id
stringlengths
1
5
label
int64
0
17
text
stringlengths
1
221
label_text
stringclasses
18 values
3832
3
washa baadhi ya muziki ya rap
play
3833
8
zima taa
iot
3836
14
unaweza kuangalia huduma ya kubeba chakula cha kichina iliyo karibu na hapa
takeaway
3839
10
nyamazisha rekodi ya sauti
audio
3842
8
fanya roomba ianze kusafisha
iot
3844
14
niagizie pizza
takeaway
3845
14
agiza mbavu chajio
takeaway
3846
15
ni muziki aina gani ninao furahia
music
3847
15
ni aina gani za muziki ninazopenda zaidi
music
3848
4
nini kinaendelea duniani sahii
news
3849
4
naweza pata muhtasari wa habari ya karibuni inayoendelea kwenye dunia
news
3850
4
nipe habari za sasa hivi kuhusu matukio ya hivi karibuni
news
3851
5
tafadhali niambie tarehe na saa
datetime
3853
10
sauti mbali tafadhali
audio
3854
10
nyamazisha vipaza sauti tafadhali
audio
3855
9
nataka kusikia matusi ya utani
general
3856
17
je kutakuwa na jua kesho
weather
3857
17
mvua itanyesha wiki hii
weather
3858
17
je kutakuwa na theluji yeyote jumanne
weather
3860
3
cheza nyimbo zangu zote za kilatini zinayopendeza
play
3861
8
washa chumba kwa ajili yangu
iot
3862
8
pata mashini kusafisha juu
iot
3866
4
unaweza nipatia habari kutoka daily nation
news
3867
4
nisomee vichwa vya habari kutoka habari za eldoret
news
3869
16
kengele ya mlango wa nyuma imewekwa tayari kulia
alarm
3871
8
tafadhali ongeza taa juu kidogo
iot
3872
8
washa taa juu hadi nane
iot
3873
5
ni wakati gani sahihi
datetime
3874
5
naweza kupata muda
datetime
3877
8
washa soketi ya plagi ya wemo
iot
3878
17
hali ya hewa ya sasa huko miami ikoje
weather
3879
17
hali ya hewa ikoje huko nairobi
weather
3881
8
badilisha taa za nyumba kuwa waridi
iot
3882
8
ningependa taa za nyumba ziwe za rangi ya waridi
iot
3885
16
kengele gani zimewekwa kwa sasa
alarm
3887
14
piga simu kwa new stanley
takeaway
3888
14
tafadhali pigia jumia na uagize pilau
takeaway
3889
3
nitafutie muziki ya genge
play
3890
3
nataka kusikia kibao za densi za sasa
play
3891
3
rudi nyuma
play
3892
10
nyamaza mara moja
audio
3893
10
tafadhali zima kidhibiti cha sauti
audio
3896
8
kuna giza
iot
3897
17
hali ya hewa itakuwa aje huko austin tarehe kumi na sita machi
weather
3899
17
kutanyesha tarehe kumi na tano mwezi wa agosti
weather
3900
3
tafadhali washa kicheza muziki
play
3901
3
acha tucheze orodha ya kucheza
play
3902
3
anza muziki wa satellite
play
3903
16
tafadhali toa kengele imewekwa ya jumatano inayoitwa kickball
alarm
3905
16
mpira wa kick umekwisha sihitaji kengele ya mpira wa kick jumatano jioni tena
alarm
3906
3
tafadhali anza kucheza orodha ya otile brown na habari
play
3908
3
nataka kucheza nyimbo za rock za hart the band
play
3909
3
ningependa kusikia nyimbo za kiasili kutoka mwaka elfu moja mia tisa sitini na nane
play
3910
3
anza muziki yangu ninayopenda zaidi
play
3913
8
zima taa sebuleni
iot
3914
15
tafadahli nakili kichwa cha wimbo wimbo mzuri
music
3916
4
ni habari gani za mtaa za hivi punde zaidi
news
3917
4
nisomee vichwa vya habari za nairobi
news
3918
3
nataka kusikiliza vibao vikubwa zaidi za fadhili williams
play
3919
4
ni nini kinaendelea na rais trump
news
3920
15
nafurahia muziki.
music
3921
3
tafadhali cheza wimbo wowote ulioimbwa karne hii
play
3922
5
nahitaji kujua leo ni tarehe ngapi
datetime
3923
3
cheza orodha ya kucheza ya muziki yangu ya bongo
play
3924
3
cheza muziki wa dansi ya kielektroniki baada ya hii moja
play
3925
3
anza orodha yangu ya wimbo wa watu wa jumla baada ya huu wimbo
play
3927
17
ni theluji kiasi gani imeanguka huko maine tangu jana
weather
3928
17
ni utabiri gani wa sasa wa maine
weather
3930
3
nichezee wimbo wa yamoto band mpya kabisa
play
3931
3
unaweza kucheza bensoul
play
3932
8
tengeneza nyungu ya kahawa
iot
3933
16
nionyeshe kengele zangu zote zinazotumika
alarm
3934
16
nionyeshe kengele zangu zote zenye zimewekwa
alarm
3935
17
je ni baridi nje
weather
3937
3
cheza nviiri the storyteller
play
3938
3
tafuta nyimbo zote za wanavokali na ucheze
play
3939
15
unaweza nihifadhia wimbo huu ndio ninaopenda zaidi
music
3942
5
ni siku gani harusi inaangukia mwaka huu
datetime
3943
5
ni siku gani ya tarehe ishirini mwezi huu
datetime
3944
9
nichekeshe nataka kusikia mzaha
general
3945
4
habari za hivi punde kuhusu kibaki
news
3947
4
ni habari gani zilizovuma kwenye vichwa vya habari hivi sasa
news
3948
16
nahitaji wewe kuweka kengele
alarm
3949
16
unaweza niwekea kengele
alarm
3951
14
je ninaweza kuagiza chakula cha kubeba cha java
takeaway
3952
14
iko wapi java inayoweza ya kubeba
takeaway
3953
3
cheza nakupenda malaika ya wanavokali unaofuata
play
3955
16
weka kengele ya saa tatu usiku
alarm
3957
5
saa ngapi huko nairobi
datetime
3958
5
saa ngapi mbele ni nairobi
datetime
3959
16
badilisha kengele zangu ziwe katika saa ya mlima
alarm
3961
17
nionyeshe utabiri
weather
3962
17
fungua programu ya hali ya hewa
weather
3963
16
kuna kengele yoyote leo
alarm
3964
16
ni kengele ngapi zimewekwa
alarm
3965
16
nionyeshe orodha ya kengele
alarm
3966
15
ongeza wimbo huu kwenye katalogi yangu
music
3969
3
pop
play
3971
17
olly hali ya hewa iko aje sasa hivi
weather
3974
4
nipe takwimu za hivi punde za mwai kibaki
news