id
stringlengths
1
5
label
int64
0
17
text
stringlengths
1
221
label_text
stringclasses
18 values
902
3
nitengeneze orodha ya sauti sol
play
903
3
nitafutie muziki mpya kutoka sam mangwana
play
904
17
hali ya hewa itakuwaje wiki ijayo
weather
905
17
halijoto itakuwaje wiki kesho
weather
907
8
unaweza washa kifyonzi
iot
908
8
tafadhali weka kifyonzi kufanya sasa hivi
iot
909
5
saa ngapi huko nairobi
datetime
910
5
saa ngapi sasa hivi huko nairobi
datetime
911
5
tafadhali niambie wakati wa sasa huko nairobi
datetime
912
3
cheza kituo cha pandora yangu ninayopenda zaidi
play
913
3
cheza pandora
play
915
8
zima taa kwa chumba changu
iot
916
5
tafadhali niambie ni saa ngapi
datetime
917
16
toa kengele yangu ya asubuhi
alarm
918
16
tafadhali futa kengele yangu ya asubuhi
alarm
919
16
olly tafadhali futa kengele yangu ya asubuhi
alarm
922
3
cheza muziki kutoka kwenye kituo cha pandora nikipendao
play
923
3
cheza wimbo kutoka kwa wanavokali ya nakupenda malaika
play
924
8
punguza mwangaza kidogo
iot
926
8
punguza mwangaza zaidi kidogo
iot
927
15
nani huimba wimbo huu
music
928
15
wimbo huu unaitwaje
music
929
15
taja mwimbaji
music
930
15
rudia wimbo huu
music
932
15
tafathali hifadhi wimbo huu
music
933
15
weka hii iwe ninayopenda
music
934
10
badilisha sauti ya spika
audio
935
3
unaweza kuwasha pandora
play
941
16
weka kengele yangu tafadhali
alarm
942
5
saa ngapi nairobi sasa hivi
datetime
945
9
wahimize wanafunzi
general
946
9
kubuni ya kugatuliwa
general
947
4
mzaingira ifuatayo kujibu maswali
news
948
15
mimi napenda wimbo usuli
music
949
15
huo wimbo ulio chini kwa chini unaudhi
music
950
17
hali ya hewa iko aje huko new york
weather
952
17
je hali ya hewa ni mbaya katika nairobi hivi sasa
weather
953
10
unaeza yamazisha kipaza sauti changu tafadhali
audio
954
10
sauti imezimwa
audio
955
16
weka kengele ya saa kumi na moja asubuhi
alarm
956
16
weka kengele yangu saa kumi na mbili na nusu kesho asubuhi
alarm
957
16
nataka kengele iwekwe ya saa kumi na mbili
alarm
958
8
kuuliza kuhusu teknolojia hii
iot
959
8
roboti kupitia vifaa vinavyowezeshwa na bluetooth
iot
960
8
tafadhali ongeza mwangaza
iot
961
8
tafadhali ongeza mwangaza ndani ya chumba hiki
iot
963
8
punguza mwangaza wa taa tafadhali
iot
965
14
chicken inn hufanya ya kubeba
takeaway
968
4
onyesha habari kuhusu mada maalum
news
970
4
habari ya karibuni ya somo fulani
news
971
4
ni nini kipya leo
news
972
4
nini kinaendelea kesho
news
973
4
habari za hivi sasa ni zipi
news
976
5
saa ngapi huko nairobi sasa
datetime
977
8
tafadhali zima taa kwa chumba hiki
iot
978
8
tafadhali zima taa
iot
979
10
tafadhali ongeza sauti ya muziki
audio
980
10
hiyo sauti ni ya juu sana tafadhali punguza sauti ya muziki
audio
981
10
tafadhali ongeza sauti hadi upeo
audio
982
8
badilisha rangi ya taa ndani ya nyumba yangu kutoka nyeupe hadi manjano
iot
983
8
badilisha rangi ya taa kwenye chumba changu cha kulala kuwa nyekundu
iot
985
4
habari ya leo citizen
news
986
4
habari ya dunia ya sasa
news
987
4
habari za dunia za c. n. n.
news
988
4
habari za dunia
news
989
9
nionyeshe kichekesho cha mzaha
general
990
3
cheza nakupenda malaika baada ya wimbo huu
play
991
3
wimbo huu ukiisha cheza motoba
play
992
3
baada ya hii wimbo uishe nataka kusikia hapo zamani ikifuata
play
993
3
cheza baba yetu kutoka mwaipaja
play
994
3
cheza sinyorita kutoka nash
play
995
3
nataka kuskiza irene
play
996
3
tafuta neema na ucheze hiyo
play
998
8
zima taa ya chumba hiki
iot
1000
8
zima soketi ya plagi mahiri yangu
iot
1001
8
tafadhali washa soketi yangu ya plagi mahiri
iot
1002
16
futa kengele yangu ya saa mbili asubuhi
alarm
1003
16
toa kengele yangu ya kesho asubuhi
alarm
1004
16
tafadhali zima kengele yangu ya hii jioni
alarm
1005
3
cheza nameless kutoka orodha ya kucheza yangu ya hivi karibuni
play
1006
3
nataka kuskia verckys kwenye orodha ya kucheza yangu ya lingala
play
1008
17
hali ya hewa itakuwa mbaya siku ya jumapili
weather
1009
17
hali ya hewa itakuwaje wikendi hii
weather
1010
4
leta habari ya leo kutoka k. t. n.
news
1011
4
nataka kusikia habari kutoka tuko
news
1013
5
tofauti ya saa ngapi ni kisumu kutoka nairobi
datetime
1017
4
tafadhali fungua programu ya habari
news
1018
17
hali ya hewa itakuwaje leo
weather
1019
17
je kutakua na theluji leo
weather
1020
17
hali ya hewa ikoje kwa sasa
weather
1021
15
kuna rap isiyohusu ngono pesa na madawa
music
1022
15
kwa muziki wa bango yote kunao waimbaji wowote
music
1024
14
nataka kujua kama chicken inn hutoa huduma ya kubeba
takeaway
1025
14
niambie kama serena inakubali takeaway
takeaway
1026
5
tafadhali nionyeshe tarehe ya leo
datetime
1028
8
tafadhali kengeua mwangaza wa mataa chini
iot
1029
8
ni mkali sana hapa punguza taa
iot
1031
8
punguza mwangaza wa taa za sebuleni
iot
1032
8
badilisha taa za chumba cha media kutoka zambarau hadi kijani
iot
1033
8
ongeza mwangaza wa taa kwenye ukumbi wa mbele
iot