id
stringlengths 1
5
| label
int64 0
17
| text
stringlengths 1
221
| label_text
stringclasses 18
values |
---|---|---|---|
5491
| 16 |
tafadhali unaweza toa kengele
|
alarm
|
5492
| 16 |
je utanizimia kengele
|
alarm
|
5493
| 4 |
ni habari gani za hivi punde za siasa
|
news
|
5495
| 17 |
nichukue mwavuli leo
|
weather
|
5496
| 6 |
je nione filamu hii
|
recommendation
|
5498
| 5 |
ni wakati gani ninaweza kupiga simu kutoka kisumu na itakuwa masaa ya biashara katika nairobi
|
datetime
|
5500
| 3 |
cheza wimbo wa nakupenda malaika kwa mfululizo
|
play
|
5502
| 8 |
tafadhali fanya mipango ya ku fanya ukumbi kuwa mng'aro zaidi
|
iot
|
5503
| 5 |
ni saa ngapi huko mji wetu wa nyumbani
|
datetime
|
5504
| 16 |
niliweka kengele yangu ya nyumba
|
alarm
|
5505
| 16 |
ni kengele gani zimewekwa kwa nyumba
|
alarm
|
5506
| 16 |
niambie kama kengeleye yangu imewekwa ya asubuhi
|
alarm
|
5507
| 16 |
tafadhali kengele panga kuniamsha saa tisa usiku
|
alarm
|
5508
| 9 |
toa mzaha
|
general
|
5509
| 9 |
toa utani
|
general
|
5510
| 5 |
kuna tofauti gani ya wakati kati ya hapa na pale
|
datetime
|
5511
| 10 |
ongeza sauti
|
audio
|
5512
| 16 |
washa kengele yangu
|
alarm
|
5513
| 15 |
niambie huu muziki huwa unaanza aje
|
music
|
5514
| 15 |
nipe jina na uandike muziki huu
|
music
|
5515
| 15 |
hifadhi wimbo huu
|
music
|
5517
| 15 |
kumbuka huu muziki
|
music
|
5519
| 8 |
zima taa ya chumba
|
iot
|
5521
| 5 |
tarehe gani ni jumatatu ya nne ya machi mwaka huu
|
datetime
|
5522
| 9 |
nichekeshe
|
general
|
5527
| 8 |
amilisha kisafishaji cha kusafisha fanicha
|
iot
|
5528
| 8 |
safisha vumbi na kisha kwenye kisafishaji
|
iot
|
5530
| 4 |
uonevu kuhusiana na sera mpya za serikali
|
news
|
5532
| 15 |
wimbo unanifanya nikumbuke kumbukumbu fulani
|
music
|
5533
| 15 |
wimbo inagusa roho yangu
|
music
|
5534
| 17 |
hali ya hewa ni ya mawingu
|
weather
|
5535
| 17 |
kama mvua inanyesha sitaenda kazini
|
weather
|
5538
| 17 |
je nitahitaji kuweka mafuta ya kuzuia jua leo
|
weather
|
5539
| 8 |
andaa kahawa
|
iot
|
5540
| 8 |
nataka kunywa kahawa
|
iot
|
5542
| 16 |
tafadhali nifahamishe kengele iliyowekwa ya mkutano wa jumanne
|
alarm
|
5543
| 5 |
tafadhali nijulishe wakati wa sasa katika nairobi
|
datetime
|
5545
| 9 |
upendo kwa msaada wa kifedha
|
general
|
5547
| 9 |
matakwa mema kwa james kwa kazi mpya
|
general
|
5548
| 10 |
nyamaza
|
audio
|
5549
| 10 |
ingia kwa hali ya utulivu
|
audio
|
5551
| 6 |
mikahawa ipi ilipo karibu zaidi inapatikana
|
recommendation
|
5553
| 14 |
hakiki za mikahawa
|
takeaway
|
5555
| 15 |
huu wimbo umetoka kwa filamu gani
|
music
|
5558
| 3 |
leo nahisi kusikiza lingala
|
play
|
5559
| 8 |
zima taa ya chumba cha kulala
|
iot
|
5560
| 8 |
zima taa ya dawati
|
iot
|
5562
| 4 |
vichwa vya habari ni vipi
|
news
|
5563
| 4 |
nini kinaendelea na brexit leo
|
news
|
5564
| 4 |
bado bajeti imepigiwa kura
|
news
|
5566
| 16 |
weka kengele saa nane usiku
|
alarm
|
5571
| 8 |
fungua kifyonzi
|
iot
|
5572
| 8 |
ongeza mwangaza wa taa chumba cha kulala
|
iot
|
5575
| 5 |
unaweza kutoa tarehe leo
|
datetime
|
5576
| 5 |
tarehe ya leo
|
datetime
|
5580
| 10 |
ni jinsi gani ya kuongeza sauti
|
audio
|
5582
| 3 |
tafadhali cheza them mushrooms
|
play
|
5583
| 3 |
msaidizi tafadhali cheza mapenzi yanitesa ya mwinshehe
|
play
|
5585
| 17 |
je ninahitaji kujipaka mafuta ya jua leo
|
weather
|
5586
| 17 |
nitahitaji viatu vya mvua
|
weather
|
5587
| 17 |
leo inahitajika mafuta ya jua
|
weather
|
5588
| 17 |
ninahitaji kofia
|
weather
|
5589
| 17 |
tafuta ripoti ya hali ya hewa
|
weather
|
5591
| 17 |
fungua hali ya hewa
|
weather
|
5592
| 8 |
zima taa katika bafuni
|
iot
|
5594
| 3 |
nichezee wimbo wa kesse cha orchestre veve
|
play
|
5595
| 14 |
fungua uber eats
|
takeaway
|
5597
| 15 |
onyesha orodha ya kucheza
|
music
|
5598
| 14 |
ntapata lini agizo la kuwasilishiwa
|
takeaway
|
5599
| 14 |
ni wakati gani tutapata agizo la chakula limefikishwa pindi tutakapoitisha agizo la chakula.
|
takeaway
|
5601
| 17 |
utabiri wa hali ya hewa ni nini
|
weather
|
5602
| 17 |
itakuwa nzuri nje wiki hii
|
weather
|
5603
| 3 |
cheza orodha ya kucheza yangu kutoka mwanzo
|
play
|
5605
| 8 |
anzisha kifyonzi cha roboti
|
iot
|
5606
| 8 |
kusafisha mazulia
|
iot
|
5607
| 8 |
kung'aa zaidi
|
iot
|
5608
| 8 |
ongeza taa
|
iot
|
5610
| 16 |
niambie kengele zijazo ni za lini
|
alarm
|
5612
| 8 |
punguza kiwango cha mwangaza wa taa
|
iot
|
5613
| 8 |
punguza mwangaza wa taa
|
iot
|
5616
| 5 |
weka eneo la saa kuwa wakati wa wastani wa greenwich
|
datetime
|
5617
| 5 |
badilisha eneo la saa kutoka eneo la saa za la eneo la pate hadi eneo la saa za eneo la kenya
|
datetime
|
5618
| 16 |
hebu nionee mimi kengele amazo umeniwekea leo asubuhi
|
alarm
|
5620
| 3 |
cheza wimbo huu saa sita usiku
|
play
|
5622
| 16 |
niamshe saa moja asubuhi
|
alarm
|
5624
| 16 |
kengele saa kumi na moja jioni
|
alarm
|
5625
| 8 |
ongeza giza
|
iot
|
5626
| 3 |
nichezee mimi muziki ya madonna
|
play
|
5628
| 8 |
zima feni
|
iot
|
5629
| 8 |
washa chemchemu ya maji moto
|
iot
|
5630
| 8 |
zima runinga iliyo humo ndani
|
iot
|
5633
| 3 |
cheza wimbo wa wanavokali msanii
|
play
|
5634
| 17 |
je hali ya hewa leo itakuwa na mawingu
|
weather
|
5637
| 17 |
je ninahitaji kuleta koti usiku wa leo
|
weather
|
5639
| 5 |
tarehe gani leo
|
datetime
|
5641
| 3 |
cheza nyimbo zote za adhiambo wa bahati
|
play
|
5642
| 3 |
changanya kisha ucheze nyimbo kutoka kwa kikundi cha dance
|
play
|
5643
| 3 |
fungua na ucheze muziki kutoka kwa aina ya jazz
|
play
|
5644
| 17 |
hali ya hewa itakuwaje leo mchana
|
weather
|
5645
| 17 |
hali ya hewa itakuwaje leo jioni
|
weather
|
Subsets and Splits
No community queries yet
The top public SQL queries from the community will appear here once available.