id
stringlengths
1
5
label
int64
0
17
text
stringlengths
1
221
label_text
stringclasses
18 values
4565
14
wapigie simu java
takeaway
4566
4
nisomee vichwa vya habari vya karibuni kutoka daily nation
news
4568
4
vuta habari kutoka kwa jarida la mwanaspoti
news
4569
4
nipatie habari kuu kutoka kwa chapisho la huffington post
news
4571
8
plagi ya wemo inafaa kuzimwa
iot
4572
8
tafadhali zima soketi ya plagi ya wemo
iot
4574
14
ningependa kuagiza chakula cha kubeba
takeaway
4575
14
nataka kuagiza baadhi ya chakula cha kubeba
takeaway
4576
14
unaweza niagizia kuchukua nje
takeaway
4577
10
ongeza sauti ya spika zangu
audio
4578
10
unaweza ongeza sauti
audio
4581
5
saa ngapi huko nairobi
datetime
4583
16
waambie wote wakumbuke kila wakati kufunga mlango na wazilinde vyema funguo zao
alarm
4584
16
funza watoto wasiwahi fungua mlango wakiwa nyumbani peke yao
alarm
4585
16
waonyeshe mahali ambapo funguo za kufuli za ndani zimewekwa iwapo wanapaswa kutoka nyumbani kwako haraka
alarm
4586
8
ntachukuwa kahawa yangu nyeusi
iot
4588
3
alexa cheza ninayopenza zaidi
play
4590
4
ongeza arifa mpya kwa g. p. s. kwenye gari yangu
news
4591
5
niambie ni saa ngapi huko japan
datetime
4592
16
ni kengele gani zinakuja
alarm
4593
16
tafadhali niambie kuhusu kengele zijao
alarm
4594
16
nionyeshe kengele nilizoweka
alarm
4595
17
kutakuwa na siku za digrii sabini wiki ijayo
weather
4596
8
washa taa ya jikoni
iot
4597
8
washa redio ya sebuleni
iot
4598
14
mkahawa hutoa chaguo la kuwasilisha
takeaway
4599
14
angalia chaguzi za kuwasilisha kwa mkahawa
takeaway
4602
17
hali ya joto itakuwa gani siku ya leo
weather
4605
14
pizza inn ishatayarisha agizo yangu kweli
takeaway
4607
4
angalia makala za habari kuhusu kibaki
news
4608
4
unaweza kuniambia hadithi za habari kuu kuhusu nyumba ya serikali
news
4609
5
saa ngapi sasa katika ukanda wa saa wa mashariki
datetime
4610
5
ni wakati gani katika eneo la kati
datetime
4611
5
ni wakati gani katika eneo la wakati wa mlima
datetime
4612
3
cheza mchaguo wa rhumba
play
4613
17
je joto itakuwa zaidi ya hamsini kesho
weather
4615
14
pigia pizza inn na uitishe pizza ya uyoga
takeaway
4616
14
agiza samaki wa kupaka kutoka debonairs
takeaway
4617
14
wasiliana na pizza inn na uagize peri peri pizza kubwa
takeaway
4621
8
punguza mwangaza sasa
iot
4625
4
nini uhuru amefanya sasa
news
4626
14
ni mikahawa gani ya kimexico iliyo karibu ya kubeba
takeaway
4627
17
je kutakuwa na mvua kesho
weather
4628
17
ni wakati upi kutanyesha kesho
weather
4629
3
cheza baadhi ya rhumba mamou
play
4630
3
ningependa kusikia baadhi ya motown
play
4631
3
unaezaniangushia mdundo
play
4633
8
zima taa za chumba cha kulala sasa
iot
4634
8
zima taa za chumba cha kulala baada ya sekunde kumi
iot
4635
10
punguza sauti ya spika
audio
4636
10
punguza sauti ya spika
audio
4637
10
badilisha mipangilio ya sauti kwa upande wa hasi
audio
4639
4
ni habari gani ya leo ya sasa hivi
news
4640
4
ni mada gani inayozungumzwa zaidi leo
news
4641
4
kuna habari gani leo
news
4642
8
nini kinaendelea na taa za manjano weka nyeupe hapa ndani
iot
4643
8
nataka chumba kiwe na mwangaza pungufu
iot
4644
8
tafadhali washa taa chini
iot
4646
14
je piza itafika hapa hivi karibuni
takeaway
4647
8
tafadhali fanya taa ziwe buluu
iot
4648
8
badilisha taa ziwe rangi yangu ninayopenda
iot
4649
15
napenda huo wimbo
music
4650
15
sitaki kusikia nyimbo zingine za aina hiyo tena
music
4651
3
ningependa kusikia zaidi nyimbo za msanii huyo
play
4652
10
nyamazisha vipaza sauti
audio
4655
16
weka kengele ya saa moja kutoka sasa
alarm
4656
16
weka kengele ya alhamisi saa moja jioni
alarm
4657
3
cheza muziki wa pop
play
4660
4
nipe habari kwenye citizen tv alexa
news
4661
4
nisomee habari kutoka kbc
news
4663
15
tafadhali niambie jina la bendi hii.
music
4665
17
hali ya hewa iko aje columbus
weather
4666
4
habari ya c. n. n.
news
4668
14
uliza kama wataleta
takeaway
4669
14
hali ya agizo langu ikoje
takeaway
4670
14
mkahawa huu hufanya tu ya kubeba
takeaway
4676
4
moto huko naivasha
news
4677
17
je nitahitaji mafuta ya kukinga jua leo
weather
4679
17
je nahitaji koti nyepesi au mzito leo
weather
4682
17
je kuna joto na hewa chafu au joto na unyevunyevu huko turkana leo
weather
4684
3
nataka kusikia wimbo sura yako
play
4685
3
nataka kusikia wimbo
play
4686
3
tafadhali cheza wimbo inayofuata
play
4690
3
unaweza cheza muziki wa kamaru
play
4691
3
unaweza kucheza wimbo ya bensoul
play
4695
16
unaweza weka kengele ya saa moja asubuhi
alarm
4698
16
nikumbushe saa kumi na moja jioni
alarm
4699
16
kumbusho
alarm
4700
9
jibu
general
4701
10
endeleza sauti yangu
audio
4703
10
ni sawa google nataka kusikia sauti yangu kwa spika
audio
4704
10
nataka kusikia sauti kwenye vipaza sauti yangu
audio
4706
17
je ni utabiri gani katika eneo langu leo
weather
4707
17
tafadhali onyesha hali ya hewa ya ndani
weather
4708
5
siku gani ya juma ni tarehe ishirini na moja ya mei
datetime
4709
5
jumapili ya pasaka mwaka huu ni tarehe ngapi
datetime
4711
16
futa kengele yangu ya kesho asubuhi
alarm
4713
16
usiniamshe siku za wikendi
alarm
4714
3
unaweza kucheza muziki yangu
play
4715
3
cheza nyimbo zangu
play