id
stringlengths
1
5
label
int64
0
17
text
stringlengths
1
221
label_text
stringclasses
18 values
1034
3
cheza muziki wa justin bieber
play
1035
3
nichezee wimbo wa zuchu wa karibuni
play
1036
16
kengele yangu ya kazi ya kesho imewekwa
alarm
1037
16
nikona kengele gani zimewekwa za alhamisi
alarm
1039
4
je una habari zipi leo
news
1040
4
nini iko kwa new york time
news
1041
4
kuna nini kwenye habari leo
news
1044
14
ni eneo gani bora la pizza karibu nami ambalo inawasilisha
takeaway
1045
3
unaweza cheza rhumba
play
1046
3
unaweza kucheza nyimbo kuhusu kuachana
play
1049
10
badilisha mpangilio ya rekodi ya sauti
audio
1050
10
zima bass kutoka kwa sauti
audio
1052
17
kuna nafasi gani ya kunyesha leo
weather
1053
15
wimbo huu sio mzuri sana
music
1054
15
tafathali hifadhi wimbo huu kwa nyimbo ninazopenda sana
music
1055
15
usicheze wimbo huu tena
music
1056
8
anza kifyonzi cha roboti saa saba mchana leo
iot
1057
8
nataka kifyonzi cha roboti kianze saa saba mchana leo
iot
1060
8
je robot vacuum cleaner inapaswa kuingizwa ndani
iot
1062
4
nataka kupata taarifa kila saa ya habari ya kifedha
news
1064
10
onyesha mipangilio ya sauti
audio
1066
10
nahitaji kuona mipangilio ya sauti
audio
1067
8
una amilisha kifyonzi cha roboti aje
iot
1068
8
kunacho nafaa kujua kabla ya kuamirisha kifyonzi cha roboti
iot
1069
9
ninapaswa kuwa na wasiwasi juu ya kisafishaji cha utupu cha roboti wakati wa kuanzisha
general
1070
8
ongeza mwangaza sebuleni
iot
1073
8
punguza mwangaza sebuleni
iot
1074
8
tafadhali punguza mwangaza wa taa za juu
iot
1075
8
zima taa kwa asilimia ishirini
iot
1077
3
starehe
play
1078
3
huzuni
play
1079
17
hali ya hewa itakuwaje kesho katika eneo hii
weather
1080
17
nipe taarifa ya hali ya hewa kesho
weather
1081
17
nionyeshe orodha ya hali ya hewa ya kesho
weather
1082
10
sauti yako iko juu sana tafadhali rudia hiyo ya chini
audio
1083
10
sijakusikia rudia hiyo kwa sauti
audio
1086
10
tafadhali wacha kidogo
audio
1087
10
tafadhali jinyamazishe
audio
1088
10
ulijipata ukiwa umejinyamazisha
audio
1089
8
ongeza mwangaza wa taa uwe juu tafadhali
iot
1091
8
tafadhali fanya chumba kung'aa zaidi
iot
1092
4
enda kwa daily nation
news
1095
3
cheza orodha yangu ya kucheza
play
1096
3
cheza nakupenda malaika
play
1097
3
cheza orodha yangu ya muziki wa benga
play
1099
5
ni lini mwezi ujao ambao una siku thelathini na moja
datetime
1100
9
uko aje leo
general
1101
9
habari ya asubuhi olly
general
1102
9
asubuhi njema
general
1103
9
mchana mwema
general
1104
17
hali ya hewa iko aje sasa new jersey
weather
1105
17
nipatie utabiri wa hali ya hewa ya beijing
weather
1106
17
nataka kujua hali ya hewa ya nairobi
weather
1107
15
mimi kwa kweli ska wimbo
music
1109
15
mimi ufurahia muziki wa rap sana
music
1110
3
cheza like a virgin wa madonna
play
1111
3
cheza wimbo wa chakacha
play
1112
3
kucheza elfu moja mia tisa na tisini na tisa wa prince
play
1113
15
hifadhi nyimbo zote kutoka eric wainaina
music
1114
3
kukusanya nyimbo yangu zote kutoka kwa mejja
play
1116
3
cheza orodha ya kucheza ya mighty kingkong
play
1117
3
cheza orodha ya kucheza ya maroon commandos
play
1118
4
tafadhali niambie habari ya karibuni kuhusu siasa
news
1119
4
nini kinaendelea kwenye siasa
news
1126
5
niambie tarehe
datetime
1128
3
cheza albamu ya mwisho ikijirudia
play
1129
3
cheza nyimbo zote zangu ninazozipenda
play
1130
17
je itanyesha baadaye leo
weather
1131
17
niambie kiwango cha unyevunyevu pande ya chini ya jiji leo
weather
1132
16
washa kengele
alarm
1133
16
weka kengele saa kumi na moja na nusu asubuhi
alarm
1134
16
weka kengele ya saa kumi na moja asubuhi
alarm
1135
4
kuna habari gani asubuhi hii
news
1136
4
ni habari gani mpya kwa siku
news
1137
2
tafadhali niambie matukio ya sasa kwa siku
calendar
1138
14
pigia jumia na chukua agizo ya pilau kuenda
takeaway
1139
14
weka agizo ya kubeba java
takeaway
1140
14
agiza spageti kutoka dukani ulete nyumbani
takeaway
1141
5
ni tarehe ishirini na tisa tayari
datetime
1142
5
niambie ni siku gani ya juma
datetime
1143
3
cheza orodha ya midundo ya huzuni yangu
play
1145
8
tafadhali washa kifyonzi changu
iot
1146
8
amilisha kifyonzi cha roboti
iot
1147
8
washa kifyonzi sasa
iot
1149
5
wakati wa nairobi sasa
datetime
1150
5
sasa ni saa ngapi nairobi kenya
datetime
1152
8
tumia kifyonzi kwenye ukumbi
iot
1153
8
toa vumbi ukitumia kifyonzi
iot
1154
8
zima taa za jikoni
iot
1155
8
zima taa ndani ya chumba cha kulala
iot
1157
4
habari kuu ya siku ya kimataifa ya wanawake
news
1159
9
sema mambo ya kuchekesha
general
1161
15
tafadhali sawazisha usawa katika hali ya chama
music
1162
3
tafadhali kucheza nyimbo zote kwa sauti ya juu na kufanya marekebisho kwa hali ya muziki pop
play
1163
3
cheza nyimbo zote za luta kabari
play
1164
3
cheza barua kwa bahati
play
1165
15
niko ma muziki wowote wa kalamashaka
music
1166
8
olly nataka kahawa ya maziwa
iot
1167
8
ningependa kahawa
iot
1168
8
naweza pata mkahawa wa amerikano tafadhali
iot