id
stringlengths
1
5
label
int64
0
17
text
stringlengths
1
221
label_text
stringclasses
18 values
7296
2
ondoa matukio yangu ya kalenda yaliyoratibiwa ikiwa unaweza
calendar
7297
2
chukua kalenda yangu alafu safisha yote
calendar
7298
2
tafadhali eka kwamba nina mkutano saa kumi na moja jioni
calendar
7299
2
weka kikumbusho wa mkutano saa tatu asubuhi kesho
calendar
7301
2
tafadhali panga mkutano na wafanyakazi wa kampuni yangu
calendar
7302
2
mapendekezo yoyote ya wakati mzuri wa mkutano kwa lisaa hii wiki
calendar
7303
2
tupate kitu kwa kalenda jumanne
calendar
7306
2
tengeneza tukio jipya kila ijumaa saa sita mchana
calendar
7307
2
futa matukio yote ya mwezi huu
calendar
7308
2
futa kalenda yangu
calendar
7311
2
ongeza chakula cha mchana na laura alhamisi saa saba
calendar
7313
2
kanisani na mama na baba siku ya jumapili
calendar
7315
2
nimehifadhiwa kwa kitu fulani
calendar
7318
2
lazima niwe kisumu kwa tukio hili lijalo unaweza kuongeza hili
calendar
7320
2
ni matukio gani yanayotokea kati ya saa nane na saa kumi jioni leo
calendar
7321
2
ni matukio gani yatatokea katika mji wangu kati ya saa nane na saa kumi mchana leo
calendar
7322
2
weka alama jumanne inayofuata kwa kalenda yangu ni siku ya kuzaliwa ya steve
calendar
7323
2
tafadhali weka kwenye kalenda yangu miadi na daktari branden iwe ijumaa hii saa kumi na mbili jioni
calendar
7324
2
nijulishe ninapostahili kuhudhuria masimulizi ya densi ya machi tarehe tano
calendar
7325
2
niarifu siku moja kabla ya mashindano ya farasi huko santa anita mnamo machi tarehe saba
calendar
7326
2
nijulishe mechi tarehe kumi na moja siku ya miadi yangu
calendar
7327
2
futa maudhui yote kwenye kalenda yangu
calendar
7328
2
futa matukio na maudhui zote kutoka kwa kalenda yangu
calendar
7329
2
weka arifa ya siku mbili kabla ya siku ya kuzaliwa ya maria tafadhali
calendar
7330
2
nipe arifa ya siku tatu kabla ya mtihani wangu wa kemia tafadhali
calendar
7331
8
zima wifi unapoondoka nyumbani ili kuhifadhi nguvu za umeme
iot
7332
2
tuma ujumbe kwa simu yako ya android iliyopotea iongeze sauti ya mlio kwa asilimia moja
calendar
7333
2
ongeza tukio kwenye kalenda yangu
calendar
7334
2
weka ratiba yangu ya tukio na joseph saa saba nairobi
calendar
7335
2
kumbuka tukio langu na mtu ya tarehe na mahali
calendar
7336
2
nini ninacho kimepangwa wiki ijayo
calendar
7337
2
ni nini kwenye kalenda yangu kesho
calendar
7338
2
mimi nina mambo yapi kwenye mpango leo usiku
calendar
7339
2
futa mkutano kesho
calendar
7340
2
ghaiti mkutano wangu wa kesho
calendar
7342
2
angalia matukio kwenye kalenda na ufute tukio linalofuata
calendar
7343
2
ondoa kila kitu kwenye kalenda yangu
calendar
7344
2
futa matukio yote ya kalenda
calendar
7346
2
kalenda yangu itaongezwa siku ya kuzaliwa ya mariamu ya tarehe kumi na mbili julai
calendar
7347
2
julai tarehe kumi na mbili ni siku ya kuzaliwa ya bola na kalenda yangu isasishwe na tarehe hii
calendar
7348
2
ongeza tukio yote ya machi inayotokea rccg kwenye kalenda yangu
calendar
7349
2
matukio yote ya machi katika rccg ni ya kuongezwa kwa kalenda yangu
calendar
7350
2
kalenda yangu itasasishwa na tukio zote za rccg mnamo machi
calendar
7352
2
utaweka kwa kalenda yangu kwamba john c. na mke wake wanakutana nasi saa kumi jioni kesho
calendar
7354
17
unaweza kunijulisha hali ya hewa ya nairobi kesho
weather
7356
2
dakika kumi na tatu kutoka sasa nikumbushe niende uwanja wa kandanda
calendar
7358
2
orodhesha matukio yote katika kalenda yangu ya machi
calendar
7359
2
matukio kwa kalenda yangu ya machi haijaorodheshwa
calendar
7360
2
futa tukio linalofuata la harusi
calendar
7361
2
toa tukio la siku ya kuzaliwa
calendar
7362
2
futa tu tukio linalofuata la ushiriki
calendar
7363
2
nenda kwenye kalenda na ufute tukio la tatu la tarehe ishirini na saba machi mwaka wa elfu mbili kumi na saba
calendar
7364
2
futa tukio la kwanza la tarehe ishirini na tatu machi mwaka elfu mbili na kumi na saba
calendar
7366
2
tafadhali weka ukumbusho wa ndoa ya raju tarehe thelathini na moja machi mwaka elfu mbili na kumi na saba
calendar
7368
2
ongeza matukio yote yatakayofanyika nairobi machi kwa kalenda yangu
calendar
7369
2
ongeza tukio la machi nairobi kwenye kalenda yangu
calendar
7370
2
kalenda yangu itasasishwa na tukio zote za machi za rccg
calendar
7371
2
mpango wangu wa hii mwezi
calendar
7372
2
je nina miadi na mikutano ipi kwenye hii wiki
calendar
7375
2
mwezi wa machi ni mikutano gani inapatikana
calendar
7376
2
mikutano inayopatikana machi ni nini
calendar
7377
2
panga chakula cha mchana na mama jumanne ya mwezi huu
calendar
7378
2
panga miadi na daktari hii ijumaa
calendar
7379
2
tafadhali onyesha mikutano ya leo na wateja
calendar
7382
2
kunazo miadi ya daktari zaidi ya moja kwa kalenda
calendar
7383
2
weka mkutano oktoba tarehe ishirini saa nne unusu asubuhi
calendar
7384
2
tengeneza orodha ya harusi ya mkutano ya tarehe ishirini oktoba
calendar
7385
2
nikumbushe kupiga simu kwa washiriki wote
calendar
7386
2
nionyeshe makumbusho yangu
calendar
7387
2
nina vikumbusho vingapi vinavyosubiri
calendar
7388
2
nataka kuona kila ukumbusho wangu unaosubiri
calendar
7389
2
tafadhali ondoa tarehe ya chajio iliyopangwa kwa ijumaa saa tatu usiku
calendar
7390
2
ghairi miadi na daktari wa meno kwa wiki hii
calendar
7391
2
sitaungana na mama kwa chakula cha mchana kesho
calendar
7392
2
nahitajika nifanye nini kesho
calendar
7393
2
nini kiko kwenye kalenda yangu
calendar
7394
2
nini kinachofuata
calendar
7395
2
ni matukio gani yalio katika ratiba ya mwezi huu
calendar
7396
2
kuna ratiba ya matukio yoyote ya hii wiki
calendar
7398
2
ongeza heri ya mwaka mpya kwa kalenda
calendar
7399
2
tenga tukio ya siku ya kuzaliwa ya john
calendar
7400
2
ongeza krismasi kwenye kalenda
calendar
7403
2
ongeza mwaka mpya na familia wiki ijayo
calendar
7404
2
unda tukio eneo iwe nyumbani na tukio iwe siku ya kuamka mwaka mpya
calendar
7405
2
weka tukio la kujirudia la siku ya kuzaliwa kwa john kwenye kalenda
calendar
7406
2
panga tukio linalojirudia la siku ya mazoezi kwa kalenda
calendar
7407
2
tengeneza tukio la kuogelea siku ya alhamisi alafu weka ili lijirudie
calendar
7408
2
weka tukio la furaha ya siku ya kuzaliwa john lirudie tarehe ishirini na moja januari mwaka wa elfu mbili kumi na saba
calendar
7409
2
tengeneza siku ya tukio la mazoezi ya mwili jumatatu na uifanye irudie
calendar
7410
2
weka tukio la krismasi tarehe ishirini na tano desemba mwaka wa elfu mbili kumi na saba na uweke kwenye ukumbusho unaojirudia
calendar
7411
2
niarifu siku za kuzaliwa zote wiki ijayo
calendar
7412
2
niarifu kuhusu tamasha lolote litakalofanyika mwezi ujao
calendar
7413
2
nijulishe mikutano yote ya kesho
calendar
7414
2
rudia ukumbusho wa ratiba yangu ya krismasi
calendar
7415
2
rudia ukumbusho wa krisimasi
calendar
7416
2
rudia ukumbusho wa miadi yangu ya krismasi
calendar
7417
2
tafadhali nikumbushe jumapili hii kwenda misa
calendar
7418
2
mkutano ijumaa hii
calendar
7419
2
kuna mankuli na familia jumatatu hii
calendar
7420
2
weka mkutano na rafiki yangu
calendar