id
stringlengths
1
5
label
int64
0
17
text
stringlengths
1
221
label_text
stringclasses
18 values
10573
11
nikona nini kwa orodha yangu ya ununuzi
lists
10574
2
nina kazi yoyote leo
calendar
10575
11
toa moha kamau kutoka kwa orodha ya wawasiliani
lists
10576
11
futa juma rashid kutoka kwa orodha ya wawasiliani
lists
10578
2
toa matukio yangu kwa data ya kutafuta
calendar
10580
11
ondoa kununua mayai kwenye vitu za kufanya orodha
lists
10581
11
hamisha kununua mayai kwa takataka kutoka ya kufanya orodha
lists
10582
11
ondoa orodha ya muziki
lists
10583
11
ondoa orodha ya duka
lists
10584
11
habari weka karoti kwa hiyo
lists
10586
11
kumbuka kuweka karoti hapo ndani
lists
10587
11
ni nini kilicho kwenye orodha hii
lists
10591
11
ondoa kichwa cha orodha
lists
10592
11
tafadhali tengeneza orodha ya vitu nafaa kununua kesho
lists
10593
11
ninahitaji orodha ya wateja wangu leo tengeneza moja
lists
10594
11
nataka kua na orodha mpya ya kucheza ya nyimbo
lists
10595
11
ni nini kiko kwa orodha
lists
10596
11
ni vipi vimeorodheshwa
lists
10597
11
ongea na mimi kuhusu hio orodha
lists
10598
11
orodha yangu inapaswa kuwa tayari unaweza kuniambia kilichomo
lists
10599
11
unaweza kuongeza maziwa kwenye orodha yangu ya mboga
lists
10601
11
nadhani niliishiwa na hii unaweza kuiongeza kwenye orodha yangu
lists
10603
15
orodhesha wimbo wote
music
10604
15
niambie wimbo wa wimbo
music
10606
11
ni idadi ngapi ya vitu vya chakula kwenye orodha
lists
10607
11
hesabu idadi ya bidhaa za vyakula kwenye orodha
lists
10609
11
chagua kipengee
lists
10610
11
ongeza kipengee kwenye orodha
lists
10611
11
toa hiyo bidhaa kutoka kwa orodha
lists
10612
11
ondoa kwenye orodha vyakula vyote vilivyo anza na neno kavu
lists
10613
11
vyakula vyote vilivyo na kiambishi kavu vinapaswa kuondolewa kwenye orodha
lists
10615
11
tengeneza orodha mpya kesho
lists
10617
11
orodha mpya ya vitu ya kufanya iindwe kabla kesho
lists
10618
11
anza orodha mpya ya mboga
lists
10619
11
nataka kuanza orodha mpya ya vifaa vya umeme zinazouzwa kwa thamani halisi
lists
10620
11
tengeneza orodha mpya ya aina ya mbwa
lists
10622
11
ongeza binda kwa orodha ya vipodozi
lists
10623
11
olly ongeza daipa kwenye orodha ya vipondozi
lists
10624
11
tafadhali niambie nini iko kwa orodha yangu ya vitu za kufanya leo
lists
10625
2
mipango yangu ya leo ni gani
calendar
10630
11
nakutarajia utoe hiyo bidhaa kutoka kwa orodha
lists
10631
11
nataka utoe bidhaa kutoka kwa orodha
lists
10632
11
niambie ni nini kiko kwa orodha
lists
10633
11
toa kile kiko kwa orodha
lists
10634
11
onyesha orodha yenye inapatikana na nambari
lists
10635
11
nionyeshe ni orodha gani zinazopatikana
lists
10637
11
orodha zinazopatikana
lists
10638
11
ni orodha gani ya vitu nafaa kununua leo
lists
10639
11
ni mambo gani ninayohitaji kwa ajili ya safari yangu
lists
10641
11
ongeza stakabadhi hizi kwa zile vitu ninavyo hitaji kusafiri navyo
lists
10642
11
badili samani na bidhaa za elektroniki kwa orodha
lists
10643
11
poteza kipengee cha mwisho kwa orodha
lists
10644
11
toa jibini kutoka kwa orodha yangu
lists
10646
11
kuongeza huduma ya gari kwenye orodha yangu ya mambo ya kufanya leo
lists
10647
11
weka kuosha mbwa nafasi ya juu kwa orodha ya kusafisha
lists
10649
11
ongeza divai kwenye orodha
lists
10650
11
nikona orodha gani zimewekwa
lists
10651
11
nipatie orodha ya orodha
lists
10652
11
orodha yangu yote ni nini tafadhali
lists
10653
11
kuondoa ice cream kutoka mboga
lists
10654
11
kuondokana na orodha ya jumatano
lists
10656
11
futa orodha yangu ya siku kuu ya krismasi
lists
10657
11
ongeza mayai kwa orodha
lists
10658
11
ongezea mayai kwenye orodha
lists
10659
11
futa kipengee cha nne
lists
10660
11
toa bidhaa ya nne
lists
10661
11
tengeneza hesabu mpya
lists
10663
2
mashirikiano yangu ni yapi leo
calendar
10664
11
nini liko kwenye orodha yangu leo
lists
10665
2
rudia matukio kwenye dokezo
calendar
10668
11
niambie kuhusu orodha
lists
10669
11
tukio lolote la mchezo kwenye orodha yangu
lists
10670
11
ondoa orodha ya mtu kuanzia alfabeti ya kati katika orodha yangu ya waasiliani
lists
10671
11
toa orodha za programu zinazo anza na arufi a
lists
10675
11
niambie kitu cha kunichangamsha kwa orodha ya meseji zangu
lists
10676
11
niambie mahali pa karibu
lists
10677
11
ongeza kujenga wasifu wangu kwenye orodha yangu ya kufanya
lists
10680
11
niambie ni nini ya kufanya kwenye orodha ya leo
lists
10681
11
niambie orodha zangu zote
lists
10682
11
ni orodha gani zote ninazo
lists
10683
11
nini orodha yangu kufikia sasa
lists
10686
11
tafadhali ondoa sporty kutoka kwa orodha yangu
lists
10690
11
kwaruza kipengee cha tatu
lists
10691
11
ongeza kipengee
lists
10692
11
ongeza uteuzi kwenye orodha
lists
10693
11
futa orodha hii
lists
10694
11
futa hii orodha
lists
10695
11
futa
lists
10698
11
tafadhali toa yaliyomo kwenye orodha
lists
10701
11
hii bidhaa inapaswa kuongezwa kwa orodha
lists
10702
11
orodha hii inafaa kua na kipengee hichi
lists
10703
11
unda orodha ya ununuzi kwa naivas
lists
10704
11
tengeneza orodha mpya ya mawazo mazuri
lists
10705
11
angalia programu ya noti na unipe maelezo ya orodha zote
lists
10706
11
ni orodha zipi zilizopo kwenye programu ya madokezo
lists
10708
11
ondoa orodha hii
lists
10710
11
weka hii kwa orodha yangu
lists
10711
11
ingisa maelezo ya hili kwenye orodha
lists
10713
11
alexa tengeza orodha mpya
lists
10714
11
unaweza niundia orodha mpya
lists