id
stringlengths
1
5
label
int64
0
17
text
stringlengths
1
221
label_text
stringclasses
18 values
12196
1
kiwango cha msongamano wa magari ni gani huko washington
transport
12197
1
nitafutie tiketi ya garimoshi kwenda kisumu
transport
12198
1
niagizie tiketi ya gari la moshi kwelekea nairobi
transport
12199
1
tafuta tiketi ya treni kwenda mombasa
transport
12200
1
niitishie tiketi ya gari la moshi ya kenya jioni hii
transport
12201
1
nipe maelekezo ya mcdonald's iliyo karibu zaidi
transport
12203
1
nipe njia fupi zaidi ya kwenda kwa uwanja wa ndege
transport
12204
1
tafadhali unaweza kunikodeshea teksi ya kuenda kwenye opera usiku wa leo
transport
12207
1
habari za trafika za waiyaki way inasema aje
transport
12208
1
kuna ujenzi katika chuo kikuu cha nairobi
transport
12209
1
iko ajali yoyote lavington
transport
12210
1
hujambo mtaa unaofuata kutoka eneo la mumbai hadi pune ni upi
transport
12211
1
kuna gari la moshi yoyote inayosafiri kutoka pune hadi mumbai leo usiku
transport
12214
1
ratiba teksi ya mji saa mbili asubuhi kutoka nyumbani hadi kwa uwanja wa ndege
transport
12215
1
kuna msongamano wowote nikielekea kazini
transport
12216
1
kata tiketi ya ndege kwenda
transport
12218
1
nahitaji tiketi ya ndege
transport
12219
1
nionyeshe njia kutoka hapa hadi abita brew pub
transport
12220
1
niambie jinsi ya kutoka hapa hadi kwenye umoina
transport
12221
1
nipe maelekezo ya kutoka hapa crescent city brewhouse hadi new orleans
transport
12222
1
trafiki ikoje
transport
12223
1
olly hali ya trafiki ikoje
transport
12224
1
kuna trafiki yoyote ya kwenda kazini
transport
12225
1
kuna msongamano sahii
transport
12226
1
nunua tiketi ya gari la moshi
transport
12227
1
naweza kununua tiketi ya gari la moshi wapi
transport
12228
1
ninahitaji teksi sasa hivi
transport
12229
1
tafuta teksi huduma iliyo karibu na mimi
transport
12230
1
nahitaji teksi kwenda nyumbani
transport
12231
1
tafuta teksi ya kwenda nyumbani
transport
12234
1
agiza kiti cha business class kwenye gari la moshi inayofuata kuelekea jiji la new york
transport
12237
1
weka teksi kwa sasa
transport
12238
1
nitaweza aje kufika kisumu
transport
12239
1
ni njia gani fupi ya kufika nyumba ya bibi yangu
transport
12241
1
tafadhali enda amtrak dot com kununua tiketi
transport
12242
1
niagizie teksi kwenda uwanja wa ndege
transport
12243
1
niagizie teksi ya kesho asubuhi
transport
12246
1
kuna gari la moshi leo adhuhuri kutoka philadelphia hadi mji wa new york
transport
12249
1
tafuta teksi iliyo karibu zaidi
transport
12250
1
tafuta uber tarehe ishirini na tisa
transport
12255
1
trafiki ya mji wa nairobi iko vipi
transport
12257
1
niambie hali ya sasa ya trafiki karibu na barabara kuu ya park
transport
12259
1
uko na sasisho la trafiki
transport
12262
1
naweza kupata tiketi ya gari la moshi hadi kisumu jumamosi ijayo saa sita mchana
transport
12265
1
tengana
transport
12266
1
ujanja ya kasi ya barabara
transport
12268
1
niambie wakati ambapo barua ya kisumu itafikia mombasa
transport
12269
1
barua ya nakuru itafika kwa wakati nairobi
transport
12270
1
niwekee nafasi ya tikiti ya treni katika treni yoyote ya garissa kesho
transport
12271
1
unaweza kuniandalia tiketi ya gari la moshi hadi nairobi kesho katika gari la moshi yoyote
transport
12272
1
hifadhi tiketi la kesho la gari la moshi la treni yoyote la kwenda kisumu
transport
12273
1
weka mwelekeo wa soko la gikomba
transport
12274
1
pata njia ya pembe za nairobi kutoka hapa
transport
12275
1
rekebisha njia ya kuendesha gari kutoka hapa hadi soko la gikomba
transport
12276
1
nilipie teksi
transport
12277
1
unaweza kunikatia teksi
transport
12278
1
nichukukulie teksi
transport
12279
1
unaweza niangalilia bei ya tiketi ya gari la moshi
transport
12280
1
ningependa tiketi ya gari la moshi kwenda eneo hili
transport
12282
1
nataka tiketi ya gari la moshi kutoka nairobi hadi mombasa
transport
12283
1
ni muda upi gari la moshi kuelekea nairobi itachukua
transport
12285
1
muda gani gari la moshi linaeza tumia kufika mombasa terminus
transport
12286
1
tafuta tiketi za gari la moshi la kituo cha gari la moshi mombasa leo
transport
12287
1
tafuta tikiti za gari la moshi kwenda kisumu kesho
transport
12288
1
mfumo huvuta habari zozote za trafiki kwa safari yangu
transport
12290
1
kusajili tukio au tiketi
transport
12292
1
tiketi ya kuenda new york
transport
12295
1
inachukua muda gani gari la moshi kutoka hadi nairobi
transport
12296
1
nitafutie teksi
transport
12297
1
ita teksi
transport
12300
1
niitie teksi
transport
12301
1
nitafutie uber tafadhali
transport
12304
1
masaa ya gari la moshi la nairobi
transport
12305
1
tafuta garimoshi ambazo huondoka leo usiku kuelekea nairobi
transport
12309
1
nadai kukata tiketi ya gari la moshi
transport
12311
1
kuna vikwazo vyovyote vya trafiki kutokana na ziara ya rais
transport
12312
1
itanichukua muda gani kufika moi avenue kuzingatia trafiki ya sasa
transport
12313
1
madaraka express ni wakati gani
transport
12314
1
ni wakati gani kisumu shuttle itafika kisumu
transport
12315
1
tafadhali nipe ripoti ya trafiki kwa mchana huu
transport
12316
1
nipe taarifa kuhusu msongamano wa magari karibu na eneo langu tafadhali
transport
12319
1
jinsi trafiki kutoka kazini kwenda nyumbani
transport
12320
1
ita teksi
transport
12321
1
olly pigia teksi
transport
12323
1
chanzo na marudio
transport
12324
1
saa na tarehe
transport
12326
1
ni wapi kuna trafiki mingi
transport
12327
1
urefu wa trafiki
transport
12328
1
ni ajali ama msongamano wa kawaida
transport
12330
1
fungua uber na uweke nafasi ya gari kwa saa sita mchana
transport
12331
1
olly nikatie tiketi ya gari la moshi kwa mji wa eldoret siku ya tatu sijali wakati gani
transport
12332
1
niweke tiketi ya gari la moshi kwenda mji mombasa tarehe tatu sijali ni wakati gani
transport
12333
1
agiza tiketi ya gari la moshi inayotoka nairobi kwenda mombasa wakati wa kesho kama inapatikana
transport
12335
1
hesabu urefu na dira kutumia gari la moshi inayoenda rccg in nairobi
transport
12336
1
ni umbali gani hadi mombasa kutoka hapa kwa gari la moshi
transport
12337
1
kiwango cha trafiki cha nairobi ni zaidi
transport
12341
1
kata tiketi tatu za safari ya kwenda na kurudi kwa treni kwa jumapili saa moja jioni tiketi ya kurudi wiki ijayo jumapili saa mbili asubuhi
transport
12342
1
angalia muda wa gari la moshi ya rift valley railways kutoka kituo cha mombasa siku ya jumatatu
transport
12344
1
angalia wakati wa treni ya gari la moshi kutoka kituo cha mombasa siku ya jumatatu
transport
12346
1
katika kiwango cha trafiki ya nairobi ni cha juu
transport