id
stringlengths
1
5
label
int64
0
17
text
stringlengths
1
221
label_text
stringclasses
18 values
12056
6
nini inaendelea
recommendation
12057
6
ukumbi wa uigizaji wa mtaa unaonyesha filamu ipi
recommendation
12058
6
kuna filamu zozote nzuri zinazoendelea kwenye kumbi za maonyesho karibu
recommendation
12059
6
ni nini kinafanyika karibu nami wiki hii
recommendation
12060
6
ningependa kwenda kufanya shughuli ya ununuzi wa bidhaa rahisi je kuna duka lolote karibu la dola
recommendation
12061
1
quickmart iko umbali gani kutoka hapa
transport
12062
6
onyesha matukio yajayo karibu yangu
recommendation
12063
6
orodhesha matukio katika nairobi
recommendation
12064
6
onyesha matukio ya sahii karibu yangu
recommendation
12065
6
orodhesha matukio karibu nairobi
recommendation
12067
6
naweza enda wapi ununuzi hapa
recommendation
12068
6
ni matukio gani karibu hapa yanafanyika wiki hii
recommendation
12069
6
olly ni sinema gani zinazoonyeshwa huko kenya cinema
recommendation
12071
6
olly tiketi ni pesa ngapi kwa kazi za maajabu
recommendation
12072
6
orodhesha matukio yanayoendelea karibu yangu
recommendation
12074
6
orodhesha maonyesho yanayoendelea hapa mtaani
recommendation
12075
6
migahawa mizuri ya karibu iko wapi
recommendation
12077
6
ni tamasha gani inayofanyika hapa karibu
recommendation
12078
6
orodhesha matukio yote yanayofanyika kwa jirani
recommendation
12079
6
matukio yoyote yanayofanyika karibu
recommendation
12080
6
tafadhali angalia filamu zinazo cheza karibu kwenye sinema
recommendation
12081
6
tafadhali angalia matamasha ya jazz yaliyopangwa wikendi hii
recommendation
12082
6
ni tukio gani yote katika eneo hilo
recommendation
12083
6
tafuta matukio
recommendation
12084
6
je kuna matukio yeyote ya kitamaduni yanayofanyika nairobi
recommendation
12085
6
maonyesho ya sanaa mombasa
recommendation
12086
6
alexa maonyesho ya sanaa huko nairobi
recommendation
12087
6
matukio yanayokuja
recommendation
12093
6
kuna saluni yoyote nanyuki
recommendation
12094
6
ni mkahawa gani huko nakuru
recommendation
12097
6
ngoja nione matukio ya kitamaduni wikendi hii maeneo ya kileleshwa
recommendation
12099
6
olly ni nini inacheza katika sinema ya nairobi
recommendation
12100
6
ni nini inacheza i. max.
recommendation
12101
6
olly tafuta matkio na mikutano ya uhuru park
recommendation
12102
6
ni matukio yepi ya muziki yanafanyika karibu hapa wiki hii
recommendation
12103
6
kuna matukio yoyote ya mtaa andaliwa usiku wa leo
recommendation
12105
6
aki na ukwa
recommendation
12106
6
nataka kujua mahali pa kupata mabawa ya kuku karen
recommendation
12109
6
nahitaji matukio yote ya eneo hili yatakayofanyika wikendi hii
recommendation
12110
6
tafuta tukio la kirafiki na watoto eneo langu usiku wa leo
recommendation
12111
6
tafuta tukio linalowafaa watoto leo usiku mtaa wangu
recommendation
12112
6
mchezo mzuri wa kuigiza yoyote nzuri iliyotolewa hivi karibuni kwenye sinema
recommendation
12113
6
masoko ya mashambani yoyote yalio karibu na bidhaa za mtaa
recommendation
12114
6
nitafutie sehemu za kula karibu nyumbani
recommendation
12115
6
kupata ununuzi wa viatu karibu na nyumbani yangu
recommendation
12116
6
tafuta vioski karibu nyumbani kwangu
recommendation
12117
6
tafuta matukio ya ndani
recommendation
12118
6
alexa tafadhali tafuta matukio karibu nami
recommendation
12120
1
olly niandikie teksi hadi nairobi baada ya nusu saa
transport
12122
1
ratibisha uber ndani ya dakika ishirini hadi chicken inn kwenye barabara ya waiyaki way
transport
12123
1
igiza teksi
transport
12124
1
olly niwekee nafasi ya teksi
transport
12126
1
oya nataka kupata gari la moshi la kwenda nairobi jumatatu
transport
12128
1
nipe mwelekeo jinsi ya kufika kisumu kabla ya saa sita mchana na gari la moshi
transport
12129
1
niagizie gari la moshi kutoka nairobi hadi mombasa siku mbili kutoka sasa
transport
12130
1
panga safari ya kwenda nakuru na gari la moshi
transport
12131
1
kitabu cha safari ya kurudi kutoka nairobi hadi kampala kwa gari la moshi
transport
12132
1
treni inayofuata katika tala ni ipi
transport
12135
1
naweza aje fika mtaa wa moi avenue
transport
12137
1
maelekezo kuelekea quickmart
transport
12138
1
niagizie tiketi ya gari la moshi
transport
12139
1
niagizie nafasi kwa gari la moshi
transport
12140
1
hifadhi tiketi za gari la moshi
transport
12141
1
ni nini trafiki kazini sasa
transport
12142
1
safari yangu ikoje
transport
12143
1
msongamano wa magari ni nini
transport
12145
1
nipigie teksi hadi uwanja wa ndege saa kumi na moja asubuhi
transport
12146
1
olly naomba uniitie teksi kuelekea kituo cha gari la moshi
transport
12147
1
olly nahitaji kufika tala ijumaa usiku unaweza kuniwekea tikiti tafadhali
transport
12148
1
nahitaji kufika nairobi ijumaa usiku unaweza kuniwekea tikiti tafadhali
transport
12151
1
niwekee tiketi ya kwenda paris kwenye eurostar wikendi hii
transport
12152
1
ni saa gani inayofaa zaidi kupata gari la moshi kwenda york siku ya jumamosi
transport
12153
1
ni wakati gani mapema zaidi gari la moshi ya kwanza hadi nairobi
transport
12154
1
hali ya trafiki nje ya ofisi yangu ikoje
transport
12155
1
nihifadhie tiketi ya gari la moshi ya kuenda mahali hapo
transport
12156
1
nunua tiketi la gari la moshi kwenda
transport
12157
1
nipatie tiketi ya gari la moshi ya kwenda
transport
12163
1
unaweza kuweka tiketi ya gari la moshi ya mama yangu
transport
12164
1
unaweza kukata tiketi ya garimoshi kwa baba yangu
transport
12167
1
trafiki ikoje katika mtaa wa nairobi
transport
12169
1
kuna msongamano wa magari sasa hivi kwenye maiden lane
transport
12170
1
trafiki ikoje sasa hivi kwenye telegraph
transport
12171
1
trafiki karibu na uwanja wa ndege uko vipi
transport
12172
1
nihifadhie tiketi ya gari la moshi ya mombasa leo
transport
12173
1
niagizie tiketi ya gari la moshi ya jumatatu inayoenda nairobi
transport
12175
1
niitie uber ya saa nne usiku leo usiku
transport
12176
1
agiza teksi ya kesho saa tano asubuhi
transport
12179
1
hali ya trafiki ikoje katika barabara ya ringroad
transport
12180
1
nahitaji uber kwa eneo langu la sasa
transport
12183
1
kuna ajali yoyote kwenye four hundred and five
transport
12184
1
je kuna ujenzi wowote kwenye njia sitini na sita
transport
12186
1
itanichukua muda gani kwenda hadi kwenye kituo cha gari la moshi kutoka hapa
transport
12187
1
habari za trafiki za hivi punde kwa upande yangu
transport
12188
1
msogamano wa magari unakaa aje katikati ya jiji
transport
12190
1
ni wapi kituo cha gari la moshi karibu zaidi
transport
12191
1
kata tiketi ya gari la moshi kutoka tanzania hadi nairobi
transport
12192
1
weka nafasi ya usafiri kutoka nairobi hadi mombasa ukichukua sehemu kumi za kuona
transport
12193
1
ni hifadhie tiketi la gari la moshi kutoka nairobi kwenda mombasa inapitia kibwezi
transport
12194
1
msongamano wa magari iliyopo sasa katika mji wa washington
transport
12195
1
nipe taarifa kuhusu trafiki nairobi
transport