id
stringlengths
1
5
label
int64
0
17
text
stringlengths
1
221
label_text
stringclasses
18 values
1169
8
nahitaji kahawa
iot
1170
8
olly nataka kahawa
iot
1171
3
cheza orodha ya kucheza yangu
play
1172
3
nichezee wimbo
play
1173
10
rekebisha sauti
audio
1174
10
peana sauti inayopendeza
audio
1175
10
dhibiti sauti kwa raha zako
audio
1178
15
nani aliandika wimbo nataka tu kucheza na wewe
music
1181
4
tafuta makala ya uhuru mpya lakini sio kutoka the standard
news
1183
16
saa sita usiku imetolewa
alarm
1185
4
ni habari gani za hivi punde za eneo la greenville
news
1186
4
kuna makala ya dubu wa polar
news
1187
3
weka wimbo wa lingala
play
1188
3
cheza muziki wa chakacha
play
1190
5
ikiwa ni saa sita usiku huko kisumu saa ngapi nairobi
datetime
1193
3
olly nahitaji kusikia nadekezwa ya mbosso sasa
play
1194
3
cheza landlord ya mejja katika saa tano asubuhi kesho kwa kuhakikisha kwamba nime amka
play
1195
3
ningependa kusikia wimbo wowote umepewa nyota tano ya nyota ndogo
play
1198
17
niambie joto ilikuwaje katika jiji letu saa sita mchana
weather
1199
9
sema kitu inachekesha
general
1200
9
olly sema kitu ya kuchekesha
general
1203
17
angalia sasisho la hali ya hewa lagos wiki hii
weather
1204
3
cheza nakupenda malaika sasa
play
1206
16
zima kengele yangu ya saa tisa alasiri
alarm
1207
16
futa kengele yangu ya saa tisa alasiri
alarm
1208
6
nitafutie mkahawa mzuri kwa chakula cha jioni
recommendation
1212
3
cheza kristina
play
1213
8
olly nataka mwangaza wa buluu
iot
1214
8
nahitaji umeme wa buluu
iot
1218
8
badilisha mwangaza uwe buluu
iot
1219
15
weka changanya kwa spotify
music
1220
15
rudia wimbo huu wa gengetone
music
1221
3
tafadhali cheza jinamizi kutoka kwa le mangelepa
play
1226
5
nipe tarehe ya jumatatu wiki ya tatu ya mwezi huu
datetime
1228
4
nisomee nakala mpya zaidi kuhusu mfumo mpya wa jua
news
1229
4
nitafute habari mpya kuhusu siasa za u. s.
news
1230
14
niagizie piza kubwa kutoka java
takeaway
1231
14
je unaweza kunielekeza kwenye orodha ya chakula cha mkahawa wa kichina wa takeaway uliopewa alama za juu zaidi karibu yangu
takeaway
1232
14
nipe chaguzi za kubeba pizza chini ya shilingi
takeaway
1233
5
saa ngapi huko nairobi sasa
datetime
1235
5
ni wakati gani wa uganda saa kumi na moja jioni
datetime
1236
8
tafadhali unaweza kubadilisha hali ya taa
iot
1237
8
tafadhali rekebisha rangi katika taa zangu
iot
1239
3
cheza shazaam
play
1240
3
spotify
play
1242
5
habari ni saa ngapi sasa
datetime
1243
9
tafuta mzaha kwenye vault yako na uniambie
general
1244
8
napenda rangi nyekundu nyumbani kwangu badilisha
iot
1245
8
weka rangi ya taa iwe nyekundu
iot
1246
14
je java ipo kwenye jumia foods
takeaway
1248
5
unaweza kuniambia tarehe ya leo
datetime
1250
17
kuna uwezekano wowote wa mvua wiki hii
weather
1251
17
tafadhali nidokeze kuhusu hali ya hewa ya wiki hii
weather
1253
5
tafadhali nipe muda
datetime
1254
17
joto ilikuwaje huko new york asubuhi ya leo
weather
1255
4
tupatie habari ya kura za urais
news
1258
17
nipe maelezo ya hali ya hewa ya machi kumi na tano
weather
1260
15
nataka kusema kitu kuhusu wimbo huu
music
1261
15
huu wimbo ni bomba sio
music
1262
16
kengele yangu imewekwa ya lini
alarm
1263
16
nikona kengele ngapi
alarm
1267
5
niambie wakati wa sasa katika wakati wa kati
datetime
1269
4
nini inaendelea kwenye dunia sasa hivi
news
1270
4
ni nini habari
news
1273
5
inaangukia jumapili tarehe tano disemba
datetime
1274
2
unaweza kuthibitisha kwamba mkutano yangu ya kesho umeghairiwa
calendar
1275
8
tafadhali nitengenezee kahawa nzuri
iot
1284
5
badili wakati huu kuwa saa wastani ya india
datetime
1285
5
nataka wakati halisi katika nairobi saa hii
datetime
1286
5
saa ngapi sasa huko kisumu
datetime
1287
5
ni saa ngapi
datetime
1288
5
unaweza kuniambia saa sasa
datetime
1289
3
nataka kusikiliza nyimbo za nandy tafadhali weka hiyo
play
1290
8
washa plagi
iot
1291
8
zima plagi
iot
1292
8
washa plagi mahiri
iot
1296
4
nipatie kuhusu habari za mkutano wa leo
news
1297
10
kwa sauti
audio
1298
10
olly ongeza sauti
audio
1299
10
pole pole
audio
1302
4
raila odinga waziri mkuu wa kenya anazuru nchi yoyote
news
1303
4
sera za kiuchumi za uhuru ni gani
news
1304
5
vipi olly ni tarehe gani leo
datetime
1305
5
jambo ni tarehe gani leo
datetime
1306
5
unaweza kuniambia ni tarehe ngapi leo
datetime
1307
17
hali ya hewa ya leo ikoje hapa
weather
1309
17
hali ya hewa iko aje hapa leo
weather
1311
5
ni tofauti gani ya saa kutoka hapa hadi laikipia
datetime
1313
17
nini utabiri wa hali ya anga kwa leo
weather
1314
17
hali ya hewa inapaswa kuwa nzuri leo
weather
1315
8
waweza fanya hapa pawe katika rangi ya blue
iot
1316
8
fanya taa kuwa ya buluu humu
iot
1317
3
nichezee muziki
play
1319
3
cheza wimbo wa malaika
play
1320
17
olly hali ya hewa leo iko aje
weather
1321
17
hali ya hewa iko aje leo
weather
1322
17
pata ripoti ya hali ya hewa leo
weather
1323
10
tafadhali ongeza kiwango cha sauti
audio
1324
14
je mkahawa ule una huduma ya kubeba chakula
takeaway
1325
14
je uwaweza kuagiza chakula kwa kupiga simu kutoka mkahawa ule
takeaway