id
stringlengths
1
5
label
int64
0
17
text
stringlengths
1
221
label_text
stringclasses
18 values
7150
2
weka ukumbusho wa mkutano kila jumatatu saa nane mchana
calendar
7153
2
ni kalenda yangu huru saa kumi jioni leo
calendar
7154
2
mimi nina ratiba ya mkutano leo
calendar
7155
2
kweli nina mkutano saa nane mchana
calendar
7156
2
ongeza tukio hili na watu hawa
calendar
7157
2
okoa tukio hili
calendar
7158
2
tafadhali ondoa maingizo yaliyosahihishwa yote kwenye kalenda
calendar
7159
2
tafadhali anzisha tena na kutoa maingizo zote kwa kalenda
calendar
7160
2
kumbuka hili baada ya siku mbili
calendar
7162
2
nikumbushe baada ya mwezi
calendar
7163
2
saa nne asubuhi
calendar
7165
2
saa kumi na mbili asubuhi
calendar
7166
2
nipate maelezo ya asha elfu mbili na kumi na saba ujao
calendar
7167
9
nataka kujua zaidi kuhusu michezo ijayo ya jumuiya ya madola
general
7171
2
olly cheza be warned na tech nine
calendar
7172
2
weka reminder ya mkutano wetu na jonathan wa jumapili saa tano kila week jumamosi usiku
calendar
7173
2
futa
calendar
7175
2
ondoa
calendar
7176
2
tafadhali weka tarehe moja februari ishirini na saba na weka ukumbusho wa saa kumi na moja jioni ili kupanga mkutano na bwana richard
calendar
7177
7
tafadhali tuma barua kwa bwana richard akisema kwamba nitakutana naye mnamo februari moja mwaka wa elfu mbili na kumi na saba saa kumi na moja jioni kwenye ofisi hii
email
7178
7
tafadhali tuma ujumbe wa sauti kwa bwana richard kuhusu kukutana naye tarehe ya kwanza ya februari mwaka wa elfu mbili kumi na saba saa kumi na moja jioni
email
7179
2
tafadhali nipe onyo la saa mbili kabla ya mkutano wa jumamosi ijayo
calendar
7180
2
nikumbushe saa nane mchana jumanne kuhusu mkutano na bosi ya saa tisa alasiri
calendar
7182
2
weka mkutano na francine iwe saa nane mchana kesho
calendar
7183
2
ongeza siku ya kuzaliwa ya sally kwenye kalenda siku ya jumamosi saa nne usiku
calendar
7186
2
nina lolote nimepanga kesho
calendar
7187
2
siku gani ya wiki ni siku yangu ya kuzaliwa mwaka huu
calendar
7188
2
tukio langu lijalo ni lipi
calendar
7190
2
ni nini kiko kwenye kalenda leo
calendar
7191
2
tengeneza kikumbusho cha takwa la siku ya kuzaliwa kesho saa nne asubuhi
calendar
7192
2
weka ukumbusho wa kumtakia rafiki kesho saa nne asubuhi
calendar
7195
2
weka ukumbusho wa kesho kwa ajili ya mkutano na allen
calendar
7197
2
nikumbushe sherehe ya siku ya kuzaliwa ya dadangu kesho muda wa saa moja kabla ianze
calendar
7198
2
usiniache nisahau miadi na daktari wa mifugo wa rover tarehe ishirini na tano
calendar
7200
2
futa kalenda yangu
calendar
7202
2
niambie kuhusu ratiba yangu ya mwezi ujao
calendar
7203
2
matukio yapi mimi niliopanga kwa wiki mbili zijazo
calendar
7204
2
unaweza weka mkutano na mimi
calendar
7205
2
kuna matukio mengi muhimu katika mwezi huu kumbuka chini hilo
calendar
7206
2
kumbuka chini tukio muhimu katika wiki hii
calendar
7207
2
unaweza nikumbusha kuangalia nguo zangu baada ya lisaa limoja
calendar
7208
2
unaweza kunipa kipimo cha muda dakika kumi
calendar
7210
2
olly nikumbushe nitoe takataka nje siku ya jumanne
calendar
7211
2
usiniache nisahau mkutano wa kesho na sheila
calendar
7212
2
nikumbushe saa moja kabla ya mkutano wa kazi yangu
calendar
7214
2
mtazamo
calendar
7215
2
matarajio
calendar
7217
2
tafadhali angalia alafu niambie kuhusu vikumbusho vyote ambavyo mimi nimeweka leo
calendar
7218
2
ni vikumbusho ngapi vya kesho
calendar
7220
2
je nina miadi jumatano ijayo saa nane
calendar
7221
2
mkutano wangu wa leo ulipangwa upya
calendar
7222
2
sherehe ya jimmie ya siku ya ijumaa imeghairiwa
calendar
7225
2
nikumbushe siku ya kuzaliwa ya mtoto wangu
calendar
7226
2
kumbuka wiki ijayo mkutano wa meneja mkuu
calendar
7227
2
unaweza nipangia mpango wa kukata nywele tarehe moja aprili huko saskatoon
calendar
7228
2
unaeza nikumbusha kuenda duka la kona jumanne
calendar
7230
5
leo ni jumatatu ndio
datetime
7231
5
leo ni machi tarehe tano ndio au la
datetime
7233
2
orodhesha matukio ya mwezi ujao
calendar
7234
2
sema tukio la siku inayofuata
calendar
7235
2
tafadhali ghairi kukata nywele ijayo
calendar
7236
2
tafadhali ondoa miadi aprili tarehe moja
calendar
7237
2
ondoa onyesho hip kwenye ratiba yangu ya aprili tarehe mbili
calendar
7238
2
fungua inayojirudia
calendar
7241
2
andika chini hili tukio kwenye kalenda langu
calendar
7242
2
hii ni tukio muhimu tafathali kumbuka kwenye kalenda langu
calendar
7245
2
mkutano wa timu utaanza lini
calendar
7246
2
ni lini maadhimisho yangu ya miaka
calendar
7247
2
leo ni machi tarehe tano
calendar
7248
2
leo ni siku ya kuzaliwa ya john
calendar
7249
2
leo ni siku kuu
calendar
7251
2
ghairi sherehe ya sam
calendar
7252
2
panga upya sherehe hadi siku ya alhamisi
calendar
7254
9
nitanunuaje tikiti za hiyo
general
7256
2
miadi yangu inayofuata ni lini na ni nani nitawasiliana naye kupanga upya
calendar
7259
2
tafadhali nikumbushe kutoa kahawa juu ya jiko katika dakika kumi
calendar
7261
2
nikumbushe dakika thelathini kabla ya mkutano wangu saa tisa alasiri kesho
calendar
7263
2
niliimaliza mara moja
calendar
7264
2
nina mikutano gani wiki hii
calendar
7265
2
niletee ajenda yangu
calendar
7267
2
hujambo hakikisha kuwa nitaenda kwenye sherehe ya siku ya kuzaliwa ya sarah tarehe kumi na mbili
calendar
7268
2
weka tukio la sherehe ya siku ya kuzaliwa ya sarah tarehe kumi na mbili
calendar
7269
2
weka sherehe ya siku ya kuzaliwa ya sara tarehe kumi na mbili
calendar
7270
2
nipangie sherehe ya siku ya kuzaliwa ya sarah tarehe kumi na mbili
calendar
7271
2
ni nini kwenye ajenda yangu
calendar
7272
2
niarifu kuhusu mkutano wa jioni dakika tano kabla
calendar
7273
2
niarifu kuhusu siku za kuzaliwa za marafiki wangu wote wa facebook
calendar
7274
2
nikumbushe kuhusu maadhimisho ya miaka mbeleni
calendar
7275
2
nionyeshe orodha ya mikutano inayosubiri
calendar
7276
2
nionyeshe orodha ya marafiki walio na siku ya kuzaliwa jana na sijawatakia mema
calendar
7277
16
weka kengele ya saa moja asubuhi ya kazi
alarm
7280
2
nina nini kinaendelea leo
calendar
7281
2
nina miadi ya saa ngapi leo
calendar
7282
2
ratiba yangu ina shughuli gani leo
calendar
7283
2
toa miadi yangu ya saa saba na nusu
calendar
7284
2
futa uteuzi yangu wa daktari wa meno
calendar
7285
2
ondoa vikao vyote vijavyo vya yoga
calendar
7286
2
nikumbushe kuhusu mkutano ujao mapema
calendar
7288
2
nitahadharishe mbeleni kuhusu siku ya kuzaliwa ya mke
calendar
7290
2
futa miadi yangu yote ya leo
calendar