id
stringlengths
1
5
label
int64
0
17
text
stringlengths
1
221
label_text
stringclasses
18 values
7006
2
nitafutie wakati wa mkutano na juma kesho
calendar
7008
2
kalenda yangu ya wiki ijayo inakaaje
calendar
7009
2
ni kilicho kwenye ratiba yangu wiki ijayo
calendar
7010
2
tuma miadi ya kalenda kwa jan
calendar
7011
2
ongeza mkutano na francis atwoli kwa kalenda yangu
calendar
7012
2
tazama kama john anapatikana kwa mkutano siku ya jumatatu
calendar
7015
2
orodhesha mikutano yote iliyopangwa kufanyika leo kabla ya saa kumi na mbili jioni
calendar
7017
2
je kalenda yangu iko tupu
calendar
7018
2
futa mkesha wa mwaka mpya kutoka kwa kalenda
calendar
7019
2
futa tukio la siku ya wapendanao kutoka kwa kalenda
calendar
7020
2
nipe maelezo ya ukumbusho unaofuata
calendar
7021
2
nionyeshe vikumbusho vya kesho
calendar
7022
2
ni ukumbusho upi nilikuwa nimeweka kesho
calendar
7023
2
ondoa siku ya baba kwenye kalenda
calendar
7024
2
futa matukio zote kutoka kwa kalenda
calendar
7027
2
ni matukio gani marafiki wangu wa facebook watahudhulia
calendar
7029
2
ukumbusho wa malipo ya kadi
calendar
7030
2
ongeza siku ya kuamkia mwaka mpya kwa kalenda
calendar
7031
2
ongeza kwenye kalenda tukio lipya la kutoa shukrani
calendar
7032
2
weka ukumbusho wa kesho asubuhi kuhusu mkutano wangu
calendar
7033
16
weka kengele ya ukumbusho kuhusu mkutano wangu na ma agenti jioni hii
alarm
7036
2
kalenda tupu kwa wiki hii
calendar
7037
2
nahitaji kuweka tukio la kujirudia kwenye kalenda yangu
calendar
7038
2
habari google nipeleke kwenye kalenda ya google tafadhali
calendar
7040
2
panga mkutano siku ya jumatano saa tisa mchana chumbani
calendar
7041
2
nahitaji kuratibu mkutano na nathan siku ya jumatatu saa tatu asubuhi
calendar
7042
16
tafadhali weka kengele ya ukumbusho jumamosi saa tisa jioni
alarm
7045
2
ongeza mkutano wa tal alhamisi hii kwenye kalenda
calendar
7047
2
ongeza miadi ya daktari jumatatu saa tisa kwenye kalenda
calendar
7048
2
leta kalenda ya google tafadhali ongeza tukio la mei tarehe tano
calendar
7050
2
google kalenda ongeza tukio la machi tarehe ishirini na moja
calendar
7051
2
ongeza tukio kwenye kalenda yangu ya google ya machi tarehe ishirini na mbili
calendar
7053
2
ni matukio gani yamepangwa jumanne ijayo kati ya saa tano asubuhi na saa tisa mchana
calendar
7054
2
kuna chochote kwenye kalenda yangu ijumaa asubuhi baada ya kufika kazini
calendar
7056
2
nahitaji kuratibu mkutano na allison siku ya jumatatu saa nne asubuhi
calendar
7058
2
futa tukio novemba
calendar
7059
2
matukio yangu
calendar
7060
2
nikumbushe dakika thelathini mapema nina mkutano wa simu jumanne
calendar
7062
2
tafadhali futa matukio kwenye kalenda yangu
calendar
7063
2
futa matukio yote kwa kalenda yangu
calendar
7067
2
matukio yoyote katika kalenda yangu leo
calendar
7068
2
geuza kichupo kikufae ili kuonyesha kipindi unachopendelea
calendar
7069
2
ratiba mkutano kwa kalenda kesho jioni
calendar
7071
2
mawaidha yangu ni yapi leo
calendar
7072
2
nitumie arifa saa moja kabla ya matukio yangu yajayo ya kalenda
calendar
7074
2
nijulishe tukio linalofuata ikiwa litatokea kwenye kalenda yangu na unitumie arifa
calendar
7075
2
thafathali futa tukio ijayo kwenye kalenda yangu
calendar
7076
2
futa tukio yangu inayofuata kwenye kalenda
calendar
7077
2
tafadhali futa tukio linalofuata kwenye kalenda yangu
calendar
7078
2
futa kalenda yangu nzima
calendar
7079
2
tafadhali ondoa vitu vyote kwenye kalenda yangu
calendar
7081
2
tafadhali weka kikumbsho ya mkutano yangu ya saa tano jioni leo
calendar
7082
2
nahitaji ukumbusho wa mkutano wangu wa saa kumi na moja jioni
calendar
7083
16
weka kengele ya ukumbusho ya mkutano wangu wa saa kumi na moja jioni tafadhali
alarm
7084
2
kumbusha hilo jumanne
calendar
7085
2
nikumbushe baadae
calendar
7088
2
fungua kalenda
calendar
7089
2
kalenda
calendar
7090
2
google kalenda
calendar
7091
2
toa tukio kwa kalenda
calendar
7092
2
futa matukio ya kalenda
calendar
7093
2
futa kalenda yangu
calendar
7094
2
nikumbushe miadi yangu tarehe kumi na tano
calendar
7095
2
nikumbushe siku moja kabla gari langu litoke
calendar
7096
2
acha nijue lini rununu yangu inaisha
calendar
7097
2
ongeza miadi ya daktari wangu tarehe kumi na tano
calendar
7099
2
weka siku ya kuzaliwa ya ndugu yangu kwenye kalenda yangu tarehe nne julai
calendar
7102
2
nikumbushe kwenda ununuzi wa mboga kwa ajili ya sherehe ya jumapili
calendar
7103
2
tafadhali waalike kim marc juliani kwenye mkutano alhamisi saa tisa mchana
calendar
7105
2
unaeza tengeneza tukio ijumaa usiku na emi maya na hassan
calendar
7106
2
unda mkutano alhamisi mchana kwa mapitio ya bajeti
calendar
7107
2
ongeza darasa langu la mzunguko kwenye kalenda ya jumamosi saa moja asubuhi
calendar
7109
2
usisahau kukutana na reveca leo saa sita usiku
calendar
7110
2
nilikuwa na mipango yoyote baadae usiku ya leo saa mbili usiku
calendar
7114
2
acha nijue ikiwa kuna mkutano wa jiji jumatatu
calendar
7115
2
ondoa malipo ya gari yangu tarehe kumi na tano kwenye kalenda yangu
calendar
7116
2
futa miadi yangu ya tarehe kumi na mbili kutoka kwa kalenda yangu
calendar
7118
2
nina nini kwa leo
calendar
7119
2
kuna jambo lolote muhimu kwa leo
calendar
7121
2
waeza rudia tukio hili
calendar
7123
2
weka alama ya tukio kila mwezi
calendar
7124
2
weka tukio hilo kujirudia kila wiki
calendar
7125
2
weka tukio lijirudie siku ya jumatatu ya kwanza ya mwezi
calendar
7126
2
nikumbushe kutuma uwasilishaji leo saa saba mchana
calendar
7127
2
weka ukumbusho leo saa saa saba alasiri kutuma wasilisho
calendar
7128
2
nikumbushe kutuma uwasilishaji leo saa saba mchana
calendar
7129
2
tafadhali ongeza chakula cha mchana na hassan kwenye kalenda yangu kwenye chajio
calendar
7132
2
nataka wewe utoe ile harusi ya tarehe kumi kutoka kwa kalenda yangu
calendar
7133
2
sihudhurii tena harusi ya tarehe kumi kwa hivyo iondoe kwenye kalenda yangu
calendar
7135
2
panga mkutano ya kesho
calendar
7137
2
weka kalenda ukumbusho ya mchana yenye jina mkutano wa mchana
calendar
7138
2
mwaliko wa kalenda kwa kifungua kinywa na sarah saa mbili asubuhi
calendar
7139
2
weka arifa ya mkutano wangu wa saa sita alasiri dakika kumi na tano kabla
calendar
7142
2
nini kiko tarehe hiyo
calendar
7143
2
niambie programu la hili siku
calendar
7144
2
futa sherehe iliyo tarehe moja juni kutoka kwa kalenda yangu
calendar
7145
2
sitaki kuhudhuria chajio mnamo machi tarehe moja zaidi kwa hivyo waweze kuiondoa kwenye ajenda yangu
calendar
7146
2
pata chakula cha jioni na mama kwenye kalenda yangu na uifute
calendar
7148
2
ondoa mkutano wa bodi na panga upya jumatano ijayo
calendar
7149
2
futa mikutano ya wafanyakazi yote inayojirudia
calendar