mashindano ya kuoka jumatano asubuhi saa moja na uweke ukumbusho
calendar
9089
2
futa ratiba yangu ya mwezi
calendar
9090
2
futa matukio yote kwenye kalenda
calendar
9091
2
olly futa matukio yote kwa kalenda
calendar
9092
2
weka upya matukio yote kwenye kalenda
calendar
9093
2
futa matukio yote kwa kalenda ya machi
calendar
9094
2
futa mkutano uliopangwa na john tarehe ishirini na moja machi
calendar
9096
2
kumbusha kuhusu matukio yote kwenye kalendas
calendar
9099
2
ondoa miadi na daktari niliyoongeza kwenye kalenda yangu ya februari tarehe kumi na mbili saa tatu asubuhi
calendar
9100
2
futa miadi ya daktari wangu ya februari tarehe kumi na mbili
calendar
9101
2
tafadhali ondoa miadi ya daktari kwenye kalenda yangu februari kumi na mbili saa tatu mchana
calendar
9102
2
nina tukio lolote kwenye kalenda jumatatu saa saba mchana
calendar
9104
2
kulikuwa na miadi iliyopangwa kwa jumamosi
calendar
9105
2
tafadhali futa kalenda yangu ya matukio yote
calendar
9106
2
tafadhali rudisha kalenda yangu mwanzo
calendar
9108
2
ni bendi zingine ngapi zitatumbuiza kwenye tamasha la zach brown juni tarehe tatu
calendar
9109
2
fanya maonyesho ya daftari la kalenda ya wingi wa maonyesho mwaka elfu mbili na kumi na saba mwezi wa machi tarehe ishirini na tano
calendar
9111
2
j
calendar
9113
16
weka kengele ya ukumbusho ya hili tukio ikijirudia mara kumi
alarm
9115
2
mkutano wa mradi upo saa ngapi
calendar
9117
2
tafadhali unaweza kunijulisha kuhusu tukio katika kalenda yangu
calendar
9118
2
nijulishe kuhusu mikutano yangu baada ya siku kadhaa
calendar
9119
2
nikumbushe juu ya mikutano kwa baadhi ya siku kadhaa
calendar
9120
2
niambie kuhusu mikutano kwa muda
calendar
9122
2
unaeza ongeza mkutano wangu wa biashara kwa kalenda ya kazi
calendar
9125
2
ni lini miadi yangu ijayo na daktari wa meno
calendar
9126
2
miadi ya daktari wa macho iko saa ngapi tarehe ishirini na tatu
calendar
9128
2
ondoa tukio lifwatalo kwenye kalenda
calendar
9129
2
futa tukio linalofuata la kalenda
calendar
9130
2
ni nini inayofuata katika kalenda yangu
calendar
9131
2
niambie matukio yangu yajayo ni yapi
calendar
9132
2
ongeza tukio agosti tarehe ishirini na moja saa tatu asubuhi
calendar
9133
2
panga mkutano jumanne
calendar
9135
2
ni ratiba gani iliyoko jumatatu ijayo
calendar
9139
2
tafadhali fungua vikumbusho ifikapo mwisho wa siku
calendar
9140
2
nataka habari kuhusu matukio kabla ya zamu kuisha
calendar
9141
2
nina mikutano gani alhamisi ijayo
calendar
9142
2
kuna mikutano ya timu kwenye ratiba mwezi huu
calendar
9145
2
ningeiuliza kucheza ile sauti ya beep mfululizo
calendar
9146
2
ningependa kuweka tukio lijirudie
calendar