id
stringlengths
1
5
label
int64
0
17
text
stringlengths
1
221
label_text
stringclasses
18 values
5343
17
kutakuwa na jua siku ya ijumaa
weather
5344
17
kuna dalili ya theluji jumatano
weather
5345
8
kutengeneza kahawa yenye nguvu
iot
5346
8
nipatie giza
iot
5348
8
nipe mwangaza pungufu
iot
5350
5
unaweza kuniambia saa nairobi
datetime
5351
17
siku ikoje nje
weather
5353
5
ni saa ngapi nairobi
datetime
5354
5
saa ngapi huko ny
datetime
5355
8
tafadhali zima taa ya kati ya chumba
iot
5356
8
tafadhali zima upande wa kulia wa taa
iot
5357
15
huyu ni nani
music
5360
5
ni eneo gani la wakati sisi ni katika tafadhali mabadiliko kwa saa
datetime
5361
5
tarehe ishirini na nne ni siku gani ya wiki
datetime
5363
5
tarehe ishirini na nne ni siku ya jumanne
datetime
5364
8
zima taa
iot
5366
4
google tafuta mada
news
5367
4
nini kilitokea nayo
news
5368
4
nini ya karibuni ya marufuku ya kusafiri
news
5369
4
habari gani zilitoka kuhusu eliud kipchoge
news
5371
3
cheza kitu nasibu kutoka google play
play
5373
3
leta orodha ya kucheza yangu ya mwisho kutoka tidal
play
5374
5
siku ambayo ni machi ishirini
datetime
5375
5
ni tarehe ngapi jumatatu inayofuata
datetime
5377
17
tafadhali angalia hali ya hewa ya jumanne
weather
5380
4
niambie habari kutoka kenya
news
5381
4
habari kenya iko vipi
news
5383
8
punguza taa kwa chumba
iot
5384
8
punguza mwangaza kidogo
iot
5385
15
kumbuka uteuzi wa sauti sol ya nwimbo mbwe mbwe
music
5387
15
wimbo unaocheza sasa hivi unaitwaje
music
5388
15
wimbo unachezwa na nani
music
5389
8
zima soketi mahiri
iot
5390
8
zima taa wa karibu
iot
5391
3
washa muziki ya elani
play
5392
10
ongeza kiwango cha sauti yangu ya kurekodi
audio
5394
8
zima soketi
iot
5395
8
zima soketi
iot
5397
8
zima taa za jikoni
iot
5398
8
zima taa zote
iot
5399
16
toa kengele zote za jumapili
alarm
5400
16
toa kengele ya jumanne saa kumi na mbili asubuhi
alarm
5402
14
mkahawa una kituo cha kupeleka
takeaway
5403
14
mkahawa utatoa agizo
takeaway
5407
14
naweza kupata chakula cha kubeba kutoka kfc
takeaway
5409
15
onyesha makadirio ya wimbo uliocheza awali
music
5412
4
nini inaendelea kwenye habari ya k. b. c. leo
news
5415
14
niagizie piza kubwa kutoka java
takeaway
5416
14
olly weka agizo la piza kutoka java tafadhali
takeaway
5417
17
itakuwaje leo
weather
5418
9
chochote ninachohitaji kujua
general
5419
8
tafadhali zima soketi ya wemo
iot
5420
8
tafadhali washa soketi ya wemo
iot
5423
3
washa ken wa maria
play
5424
3
cheza albamu ya kiambukuta nimesikia kidogo zaidi
play
5425
3
nianzishie albamu ya fally
play
5426
5
tafadhali niambie ni saa ngapi sasa huko kenya
datetime
5428
5
taja wakati huko kenya sasa
datetime
5429
17
je nitahitaji kuvaa koti leo mchana
weather
5430
17
kutakuwa na baridi ya kutosha ili kuvaa mittens baadaye usiku wa leo
weather
5431
8
zima taa
iot
5432
17
je kutakuwa na joto jingi masaa mawili
weather
5434
16
toa kengele ya saa moja asubuhi
alarm
5435
16
futa kengele yangu ya saa mbili jioni
alarm
5437
4
nini ni vichwa vya habari vya daily nation
news
5440
17
naweza kwenda bila koti sasa
weather
5441
8
zima wemo
iot
5442
8
zima soketi mahiri chini
iot
5443
8
tengeneza kahawa
iot
5446
3
nataka kusikia wimbo huo
play
5447
17
je nitaogelea au nitafanya kazi leo
weather
5448
17
inaonekana kuna jua bila mawingu leo je ni ukweli
weather
5450
3
cheza wimbo wa titanic title
play
5451
17
kuna jua nje
weather
5452
17
ninahitaji kuchukua mwavuli leo
weather
5454
17
je naenda na miwani nyeusi ya kukinga jua au la
weather
5455
4
nipatie habari kutoka tuko
news
5457
4
nipe sasisho za mbio za mgombea urais
news
5458
15
nadhifu
music
5459
17
je nitahitaji sweta baada ya kazi
weather
5460
17
je nije na mwavuli sasa hivi
weather
5463
17
nivae slivu fupi
weather
5464
17
ninahitaji suruali
weather
5466
17
je ninahitaji kutumia mafuta ya kuzuia jua kabla ya kwenda kukutana na rafiki yangu kwa chakula cha mchana
weather
5467
17
kuna haja ya miwani ya jua
weather
5469
8
tafadhali washa taa
iot
5470
8
alexa tafadhali washa taa
iot
5472
8
kuangaza taa sebuleni
iot
5473
5
ni jumapili ngapi mwezi huu
datetime
5474
16
weka kengele yangu ya saa kumi na mbili asubuhi
alarm
5477
8
olly zungusha rangi nyepesi
iot
5480
8
tafadhali tunaweza punguza taa
iot
5482
10
olly punguza sauti
audio
5483
5
jumamosi ijayo ni tarehe gani
datetime
5484
17
ni joto sana kwa suruali
weather
5485
5
ni masaa mangapi yaliyobaki fika usiku wa manane mji
datetime
5486
5
saa ngapi zimepita kutoka usiku wa manane hadi jiji
datetime
5487
5
ni saa ngapi zimesalia hadi saa sita unusu mchana
datetime
5489
14
agiza kichina kwa kuwasilisha
takeaway
5490
14
agiza ya kubeba kutoka hoteli ya kuku
takeaway