id
stringlengths
1
5
label
int64
0
17
text
stringlengths
1
221
label_text
stringclasses
18 values
1470
10
nyamazisha vipaza sauti
audio
1471
10
ongeza sauti hadi sitini
audio
1472
10
punguza sauti hadi ishirini
audio
1473
4
nipe habari za leo za michezo
news
1475
4
niambie vichwa vya habari vya michezo ya leo
news
1476
8
punguza taa
iot
1477
8
punguza mwangaza
iot
1479
9
ni utani gani iliyopewa kiwango cha juu zaidi leo
general
1480
8
unaweza badilisha taa za sebuleni ziwe rangi laini zaidi
iot
1481
8
chagua rangi angavu zaidi kwa kusoma
iot
1482
8
fanya taa iwe na kivuli nyekundu sebuleni
iot
1484
16
kagua kengele nikonazo
alarm
1485
16
orodhesha kengele zote
alarm
1486
3
cheza chochote ya sauti sol
play
1487
3
cheza wimbo wa mwisho kutoka kwa orodha yangu ya hivi karibuni
play
1488
3
cheza jazi kutoka kwa albamu ya hivi karibuni ya kamaru
play
1490
3
cheza wimbo mpya wa nadia mukami
play
1491
4
nipe habari kutoka k. t. n.
news
1492
4
fungua tovuti ya b. b. c. news dot com
news
1494
15
wimbo gani nasikiliza zaidi
music
1495
15
ni aina gani ya muziki mimi huskiza sana
music
1496
15
pendekeza nyimbo kulingana na orodha yangu ya kucheza
music
1497
3
ningependa kusikiliza otile brown
play
1498
3
cheza baadhi ya nyimbo za eric wainaina
play
1499
8
zima taa za sebuleni
iot
1500
8
washa taa za ukumbi
iot
1501
8
washa taa zote za gorofa ya juu
iot
1502
8
zima taa ya kushoto
iot
1503
5
kama ni saa kumi jioni nairobi ni saa ngapi mombasa
datetime
1504
5
ni saa mbili usiku huko ufaransa je ni saa ngapi huko new york
datetime
1505
8
washa plagi ya wemo
iot
1506
8
washa plagi ya wemo
iot
1507
8
fanya soketi ya plagi ya wemo iwashwe
iot
1508
10
weka mode ya kunyamaza saa moja
audio
1512
8
badilisha rangi iwe nyekundu
iot
1514
17
je mvua inatakiwa kunyesha usiku wa leo
weather
1515
15
wimbo huu unaocheza ulitolewa lini
music
1517
14
agiza pizza kutoka kwa subway
takeaway
1518
14
agiza nyama choma kutoka kwa frikas
takeaway
1519
8
washa sufuria ya kahawa
iot
1520
10
ongeza sauti hadi hamsini
audio
1521
10
punguza sauti hadi kumi
audio
1522
10
ongeza sauti ya spika ya upande wa kushoto na kumi
audio
1523
3
cheza nyimbo za nchi
play
1524
3
cheza baadhi ya muziki za sauti sol
play
1526
15
ongeza wimbo huo kwenye orodha yangu ya kucheza
music
1529
3
cheza nyimbo za harmonize
play
1530
3
cheza nyimbo za nadia mukami
play
1531
4
tafadhali tafuta kipya kwa c. n. n.
news
1532
4
vuta habari za kisiasa kutoka c. n. n. leo
news
1534
17
hali ya hewa ikoje nakuru
weather
1535
17
je kunanyesha toledo sasa hivi
weather
1536
5
ni saa ngapi sasa kenya ukilinganisha na uganda
datetime
1538
14
agizo langu liko tayari
takeaway
1539
14
je ninaweza kuchukua chakula changu saa ngapi
takeaway
1540
14
ni lini chakula changu kitakuwa tayari
takeaway
1541
17
sitaki kubeba mwavuli tutapata mvua leo
weather
1543
17
tafadhali niambie kama kutakuwa na theluji wikendi hii
weather
1550
8
zima wemo
iot
1552
8
washa plagi mahiri
iot
1553
8
zima taa za sebuleni
iot
1555
17
hali ya anga itakuwaje wiki hii
weather
1556
17
tafadhali nipe ripoti ya hali ya hewa ya wiki hii
weather
1559
15
nipendekezee baadhi ya muziki wa metal
music
1560
3
wacha tusikie baadhi ya jazz
play
1561
8
unaweza ongeza mwangaza wa taa kuenda juu tafadhali
iot
1562
8
kuna giza humu ndani waweza ongeza kiwango cha mwangaza
iot
1563
4
nipe maelezo kwa kifupi
news
1564
4
ni nini kinaendelea ulimwenguni leo
news
1565
4
habari ilikuwaje march nne elfu mbili na kumi na saba
news
1567
3
acha tuskize orodha ya kucheza
play
1568
3
changanya na ucheze orodha ya kucheza
play
1570
8
nitengenezee kahawa ya maziwa
iot
1572
8
tafadhali nipatie kahawa ya maziwa
iot
1573
8
washa kifyonzi
iot
1574
8
washa kifyonza
iot
1577
3
weka baadhi ya muziki wa techno tafadhali
play
1578
9
niambie utani nzuri ya daktari
general
1580
5
leo ni tarehe gani
datetime
1582
4
nipe habari za hivi karibuni kuhusu rais kenyatta
news
1583
4
pata habari ya karibuni kuhusu formula one racing tafadhali
news
1584
4
tafuta habari za hii wiki kuhusu sheria za uhamiaji nchini kenya tafadhali
news
1585
15
hifadhi maoni yangu kuhusu wimbo ambao unacheza
music
1586
15
hifadhi maoni yangu kuhusu wimbo unaocheza wakati huu
music
1587
15
hifadhi maoni yangu kwa wimbo unaocheza kwa sasa wangu
music
1588
17
hali ya anga ikoje kesho
weather
1591
3
wimbo wa justin bieber
play
1592
3
nichezee baadhi za wimbo wa melody
play
1595
4
tafadhali toa habari moto moto za dunia
news
1596
5
saa ngapi huko kisumu
datetime
1597
8
washa roomba
iot
1598
8
tafadhali washa roomba
iot
1600
3
cheza muziki kutoka v. t. v.
play
1601
3
cheza nyimbo kutoka machachari
play
1602
3
kucheza orodha ya muziki kutoka nairobi half life
play
1603
16
angalia kama nimeweka kengele yoyote ya kesho asubuhi
alarm
1604
16
kengele ya kesho asubuhi imewekwa saa ngapi
alarm
1605
16
kengele imewekwa ya kesho asubuhi
alarm
1606
5
tafadhali nipe muda wa sasa nchini india
datetime
1608
5
niambie wakati wa sasa huko malaysia
datetime