id
stringlengths
1
5
label
int64
0
17
text
stringlengths
1
221
label_text
stringclasses
18 values
4716
16
tafadhali tunafuata kengele
alarm
4717
16
weka kengele ya saa mbili asubuhi kesho
alarm
4718
16
weka kengele ya kesho jumatatu saa mbili asubuhi
alarm
4719
17
je halijoto itakuwa juu ya kuganda siku ya jumatano
weather
4720
17
je wikendi itakuwa nzuri
weather
4721
9
ni kichekesho kipi bora zaidi kwako
general
4722
3
nataka kusikia orodha ya kucheza yangu kutoka yule msanii
play
4724
16
kengele zangu ni gani
alarm
4725
10
pangia inyamaze
audio
4726
10
nyamaza
audio
4727
12
weka arifa ya taarifa ya soko la hisa
qa
4731
3
cheza muziki yangu imepakuliwa
play
4732
10
weka sauti chini
audio
4733
10
rekebisha sauti
audio
4734
16
weka kengele ya saa tatu asubuhi wikendi
alarm
4735
16
kengele iliyowekwa ya saa tatu jioni ijumaa usiku
alarm
4736
5
leo ni siku gani
datetime
4737
8
badilisha taa kwa buluu
iot
4738
5
saa ngapi huko embu
datetime
4739
5
ni saa sita mchana huko paris
datetime
4740
8
punguza mwangaza sebuleni
iot
4742
4
angalia habari za hivi punde
news
4743
16
hujambo google niambie nimewekewa kengele gani
alarm
4744
16
orodhesha kengele zangu zote zijazo
alarm
4746
8
zima tundu
iot
4748
8
ningepeda soketi ya wemo isiwe inafanya kazi sasa hivi
iot
4749
17
itanyesha
weather
4750
17
je kutakuwa na theluji
weather
4751
17
kutakuwa na mawingu
weather
4753
3
cheza kamwambie inayofuata
play
4754
3
weka william ni siku ya kuzaliwa yangu ifuatayo
play
4755
3
cheza baadhi ya skramz
play
4756
3
naeza taka kusikiliza baadhi ya tempo ya kutuliza
play
4757
4
k. t. n.
news
4759
17
je kutakua na theluji usiku wa leo
weather
4760
17
kuna theluji katika utabiri wa hali ya hewa
weather
4761
17
je theluji inakuja usiku wa leo
weather
4762
10
je unaweza ongeza sauti ya vipaza sauti
audio
4763
10
sauti hiyo iko chini sana je unaweza kuiongeza
audio
4765
17
je itanyesha ijumaa
weather
4766
17
je nitahitaji kuvaa koti leo asubuhi
weather
4768
8
tafadhali unaweza zima soketi ya plagi ya wemo
iot
4769
8
zima soketi ya plagi ya wemo
iot
4770
5
unaweza kunipa saa katika eneo hili masaa haya
datetime
4771
5
ni wakati gani katika eneo la wakati huu
datetime
4773
4
tafadhali niambie habari kwenye kata ya nairobi
news
4774
9
nataka kuskiliza mzaha
general
4777
15
changanya nyimbo zote kwa maktaba ya muziki
music
4781
16
niamshe saa kumi na mbili na nusu
alarm
4783
16
weka kengele
alarm
4785
17
je naweza kwenda nje na kaptula
weather
4787
15
ni wimbo upi wangu unaochezwa zaidi
music
4788
15
nini iko kwa folda yangu ya muziki niupendao
music
4789
17
hali ya hewa iko aje leo
weather
4790
17
joto gani leo
weather
4792
5
tarehe ya leo tafadhali
datetime
4793
5
siku gani leo
datetime
4794
8
zima taa ndani ya chumba cha kulala changu
iot
4795
8
zima taa za chumba cha kulala changu
iot
4800
8
unaweza washa wemo plug socket
iot
4801
17
nje joto iko aje kwa sasa
weather
4802
8
fanya taa ziwe na rangi tofauti
iot
4804
9
habari olly
general
4805
9
habari yako unaendeleaje
general
4806
9
nahitaji mzaha mzuri
general
4807
15
kumbuka ninavyofikiria kuhusu huu wimbo
music
4808
15
kumbuka jinsi napatia kiwango wimbo huu
music
4811
5
ni lini ishirini na mbili
datetime
4812
5
tarehe ishirini ni siku gani
datetime
4815
5
katika mji mwingine ni saa ngapi
datetime
4824
17
hali ya hewa wikendi hii
weather
4825
8
badilisha rangi ya mwangaza kuwa bluu
iot
4828
14
je mgahawa una kuchukua
takeaway
4829
14
je mkahawa una huduma ya chakula cha kubeba
takeaway
4830
14
ninaweza pata chakula cha kubeba
takeaway
4832
10
ondoa sauti
audio
4834
10
usitumie
audio
4839
3
cheza sauti sol
play
4841
3
anzisha muziki ya classical
play
4842
3
rock sauti sol
play
4843
5
tafadhali nipe tarehe ya leo
datetime
4844
5
ni saa ngapi sasa nairobi
datetime
4846
5
nionyeshe wakati sasa huko nairobi
datetime
4847
8
amilisha soketi ya plagi ya wemo
iot
4849
16
weka kengele ya saa mbili jioni
alarm
4852
16
unaweza weka kengele yangu
alarm
4855
10
kata hiyo kelele
audio
4856
10
nyamazisha sauti
audio
4857
5
kuna ijumaa ngapi mwezi wa mei
datetime
4858
5
siku gani ya juma ilikuwa februari nne mwaka wa elfu moja na mia tisa sabini na mbili
datetime
4859
4
vipi habari za hivi punde
news
4860
4
nipe habari za hivi punde
news
4861
4
nipatie habari mpya
news
4862
8
chumba cha kulala cha pili zima taa
iot
4863
17
hali ya hewa iko aje huko utah
weather
4864
17
niambie hali ya hewa huko utah
weather
4865
17
hali ya hewa ikoje huko nairobi sasa hivi
weather
4866
14
pigia pizza place iliyo karibu na inatoa pizza
takeaway
4868
14
tafuta java ya karibu zaidi iliyo na huduma ya kubeba chakula
takeaway
4869
3
kucheza muziki kutoka orodha ya kucheza
play