id
stringlengths
1
5
label
int64
0
17
text
stringlengths
1
221
label_text
stringclasses
18 values
11772
6
filamu gani zinacheza hivi sasa
recommendation
11774
6
unapendekeza niangalie nini wikendi hii
recommendation
11775
6
nionyeshe chakula cha thai karibu na mimi
recommendation
11776
6
ni wapi ninaweza kupata pilau nzuri chini ya kilomita tano
recommendation
11777
6
tafuta duka la mboga iliyo na sehemu ya kikaboni hapa karibu na mimi
recommendation
11779
6
ambapo ni eneo bora ya zaidi ya kununua vifaa vya sherehe katika mjini
recommendation
11780
6
soko la wakulima litakuwa wazi wikendi hii nairobi
recommendation
11781
6
ni michezo gani ya kuigiza inacheza katika jumba la uigizaji
recommendation
11783
6
ni matukio gani yanayoendelea karibu yangu leo
recommendation
11784
6
olly ni matukio yapi yanafanyika karibu na mimi leo
recommendation
11786
6
selina
recommendation
11788
6
matukio yapi yako katika eneo langu
recommendation
11789
6
kuna matukio gani katika eneo langu
recommendation
11790
6
vitu vya kufurahisha kufanya karibu nami
recommendation
11791
6
nini filamu mpya ya sci fi
recommendation
11792
6
ni filamu gani iliyo kama selina
recommendation
11793
6
nahitaji van damee nzuri mawazo yoyote
recommendation
11794
6
ni pizza gani nzuri kwenye barabara ya sita
recommendation
11797
6
je kuna matukio yoyote katika maktaba wiki hii
recommendation
11799
6
ni maduka gani ya nguo utapendekeza hapa
recommendation
11801
6
watu hununua nguo wapi hapa
recommendation
11803
6
kutakua na soko ya wakulima wikendi hii
recommendation
11804
6
unaweza kunitafutia onyesho la mtaani katika jirani
recommendation
11805
6
ni aina gani ya shughuli za bure ninazoweza kufanya mtaani wiki hii
recommendation
11806
6
wapi naweza enda ununuzi eneo hili
recommendation
11807
6
olly naweza kwenda wapi kufanya ununuzi eneo hili
recommendation
11808
6
niambie mahali naweza enda ununuzi eneo hili
recommendation
11809
6
unaweza pendekeza maduka mazuri eneo hili
recommendation
11810
6
ni filamu gani zinaonyeshwa karibu
recommendation
11811
6
ni nini kinacheza imax
recommendation
11813
6
niambie wapi maduka ya mtaa wilayani yapo
recommendation
11814
6
olly niambie penye wilaya ya mtaa ya ununuzi ipo
recommendation
11815
6
wapi naweza nunua kama mtalii wa nyumbani
recommendation
11816
6
ni wapi naweza kununua kama mtalii wa kawaida olly
recommendation
11817
6
nipendekeze baadhi ya maduka ya mtaa
recommendation
11818
6
olly nitafutie duka linalo uza bia
recommendation
11822
6
olly taja maduka ndani ya eneo la maili kumi na muziki
recommendation
11823
6
taja maduka ndani ya eneo la nusukipenyo maili kumi na muziki
recommendation
11824
6
mkahawa ulio na maoni bora kiamaiko
recommendation
11826
6
ni chakula gani ya uswahilini kiko karibu nami
recommendation
11828
6
naweza fanya nini usiku wa leo jijini
recommendation
11829
6
ni mahali gani pazuri pa kula nairobi mjini
recommendation
11830
6
naweza kununua wapi vifaa vya michezo karibu nami
recommendation
11831
6
nitafutie kituo cha gesi kilicho karibu
recommendation
11832
6
olly iko wapi bustani ya karibu ninakoweza kuenda kukimbia
recommendation
11833
6
kuna duka la mitumbwi hapa
recommendation
11834
6
kuna duka la mitumbwi karibu hapa olly
recommendation
11835
6
ni baadhi ya migahawa ipi nzuri karibu
recommendation
11836
6
kuna vituo vya ununuzi karibu
recommendation
11837
6
nionyeshe migahawa ya mboga iliyo karibu hapa
recommendation
11838
6
nifanye nini wikendi hii
recommendation
11840
6
niende wapi wikendi hii
recommendation
11842
6
ni bendi gani zinazochezwa mjini wikendi hii
recommendation
11843
6
olly nipatie baadhi ya matukio yanayofanyika sasa katika eneo la diani
recommendation
11846
6
nijulishe kuhusu matukio ya kufurahisha eneo la ufukweni
recommendation
11847
6
vitu vya kufurahisha kufanya leo
recommendation
11848
6
ni matukio gani yanayotokea leo
recommendation
11850
6
masaa ya maonyesho ya churchil kwenye eneo la uigizaji la karibu ni gani
recommendation
11852
6
nini kinachoendelea leo humo mombasa
recommendation
11853
6
jambo la kufanya ukiwa kisii
recommendation
11854
6
ni matukio gani yanaendelea leo garissa
recommendation
11855
6
tafadhali pendekeza filamu
recommendation
11856
6
tafadhali pendekeza filamu olly
recommendation
11859
6
matukio ya eneo ni yepi
recommendation
11863
6
olly
recommendation
11864
6
ni mgahawa upi wa karibu sana wa kiganda huko zanzibari
recommendation
11865
6
nitafutie baa pale migori iliyo wazi hadi saa nane usiku
recommendation
11866
6
kuna tamasha wikendi hii kampala
recommendation
11868
6
nitafutie hifadhi ya wanyama au mbuga ya wanyama huko nairobi inayofunguliwa wikendi hii
recommendation
11869
6
olly nitafutie bustani ya wanyama au mbuga la wanyama nairobi inayofunguliwa wikendi hii
recommendation
11870
6
ni filamu gani za kisasa zinazocheza katika eneo langu
recommendation
11872
6
unaweza pendekeza filamu zozote zinazochezwa kwa sasa katika eneo langu
recommendation
11873
6
una pendekeza filamu yoyote inayocheza mtaa wangu
recommendation
11874
6
kuna maonyesho yoyote wiki hii
recommendation
11877
6
olly nipendekezee onyesho linalo endelea eneo langu
recommendation
11878
6
pendekeza tukio inayofanyika katika eneo yangu
recommendation
11879
6
ni tukio gani naweza hudhuria eneo langu
recommendation
11880
6
nifanye nini katika mombasa
recommendation
11881
6
ni nini inafunguliwa kuchelewa mwanza
recommendation
11882
6
olly ni nini wazi kuchelewa huko naivasha
recommendation
11884
6
ni nini inafanyika leo usiku nakuru
recommendation
11885
6
niende wapi kwa chakula chajio huku kiambu leo usiku
recommendation
11887
6
ni duka la mkahawa gani iliyo bora zaidi karibu nakuru
recommendation
11888
6
nipendekezee baadhi ya maduka maduka kwa ununuzi karen
recommendation
11890
6
nini kinaendelea mjini usiku wa leo
recommendation
11891
6
matukio gani yanaendelea karibu yangu
recommendation
11892
6
kuna matukio yoyote yanayofanyika mjini
recommendation
11893
6
kuna matukio yoyote yanayotokea wikendi hii
recommendation
11894
6
niambie kuhusu matukio yoyote yanayokuja mtaani
recommendation
11895
6
matukio ya humu humu
recommendation
11896
6
vitu ya kufanya katika eneo langu
recommendation
11897
6
kuna kitu chochote kinafanyika mjini wikendi hii
recommendation
11898
6
kuna tamasha zozote mjini wakati huu wiki inayokuja
recommendation
11900
6
cheza filamu nitakayo ipenda
recommendation
11901
6
maduka ya mtaa
recommendation
11902
6
tafuta maduka ya mtaa
recommendation
11907
6
olly ni mambo gani ya kufurahisha ninaweza kufanya hapa
recommendation
11908
6
olly ni baadhi ya matukio gani ijayo naweza taka kuenda
recommendation
11909
6
niambie kuhusu matukio mazuri yanayoendelea hapa
recommendation
11910
6
olly niamie kuhusu matukio mazuri yanayoendelea hapa
recommendation