id
stringlengths
1
5
label
int64
0
17
text
stringlengths
1
221
label_text
stringclasses
18 values
5187
4
olly unao habari yoyote la mtaa
news
5188
17
hali ya hewa ikoje katika jiji la nairobi
weather
5190
10
fanya sauti zaidi
audio
5191
10
washa spika juu
audio
5192
10
ongeza sauti zaidi tafadhali
audio
5193
5
saa ngapi huko nairobi sasa hivi
datetime
5194
5
nahitaji kujua ni saa ngapi sasa hivi katika jiji la nairobi
datetime
5197
8
naweza kupata kikombe cha kahawa
iot
5200
15
hifadhi wimbo huu kwa nyimbo zangu zilizosifika
music
5203
5
saa mbili asubuhi kasarani ni saa ngapi eneo la masaa ya mashariki
datetime
5205
3
washa baikoko
play
5206
3
nataka kusikia reason with me
play
5210
16
nikona kengele gani zimewekwa za leo
alarm
5211
3
ninataka kusikiliza nyimbo za classical
play
5212
3
cheza muziki ya jazz
play
5213
3
napenda kusikiliza muziki ya kihindi
play
5214
17
nibebe nguo za joto
weather
5215
17
olly nahitaji mafuta ya jua
weather
5217
4
nini kipya leo
news
5218
4
niambie vichwa vya habari vya k. b. c. vya karibuni
news
5220
10
weka sauti ya spika ifikie upeo
audio
5222
4
niambie habari ya karibuni kuhusu uhuru kenyatta
news
5223
4
ni habari ipi ya hivi karibuni kuhusu uhuru kenyatta
news
5224
4
ni kipi kipya kuhusu donald trump
news
5226
8
zima soketi mahiri
iot
5227
8
fanya soketi mahiri kuzima
iot
5228
8
fanya soketi mahiri weka kuzima
iot
5230
17
nivae kofia leo
weather
5231
17
nivae buti za mvua
weather
5233
12
nani alichaguliwa kama naibu sentimita wa kampuni la soda
qa
5234
17
je nitaleta mwavuli baadaye
weather
5235
17
mwavuli baadaye
weather
5237
3
fungua kicheza media na ucheze gym playlist yangu
play
5238
4
onyesha habari za hivi punde kuhusu uhamiaji
news
5239
4
onyesha habari za leo kuhusu uhamiaji
news
5240
4
onyesha ripoti ya b. b. c. kuhusu uhamiaji
news
5241
16
uliweka kengele ya saa kumi na moja asubuhi
alarm
5244
8
zima taa jikoni
iot
5246
4
nijulishe habari zinazochipuka kwenye k. b. c.
news
5247
17
je ninahitaji kuleta koti leo
weather
5248
17
nahitaji kuleta koti leo
weather
5252
17
je naweza kwenda nje bila mwavuli wowote
weather
5253
3
tafadhali cheza muziki kutoka orodha ya kucheza yangu
play
5254
3
anza kucheza watoto ya obach machoka
play
5255
3
cheza wimbo malaika
play
5256
15
badilisha wimbo
music
5257
15
fungua music player settings
music
5259
15
pongezi kwa wimbo huu
music
5260
15
ongeza wimbo huu kwa muziki wangu
music
5262
15
nani huimba hii
music
5263
15
jina la bendi
music
5264
4
msaidizi wa kibinafsi wa dijiti
news
5265
4
google nyumbani
news
5268
5
ingekuwa wakati gani kwa kenya
datetime
5269
5
saa kumi na moja unusu katika nairobi nini kuhusu wakati katika kisumu
datetime
5271
4
habari za hivi sasa za fedha
news
5272
4
habari ya kipindi cha runinga ya hivi punde
news
5273
3
cheza rhumba
play
5274
3
tafadhali cheza pop playlist yangu
play
5275
15
tafadhali angalia na rudia huu wimbo mara ingine moja
music
5276
15
tafathali usi changanye nyimbo kwa mtambo wa ngoma cheza zikiendelea
music
5277
10
tafadhali ongeza sauti kwa kicheza muziki
audio
5281
4
onyesha ripoti za hivi punde za k. t. n.
news
5283
10
tafadhai jinyamazishe
audio
5284
10
tafadhali rudisha sauti yako
audio
5285
4
onyesha habari za za uhamiaji
news
5287
4
onyesha ripoti ya b. b. c. kuhusu uhamiaji
news
5288
5
saa ngapi huko kisumu
datetime
5289
4
nataka kujua habari za karibuni ni zipi
news
5291
17
hali ya joto nje iko aje sasa
weather
5293
16
weka kengele
alarm
5294
10
unaweza kuiwasha hiyo kidogo
audio
5295
10
unaeza punguza sauti kiasi
audio
5298
4
ni mabadiliko gani ya hivi punde yanayotokea leo nchini kenya
news
5299
4
olly ni mabadiliko gani ya hivi punde yanayotokea leo nchini marekani
news
5302
17
sawa google ni nini hali ya hewa itakuwa machi ishirini elfu mbili na kumi na saba
weather
5303
17
alexa hali ya hewa itakuwa aje machi ishirini mwaka wa elfu mbili kumi na saba
weather
5304
4
nini kinaendelea leo na kenya
news
5305
4
nini kinaendelea huko ulaya hivi karibuni
news
5308
10
washa kwa kuongeza sauti yako
audio
5309
8
kata taa ili kuzima
iot
5310
3
olly cheza nyimbo kutoka orodha ya kucheza yangu inayoitwa midundo mizuri
play
5311
3
hujambo olly cheza orodha ya kucheza tactics kutoka muziki
play
5313
15
tafathali weka redio hali ya kuchanganya
music
5314
15
rudia wimbo uliopita
music
5315
4
nini kinaendelea kwenye dunia sasa hivi angalia k. t. n.
news
5317
8
kuongeza mwangaza katika chumba
iot
5319
16
weka kengele ya saa kumi na moja asubuhi
alarm
5320
17
onyesha hali ya hewa ya jana
weather
5323
17
tafadhali niambie hali ya hewa ya nairobi
weather
5325
14
habari mna huduma za kuwasilisha agizo nyumbabi
takeaway
5326
4
mambo yako vipi duniani
news
5327
3
tafadhani nitafutie muziki
play
5329
8
nataka kusafisha chumba changu cha kulala washa kifyonzi na uende chumbani mwangu
iot
5331
5
saa za eneo kati ya kenya na uganda
datetime
5334
16
ukona kengele gani zimewekwa
alarm
5335
16
kuna kengele zozote zimewekwa
alarm
5337
16
alexa nipe nyakati za kengele zenye umeweka
alarm
5338
17
joto la kawaida
weather
5340
5
unaweza kuniambia wakati sasa hivi
datetime