id
stringlengths
1
5
label
int64
0
17
text
stringlengths
1
221
label_text
stringclasses
18 values
1326
14
mkahawa huo hufanya maagizo ya chakula cha kuenda nayo
takeaway
1328
17
hali ya anga ikoje leo
weather
1329
17
je hali hewa ni ni kawaida leo
weather
1330
15
huu wimbo unaitwaje
music
1331
15
huu wimbo ni wa nani
music
1332
15
naweza kuupata huu wimbo wapi
music
1335
15
mimi napenda muziki wa sauti sol tafathali nichezee
music
1338
16
mimi nina kengele gani zmepangwa kesho
alarm
1339
16
ni kengele gani zimewekwa asubuhi
alarm
1340
5
ni siku ya kumi na nane ya jumatatu au jumapili
datetime
1341
5
siku ya pasaka ni siku gani
datetime
1342
15
wimbo nipendao zaidi ndio huo
music
1343
3
cheza muziki zilizopendwa
play
1344
3
jaribu kucheza muziki wa mtindo wa genge
play
1345
5
elfu hamsini mia mbili na saba
datetime
1347
5
mia moja na hamsini elfu mia mbili na kumi na saba
datetime
1348
5
unaweza kuniambia wakati wa sasa
datetime
1350
17
hali ya hewa ikoje wiki hii
weather
1353
10
mimi nataka kupunguza mwendo wa kipaza sauti changu
audio
1355
8
mfumo tafadhali punguza taa ili kuwasha bluu nyepesi
iot
1356
8
tafadhali badilisha rangi ya taa hadi zambarau
iot
1358
3
weka traki ya muziki
play
1359
3
utawezana wimbo wa muziki
play
1362
8
washa soketi
iot
1363
8
fanya soketi ipatikane kwangu
iot
1364
8
weka soketi katika hali ya mbali
iot
1366
10
ongeza sauti kidogo
audio
1367
10
punguza sauti
audio
1368
8
punguza mwangaza hadi kiwango cha chini
iot
1369
4
unaweza nichezea habari ya k. b. c.
news
1370
4
niambie habari za citizen t. v. sasa hivi
news
1373
10
unaweza ongeza sauti iwe juu
audio
1375
10
unaweza ongea kwa sauti ya juu
audio
1376
8
tafadhali zima taa za bafu
iot
1378
14
chicken inn huleta
takeaway
1381
10
ongeza sauti ya muziki
audio
1382
3
cheza muziki changanya
play
1384
5
ni tarehe gani ijumaa ya tatu ya mwezi huu
datetime
1386
5
ni tarehe gani ya siku mbili za jumatano kuanzia nyuma leo
datetime
1388
17
olly je kuna uwezekano wa mvua kunyesha jumamosi
weather
1389
17
hali ya hewa itakuwa aje siku ya jumamosi
weather
1390
17
olly je hali ya hewa itakuwaje jumamosi
weather
1391
17
olly kutakuwa kuzuri siku ya jumamosi
weather
1392
9
hey olly kuna nini
general
1393
5
wakati
datetime
1394
5
ni saa ngapi sasa
datetime
1395
5
ni saa ngapi
datetime
1396
3
muziki wa sauti sol
play
1397
3
cheza sauti sol
play
1398
3
cheza muziki wa willy paul
play
1399
17
mimi daima makini
weather
1402
3
tafadhali cheza baadhi ya jazi
play
1403
3
ni nyimbo zipi ishirini bora za jazz
play
1405
17
kuna joto la kiasi gani mombasa
weather
1407
3
sifa
play
1408
3
cheza kolo
play
1409
3
cheza za kale kali
play
1410
8
nitengenezee kahawa kidogo
iot
1411
8
olly nitengenezee kahawa
iot
1412
8
nitengenezee kahawa kidogo
iot
1414
8
nahitaji kahawa itengenezwe olly
iot
1415
14
nataka kuagiza kiasi cha chakula
takeaway
1417
14
sehemu za kuagiza chakula cha kupakia
takeaway
1418
8
tafadhali ongeza mwangaza wa taa
iot
1419
8
mwangaza zaidi tafadhali
iot
1420
5
tafadhali niambie saa
datetime
1421
15
nani anayeimba huo wimbo
music
1422
15
tafadhali hifadhi huo wimbo
music
1424
4
nijulishe kuhusu uchaguzi mpya
news
1426
8
badilisha taa iwe bluu
iot
1429
3
tengeneza orodha ya nyimbo za nyimbo zote za otile brown na ucheze uki changanya
play
1431
3
cheza wimbo wa khaligraph wa hivi karibuni
play
1432
10
tafadhali ongeza sauti juu
audio
1433
10
tafadhali kataa kiasi
audio
1434
10
dhibiti sauti tafadhali
audio
1435
5
niambie ni saa ngapi kisumu
datetime
1436
16
nikona kengele gani
alarm
1437
16
niruhusu nione kengele zangu
alarm
1438
16
mimi nina kengele gani
alarm
1439
3
pakua nyimbo za hivi karibuni za watu ukadiriaji wa nyota nne au zaidi na kucheza zote bila kuchanganyikiwa
play
1441
3
cheza nyimbo zote za pop za juliani
play
1443
10
nyamaza
audio
1444
10
kimya
audio
1445
10
nyamaza
audio
1447
3
kucheza muziki wa miriam makeba bila kuchanganyisha
play
1448
5
lini ni halloween
datetime
1450
8
washa taa
iot
1451
8
rekebisha taa
iot
1453
16
badilisha mipangilio ya kengele ya kila wiki
alarm
1455
17
hali ya hewa
weather
1456
17
je nje kukoje
weather
1457
17
je nairobi kukoje
weather
1459
14
agiza piza kubwa ya pilipili ya kupakia kutoka pizza inn
takeaway
1460
14
ninaomba kuchukua mboga kidogo na na kuki kutoka subway
takeaway
1461
14
weka agizo la baga na chipsi za kubeba kutoka java
takeaway
1462
4
fuata malisho ya habari za kampeni ya kibaki
news
1463
4
nijulishe sasisho ya habari za kenya
news
1464
4
nipe sasisho ya hali ya uganda
news
1465
17
je itanyesha ijumaa
weather
1469
3
cheza adhiambo
play