id
stringlengths
1
5
label
int64
0
17
text
stringlengths
1
221
label_text
stringclasses
18 values
4118
4
tafadhali nisajili kwa sasisho kuhusu habari zinazochipuka za marekani
news
4120
16
ulikua umeweka kengele ya wakati gani
alarm
4122
16
nifahamishe wakati wa kengele
alarm
4123
14
ni mgahawa gani ya swahili karibu ukubali kutoa chakula
takeaway
4124
14
ni wapi mahali karibu zaidi pakuagiza chakula cha kuenda nacho
takeaway
4126
3
cheza orodha ya kucheza hii
play
4128
16
kwa sasa nikona kengele yoyote imewekwa
alarm
4133
17
niambie ni inchi ngapi za theluji jiji la new york lilipata leo
weather
4135
3
tafadhali anza kucheza orodha ya kucheza yangu ya youtube
play
4139
17
nahitaji kuvaa koti nzito leo
weather
4140
17
ni wakati gani wa kudhani kuwa zaidi ya hamsini tena
weather
4141
4
hey olly niambie habari zangu kuu za leo
news
4142
4
juma ni nini iliyoko katika habari za dunia sasa hivi
news
4143
4
hey nini siri ya habari za dunia sasa hivi
news
4144
16
nikumbushe kuhusu kengele zangu leo
alarm
4146
16
nifahamishe kuhusu kengele yoyote iliyowekwa ya leo
alarm
4147
15
hakikisha michanganyiko yangu inajirudia na inajichanganya
music
4148
5
nionyeshe ni saa ngapi
datetime
4149
8
tafadhali ongeza mwangaza ndani ya chumba hiki
iot
4150
8
taa za juu ziwashwe tafadhali
iot
4151
5
siku ya leo ni nini
datetime
4153
3
cheza wimbo mungu si binadamu
play
4157
9
jamani olly umesikia vicheshi vyovyote vya kuchekesha hivi karibuni
general
4158
9
jamani siri umesikia vicheshi vyovyote vya kuchekesha hivi majuzi
general
4159
9
nifanye nicheke kwa utani mzuri
general
4160
14
unaweza niagizia mandazi leo kutoka jumia
takeaway
4162
14
ninahitaji piza ni sehemu ipi ya karibu inayowasilisha
takeaway
4163
8
tafadhali badilisha taa ya varanda iwe buluu
iot
4164
8
unaweza kuweka taa sebuleni kuwa waridi
iot
4165
8
nataka taa za bafu ziwe manjano
iot
4167
10
punguza sauti hadi nusu
audio
4169
17
tafadhali unaweza kuangalia hali ya hewa kansas
weather
4170
8
washa mashine ya kahawa
iot
4172
8
safisha sofa na kifyonzi
iot
4179
4
habari zozote za hivi punde kuhusu kenya
news
4180
5
saa nne asubuhi wakati wa mashariki ni saa ngapi
datetime
4181
5
tafadhali nijulishe saa moja jioni ni saa ngapi katika saa wastani ya pasifiki
datetime
4182
5
ni wakati gani sasa katika g. m. t.
datetime
4184
5
saa ngapi kwa sasa huko nairobi
datetime
4185
5
hey siri ni saa ngapi
datetime
4188
5
hey olly ni saa ngapi
datetime
4190
15
nani anacheza oboe kwa hiki kipande
music
4192
5
saa ngapi mombasa
datetime
4193
5
sasa ni saa ngapi nakuru
datetime
4194
5
niambie saa huko mombasa
datetime
4195
3
cheza krismasi ya dolly parton
play
4196
3
cheza orodha yangu kutoka zinazopendwa
play
4197
3
rudia wimbo unaofuata
play
4199
16
zima kengele zote zilizowekwa za leo
alarm
4200
16
hairisha kengele za leo zote kabisa
alarm
4202
8
washa plagi yangu
iot
4203
8
tafadhali kata nguvu za wemo
iot
4204
17
kutakuwa na theluji wiki hii
weather
4206
3
cheza nadina ya mbilia bel
play
4207
17
je nitahitaji kuvaa koti leo
weather
4208
17
lazima nivae viatu
weather
4209
17
je nibebe mwavuli usiku wa leo
weather
4210
17
ninahitaji kuvaa koti kesho nikitoka kazi
weather
4211
17
unadhani itakuwa sawa kuvaa kaptula wiki hii
weather
4213
5
kubadilisha kiwango cha mlima kuwa pasifik
datetime
4214
5
badilisha saa yangu kuwa ya eneo la east african kutoka eneolangu kwa sasa
datetime
4215
5
ninahitaji eneo la wakati kutoka nairobi badala ya eneo la wakati wa kati
datetime
4218
17
je nivae galoshes leo
weather
4219
17
ninahitaji koti nje sasa hivi
weather
4220
5
saa ngapi sasa
datetime
4221
5
naweza kujua ni saa ngapi sasa
datetime
4222
5
tafadhali angalia saa
datetime
4223
14
piza yangu kutoka pizza inn iko wapi
takeaway
4225
14
bado muda wa kiasi gani hadi wali wangu ufike hapa
takeaway
4226
3
fungua orodha yangu ya kucheza muziki wa country
play
4229
8
unaweza zima taa ya chumba cha kulala changu
iot
4230
8
nahitaji kuwasha plagi ya ofisi yangu ya kompyuta yangu
iot
4231
3
cheza naanzaje ya diamond
play
4234
3
cheza wimbo ninayopenda zaidi ya maroon commandos
play
4235
5
hey ni saa ngapi
datetime
4237
17
hali ya hewa iko aje sasa hivi
weather
4238
10
nipe mipangilio ya sauti
audio
4239
8
washa kifyonzi cha roboti
iot
4242
10
tafadhali usiongee
audio
4245
8
tafadhali nitengenezee kahawa kutumia mashine ya kahawa
iot
4246
8
olly badilisha taa zote ziwe buluu
iot
4250
17
je mvua itanyesha baadaye leo
weather
4251
17
ni joto sana kuvaa sweta yangu ya pamba leo
weather
4252
17
nichukue mwavuli nami leo
weather
4255
4
olly niambie habari ya karibuni zaidi kutoka k. t. n.
news
4256
4
nisomee habari ilisasishwa zaidi kwenye k. t. n.
news
4257
5
tafadhali niambie tarehe ya sasa
datetime
4259
4
kilichotokea kwenye habari hivi karibuni
news
4260
10
ongeza sauti
audio
4261
15
tafathali tumia changanya
music
4262
3
cheza repeats tafadhali
play
4263
9
umesikia utani wowote mzuri hivi majuzi
general
4264
9
unajua vicheshi vingapi
general
4265
17
utabiri wa hali ya hewa leo ni nini
weather
4267
10
ongeza sauti ya muziki
audio
4269
15
cheza tena wimbo huu naupenda sana
music
4270
8
ningependa kikombe cha kahawa
iot
4274
9
je uko na mzaha
general
4275
9
niambie mzaha tafadhali
general
4276
8
tafadhali zima taa
iot