_id
stringlengths 15
22
| url
stringlengths 31
150
| title
stringlengths 1
86
| text
stringlengths 100
23.8k
|
---|---|---|---|
20231101.sw_2064_0
|
https://sw.wikipedia.org/wiki/Kilatini
|
Kilatini
|
Kilatini ni lugha ya kihistoria ambayo siku hizi haina tena wasemaji kama lugha ya kwanza, lakini bado hufundishwa katika shule, vyuo na hata kutumiwa kama lugha ya pili. Ilikuwa pia lugha ya kimataifa ya elimu na hata leo istilahi nyingi za kisayansi zimetoka katika Kilatini.
|
20231101.sw_2064_1
|
https://sw.wikipedia.org/wiki/Kilatini
|
Kilatini
|
Kilatini kilikuwa lugha hai takriban kati ya miaka 500 KK na 600 BK na baadaye lahaja zake mbalimbali ziliendelea na kukomaa kuwa lugha za pekee zinazojulikana kama lugha za Kirumi, kama Kiitalia, Kifaransa, Kihispania, Kireno, Kiromania n.k.
|
20231101.sw_2064_2
|
https://sw.wikipedia.org/wiki/Kilatini
|
Kilatini
|
Kilatini ni pia jina la mwandiko au aina ya herufi (alfabeti ya Kilatini) inayotumika kwa lugha nyingi duniani. Hata Kiswahili huandikwa siku hizi kwa herufi za Kilatini kama kwa mfano ukurasa huu wa Wikipedia.
|
20231101.sw_2064_3
|
https://sw.wikipedia.org/wiki/Kilatini
|
Kilatini
|
lugha rasmi ya serikali katika nchi nyingi za Ulaya kati ya mwisho wa Dola la Roma mwaka 476 BK hadi mnamo 1700 BK
|
20231101.sw_2064_4
|
https://sw.wikipedia.org/wiki/Kilatini
|
Kilatini
|
Hadi leo Kilatini ina athira kubwa katika lugha ya sayansi na elimu. Hadi leo hufundishwa mashuleni hasa Ulaya. Tena ni
|
20231101.sw_2064_5
|
https://sw.wikipedia.org/wiki/Kilatini
|
Kilatini
|
Kiswahili kimerithi maneno yenye asili ya Kilatini hasa kupitia Kiingereza kilichopokea karibu asilimia hamsini ya maneno yake yote kutoka Kilatini kupitia hasa Kifaransa. Maneno mengine ya Kilatini yameingia Kiswahili kupitia Kireno, Kifaransa n.k.
|
20231101.sw_2064_6
|
https://sw.wikipedia.org/wiki/Kilatini
|
Kilatini
|
mashine limetokana na Kiingereza "machine" (au kutoka Kijerumani "Maschine") iliyopokewa kutoka Kilatini "machina"
|
20231101.sw_2064_7
|
https://sw.wikipedia.org/wiki/Kilatini
|
Kilatini
|
Kilatini kilikuwa na upanuzi mkubwa kuanzia karne ya 16; misingi ya sayansi ya kisasa ilijadiliwa katika Ulaya kwa Kilatini kilichokuwa lugha ya vyuo vikuu kote Ulaya. Katika karne ya 18 na 19 mataifa mengi yaliimarisha lugha zao na kuzitumia kwa ngazi zote za elimu. Lakini wataalamu wa Ulaya na Marekani waliendelea kutumia majina ya Kilatini kwa kutaja habari za kisayansi na kubuni majina mapya kufuatana na kanuni za Kilatini kwa kutaja vitu na viumbe vilivyotambuliwa na kuelezwa kisayansi. Kazi hii iliendelea hata wakati matumizi ya Kilatini kama lugha ya kujadiliana yalishafikia mwisho wake.
|
20231101.sw_2064_8
|
https://sw.wikipedia.org/wiki/Kilatini
|
Kilatini
|
Katika karne ya 20 kulikuwa na harakati ya wapenzi wa lugha kuunda misamiati ya "Kilatini cha Kisasa" yenye maneno kwa ajili ya mitambo ya kisasa, mtandao n.k. Wikipedia ya Kilatini ilifikia makala zaidi ya 130,000 kwenye mwaka 2019.
|
20231101.sw_2066_0
|
https://sw.wikipedia.org/wiki/Zambia
|
Zambia
|
Imepakana na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo na Tanzania upande wa kaskazini, Malawi upande wa mashariki, Msumbiji, Zimbabwe na Botswana upande wa kusini, Namibia na Angola upande wa magharibi.
|
20231101.sw_2066_1
|
https://sw.wikipedia.org/wiki/Zambia
|
Zambia
|
Nchi kwa sehemu kubwa ni nyanda za juu kuanzia mita 1.000 hadi 1.400 juu ya UB. Milima ya Muchinga imepanda hadi mita 2.164, kilele cha juu kabisa kiko kwenye mita 2.301 huko milima ya Mafinga Hills.
|
20231101.sw_2066_2
|
https://sw.wikipedia.org/wiki/Zambia
|
Zambia
|
Katika karne za kwanza za milenia ya 1 BK walifika wahamiaji Wabantu wenye ujuzi wa kilimo na uhunzi.
|
20231101.sw_2066_3
|
https://sw.wikipedia.org/wiki/Zambia
|
Zambia
|
Baada ya wapelelezi Wazungu kufika katika karne ya 18, Zambia ikawa nchi lindwa ya Uingereza kwa jina la Northern Rhodesia mwishoni mwa karne ya 19.
|
20231101.sw_2066_4
|
https://sw.wikipedia.org/wiki/Zambia
|
Zambia
|
Chama chake cha kijamaa United National Independence Party (UNIP) kilitawala kuanzia mwaka 1964 hadi 1991, kikiwa chama pekee halali kuanzia mwaka 1972.
|
20231101.sw_2066_5
|
https://sw.wikipedia.org/wiki/Zambia
|
Zambia
|
Baada ya Kaunda kuanguka, Frederick Chiluba wa Movement for Multi-Party Democracy alitawala tangu mwaka 1991, akafuatwa na Levy Mwanawasa (2002-2008).
|
20231101.sw_2066_6
|
https://sw.wikipedia.org/wiki/Zambia
|
Zambia
|
Aliyefuata tena ni rais Rupiah Banda (2008-2011), halafu Michael Sata wa Patriotic Front party (2008-2014).
|
20231101.sw_2066_7
|
https://sw.wikipedia.org/wiki/Zambia
|
Zambia
|
Baada ya kifo chake, Guy Scott alikaimu hadi uchaguzi wa tarehe 20 Januari 2015, ambapo Edgar Lungu alipata kuwa rais wa sita.
|
20231101.sw_2066_8
|
https://sw.wikipedia.org/wiki/Zambia
|
Zambia
|
Wakazi wa Zambia ni wasemaji wa lugha za Kibantu katika makabila 73. Makubwa ndio Wabemba (19%), Watonga (13.6%), Watumbuka, Wachewa, Walozi, Walunda, Waluvale, Wakaonde, Wankoya na Wanyanja-. Hata hivyo lugha rasmi ni Kiingereza.
|
20231101.sw_2066_9
|
https://sw.wikipedia.org/wiki/Zambia
|
Zambia
|
Upande wa dini, karibu wote ni wafuasi wa Ukristo ambao ndio dini rasmi kwa mujibu wa katiba ya nchi. 75.3% ni Waprotestanti, 22% ni Wakatoliki na wengine wana dini ya aina nyingine au ni wakanamungu.
|
20231101.sw_2069_0
|
https://sw.wikipedia.org/wiki/Mkoa%20wa%20Tabora
|
Mkoa wa Tabora
|
Eneo la mkoa ni km2 76,151; mnamo km2 34,698 (46%) ni hifadhi ya misitu, km2 17,122 (22%) ni hifadhi ya wanyama.
|
20231101.sw_2069_1
|
https://sw.wikipedia.org/wiki/Mkoa%20wa%20Tabora
|
Mkoa wa Tabora
|
Jumla ya wakazi ilikuwa watu 3,391,679 (2022). Wenyeji wa Tabora ni hasa Wanyamwezi. Walio wengi ni wakulima na wafugaji.
|
20231101.sw_2069_2
|
https://sw.wikipedia.org/wiki/Mkoa%20wa%20Tabora
|
Mkoa wa Tabora
|
Kulikuwa na wilaya 6 (idadi ya wakazi kwa mabano): Tabora Mjini (188,808), Nzega (417,097), Igunga (325,547), Uyui (282,272), Urambo (370,796), Sikonge (133,388). Jina la Urambo humkumbuka Mtemi Mirambo aliyekuwa mtawala muhimu wa Wanyamwezi kabla ya kuingia kwa ukoloni.
|
20231101.sw_2069_3
|
https://sw.wikipedia.org/wiki/Mkoa%20wa%20Tabora
|
Mkoa wa Tabora
|
Mkoa wa Tabora una barabara za lami. Ipo inayoanzia Tabora mjini hadi Nzega kuelekea Mwanza. Pia lami kutoka Nzega kuelekea Igunga mpaka Singida.
|
20231101.sw_2069_4
|
https://sw.wikipedia.org/wiki/Mkoa%20wa%20Tabora
|
Mkoa wa Tabora
|
Kuna njia ya reli ya kati kutoka Dar es Salaam kwenda Kigoma kwa upande moja na kwenda Mwanza kwa upande mwingine.
|
20231101.sw_2072_0
|
https://sw.wikipedia.org/wiki/Mkoa%20wa%20Morogoro
|
Mkoa wa Morogoro
|
Mkoa wa Morogoro ni kati ya mikoa 31 ya Tanzania wenye Postikodi namba 67000. Umepakana na mikoa ya Tanga, Pwani, Lindi, Ruvuma, Iringa, Dodoma na Arusha.
|
20231101.sw_2072_1
|
https://sw.wikipedia.org/wiki/Mkoa%20wa%20Morogoro
|
Mkoa wa Morogoro
|
Eneo lake ni km² 72 939, ambapo kuna wakazi 3,197,104 kadiri ya sensa ya mwaka 2022 (kutola 2,218,492 wa mwaka 2012). Hivyo Morogoro ni kati ya mikoa mikubwa zaidi ya Tanzania.
|
20231101.sw_2072_2
|
https://sw.wikipedia.org/wiki/Mkoa%20wa%20Morogoro
|
Mkoa wa Morogoro
|
Kilosa (489,513), Kilombero (322,779), Morogoro Vijijini (263,920), Morogoro Mjini (228,863), Mvomero (260,525), Ulanga (194,209). Mwaka 2012 imeongezwa wilaya mpya ya Gairo na Wilaya ya Malinyi
|
20231101.sw_2072_3
|
https://sw.wikipedia.org/wiki/Mkoa%20wa%20Morogoro
|
Mkoa wa Morogoro
|
Eneo la Mkoa wa Morogoro liko katikati ya mikoa ya pwani ya Bahari Hindi na Nyanda za Juu za Kusini Tanzania.
|
20231101.sw_2072_4
|
https://sw.wikipedia.org/wiki/Mkoa%20wa%20Morogoro
|
Mkoa wa Morogoro
|
Kuna tambarare za chini kama vile Ifakara / Kilombero, pia milima ya juu kama Uluguru yenye mlima wa Kimhandu wenye 2646 m juu ya UB.
|
20231101.sw_2072_5
|
https://sw.wikipedia.org/wiki/Mkoa%20wa%20Morogoro
|
Mkoa wa Morogoro
|
Mito mikubwa ni Wami na Ruvu inayoanza kwenye milima ya Uluguru. Ruvu ndiyo mto wa kutoa maji kwa wakazi wa Dar es Salaam.
|
20231101.sw_2072_6
|
https://sw.wikipedia.org/wiki/Mkoa%20wa%20Morogoro
|
Mkoa wa Morogoro
|
Karibu nusu ya eneo la Mkoa wa Morogoro ni hifadhi za wanyama za Mikumi na Udzungwa na sehemu ya eneo la kuwinda wanyama la Selous.
|
20231101.sw_2072_7
|
https://sw.wikipedia.org/wiki/Mkoa%20wa%20Morogoro
|
Mkoa wa Morogoro
|
Makabila mengine makubwa zaidi ni Wangulu, Wakagulu, Wasagala, Wapogolo, Wandamba, Wabena, Wambungu, Wakutu na Wavidunda.
|
20231101.sw_2072_8
|
https://sw.wikipedia.org/wiki/Mkoa%20wa%20Morogoro
|
Mkoa wa Morogoro
|
Barabara Kuu za lami za Dar es Salaam - Morogoro - Mbeya - Zambia/Malawi na Dar es Salaam - Morogoro - Dodoma hupita eneo la mkoa pamoja na reli ya kati Dar es Salaam - Morogoro - Dodoma - Kigoma / Mwanza. Reli ya TAZARA hupita wilaya ya Kilombero.
|
20231101.sw_2072_9
|
https://sw.wikipedia.org/wiki/Mkoa%20wa%20Morogoro
|
Mkoa wa Morogoro
|
Ardhi ya Morogoro ina takribani rutuba ya kufaa kwa mazao mengi. Lakini kilimo kinategemea hali ya mvua.
|
20231101.sw_2072_10
|
https://sw.wikipedia.org/wiki/Mkoa%20wa%20Morogoro
|
Mkoa wa Morogoro
|
Mkoa wa Morogoro ni eneo lililojaliwa na Mungu kwa uzalishaji wa sukari kwa wingi. Hasa Wilaya ya Kilombero ina mashamba makubwa ya miwa.
|
20231101.sw_2072_11
|
https://sw.wikipedia.org/wiki/Mkoa%20wa%20Morogoro
|
Mkoa wa Morogoro
|
Inabidi zitunzwe hifadhi mbalimbali zinazopatikana katika mkoa wa Morogoro kwa sababu kutunzwa kwa hifadhi hizo kunaweza kukaleta faida mbalimbali kama vile: pesa za kigeni na pia maendeleo katika lugha mbalimbali.
|
20231101.sw_2080_0
|
https://sw.wikipedia.org/wiki/Michael%20Jackson
|
Michael Jackson
|
Michael Joseph Jackson (29 Agosti 1958 – 25 Juni 2009) alikuwa mwimbaji, dansa na mburudishaji kutoka nchini Marekani. Hufahamika zaidi kwa jina la kiheshima-utani kama Mfalme wa Pop. Hutambulika kama mburudishaji aliyepata mafanikio zaidi kwa muda wote, na moja kati ya waburudishaji wenye mvuto na athira kubwa katika medani ya muziki. Michango yake katika muziki, dansi na fasheni,<ref name="Jackson: A Fashion Retrospective">film.com: [http://www.film.com/celebrities/michael-jackson/story/michael-jackson-a-fashion-retrospective/28853307Michael Jackson: A Fashion Retrospective,] 29. Novemba 2009</ref> na hasa suala la kuanika hadharani maisha yake binafsi, imemfanya awe kioo cha ulimwengu katika tamaduni maarufu kwa ziaidi ya miongo minne .
|
20231101.sw_2080_1
|
https://sw.wikipedia.org/wiki/Michael%20Jackson
|
Michael Jackson
|
Akiwa pamoja na ndugu zake, Jackson amefanya uongozi wa uimbaji kwa mara ya kwanza akiwa kama mwanachama mdogo kabisa katika kundi la The Jackson 5 mnamo mwaka wa 1964. Ameanza kazi ya usanii wa kujitegemea kunako mwaka wa 1971. Albamu yake ya mwaka wa 1982 Thriller imebaki kuwa albamu yenye mauzo bora kwa muda wote. Mchango waka katika utengenezaji wa muziki wa video umeinua kutoka katika hali ya kawaida hadi katika hali ya kisanii zaidi: video zake kama vile Billie Jean, Beat It na Thriller inamfanya kuwa msanii Mmarekani Mweusi wa kwanza kupata kupigiwa nyimbo yake sana kwenye MTV. Jackson ameipa umaarufu baadhi ya maunja ya kudansi, kama vile robot na moonwalk. Staili ya muziki wake, staili ya sauti yake na zile koregrafia zilitambulika vizazi kwa vizazi, kirangi na hata katika mipaka ya kitamaduni.
|
20231101.sw_2080_2
|
https://sw.wikipedia.org/wiki/Michael%20Jackson
|
Michael Jackson
|
Jackson ni mmoja kati ya wasanii wachache waliowekwa mara mbili kwenye Rock and Roll Hall of Fame. Mafanikio mengine yanajumlisha Guinness World Records (ikiwa ni pamoja Mburudishaji Mwenye Mafanikio kwa Muda Wote), Tuzo za Grammy 15 (ikiwa ni pamoja na ile ya Living Legend Award na ile ya Lifetime Achievement Award), 26 American Music Awards (24 akiwa kama msanii pekee ya kujitegemea, ikiwa ni pamoja na moja kwa ajili ya Msanii wa Karne)—zaidi ya msanii mwingine yeyote— single zake 17 zimeshika nafasi ya kwanza huko nchini Marekani (ikiwa ni pamoja na nne akiwa kama mwanachama wa kina Jackson 5), na inakadiriwa kafanya mauzo ya rekodi zaidi ya milioni 750 dunia nzima, inafanya kuwa miongoni mwa wasanii waliouza rekodi zao vilivyo kwa muda wote na haijawahi kutokea.
|
20231101.sw_2080_3
|
https://sw.wikipedia.org/wiki/Michael%20Jackson
|
Michael Jackson
|
Maisha binafsi ya Jackson yamezua utata kwa miaka kadhaa. Kujibadilisha kwa mwonekano wake ilianza kutambulika tangu mwishoni mwa miaka ya 1970 na kuendelea, kwa kubadilisha pua yake, na rangi ya ngozi yake, imesababisha makisio kadha wa kadha katika vyombo vya habari. Mnamo mwaka wa 1993 alishtakiwa kwa kosa la udhalilishaji wa kijinsia kwa mtoto, ingawa hakuna mashtaka yoyote yaliyotolewa dhidi yake. Mnamo mwaka wa 2005 amejaribu kuachana na mashtaka kama yale ya awali. Ameoa mara mbili, kwanza alioa mnamo 1994 na akaja kuoa tena mnamo 1996. Amepata watoto watatu, mmoja alizaliwa kwa mama mwenye kuchukua mimba kwa ajili ya familia fulani.
|
20231101.sw_2080_4
|
https://sw.wikipedia.org/wiki/Michael%20Jackson
|
Michael Jackson
|
Jackson amekufa mnamo tar. 25 Juni 2009 kwa kuzidisha kiasi cha dawa wakati anajiandaa na ziara ya tamasha lake la This Is It, ambalo lilitakiwa lianze katikati mwa mwaka wa 2009. Ameripotiwa kwamba alitumia dawa aina ya propofol na lorazepam. Afisa uchunguzi wa vifo wa Wilaya ya Los Angeles ameelezwa kuwa kifo chake ni uuaji wa binadamu, na mashtaka yanakwenda kwa daktari wake binafsi kwa kosa la kuua bila kukusudia. Kifo cha Jackson kimeamsha mihemko ya huzuni ulimwenguni, na huduma ya ukumbusho wake uliofanywa hadharani, ulitangazwa duniani, ulitazamwa na maelfu ya watu moja kwa moja.
|
20231101.sw_2080_5
|
https://sw.wikipedia.org/wiki/Michael%20Jackson
|
Michael Jackson
|
Michael Jackson alianza kuonekana jukwaani akiwa na miaka mitano tu pamoja na kaka na dada zake. Alitokea familia ya wanamuziki ya Jackson Five. Kuhusu miaka yake ya awali alisimulia mara kadhaa ya kwamba baba alimlazimisha kufanya mazoezi mno ya kucheza na uimbaji hivyo Michael alikosa utoto. Watazamaji wengi wamehisi ya kwamba matatizo ya kisaikolojia ya msanii yalikuwa na chanzo katika kipindi hiki.
|
20231101.sw_2080_6
|
https://sw.wikipedia.org/wiki/Michael%20Jackson
|
Michael Jackson
|
Michael aliandika nyimbo nyingine maarufu ambazo ni 'Bad' na 'Black or White'. Huyu pia huitwa mfalme wa pop duniani.
|
20231101.sw_2080_7
|
https://sw.wikipedia.org/wiki/Michael%20Jackson
|
Michael Jackson
|
Maisha binafsi ya Michael Jackson yalikuwa yakifahamika sana. Pia, alishawahi kutiwa shaurini kwa unyanyasaji wa mtoto, lakini hakukutanika na kosa. Alifanya upasuaji maalumu ili abadilishe mwonekano wake. Michael aliyezaliwa kwa maumbile ya Mwamerika mweusi mwishoni alikuwa na ngozi nyeupe usoni na baada ya upasuaji kadhaa pua yake likawa nyembamba si pana tena. Mwenyewe alidai ya kwamba badiliko la rangi lilisababishwa na ugonjwa. Watu waliomtazama hawakupatana kama mabadiliko ya kimaumbile yalikuwa ama tokeo la kuona aibu kuonekana kama Mwafrika au jaribio kuwa na uso linalorahisisha mawasiliano yake na watu wa bara zote.
|
20231101.sw_2080_8
|
https://sw.wikipedia.org/wiki/Michael%20Jackson
|
Michael Jackson
|
Michael, alimwoa Bi. Lisa Marie Presley, binti wa Elvis Presley. Jackson, pia alikuwa akimiliki eneo kubwa lenye makazi lililoitwa Neverland, ambalo baadaye liliuzwa kwa kampuni na nusu bado inamilikiwa na mwenyewe.
|
20231101.sw_2080_9
|
https://sw.wikipedia.org/wiki/Michael%20Jackson
|
Michael Jackson
|
Michael Jackson amefariki mnamo tar. 25 Juni 2009 baada ya kuwaisha katika hospitali ya UCLA Medical Center. Ilifikiriwa kwamba alipata mshtuko wa moyo, ikiwa na maana kwamba moyo wake ulisimama na imeonekana ya kwamba sababu yake ilikuwa matumizi mabaya ya madawa mengi mno. At 4:36 pm local time, the Los Angeles coroner confirmed Jackson's death.
|
20231101.sw_2080_10
|
https://sw.wikipedia.org/wiki/Michael%20Jackson
|
Michael Jackson
|
Wakati wa umauti wake, Jackson alikuwa na umri wa miaka 50. Tetesi za habari za kifo cha Jackson, kimevunja rekodi ya mtandao na kusababisha msongamano mtandaoni kwa kuwapa tabu Google, Twitter, Facebook, na Yahoo msongamano mkubwa wa utafutaji wa habari zake.
|
20231101.sw_2087_0
|
https://sw.wikipedia.org/wiki/Swala
|
Swala
|
Swala ni wanyama walao nyasi katika nusufamilia Antilopinae, Aepycerotinae na Pantholopinae za familia Bovidae. Hupatikana katika maeneo yenye nyasi fupi fupi na vichaka vifupi fupi hasa kwenye maeneo mengi ya hifadhi katika Afrika. Spishi nyingine hukimbia kilometa 80 kwa saa na zina uwezo wa kuruka mita 7 hadi 8 juu akiwa kwenye kasi. Rangi yao ni ya mchanga na nyeupe kidogo kwenye koromeo na sehemu ya chini ya mkia. Maadui yao wakubwa ni simba, chatu na chui.
|
20231101.sw_2088_0
|
https://sw.wikipedia.org/wiki/John%20F.%20Kennedy
|
John F. Kennedy
|
John Fitzgerald Kennedy (29 Mei 1917 – 22 Novemba 1963) alikuwa Rais wa Marekani kuanzia mwaka 1961 hadi alipouawa.
|
20231101.sw_2088_1
|
https://sw.wikipedia.org/wiki/John%20F.%20Kennedy
|
John F. Kennedy
|
Alikuwa mtoto wa pili katika familia ya watoto 9. Baba yake alikuwa mfanyabiashara maarufu wa ukoo wenye asili ya Eire.
|
20231101.sw_2088_2
|
https://sw.wikipedia.org/wiki/John%20F.%20Kennedy
|
John F. Kennedy
|
Vita Kuu ya Pili ilipoanza alijiunga na jeshi la wanamaji. Mwaka 1943 alijeruhiwa katika shambulio lililofanywa na ndege za kivita za Japani.
|
20231101.sw_2088_3
|
https://sw.wikipedia.org/wiki/John%20F.%20Kennedy
|
John F. Kennedy
|
Mwaka wa 1957 Kennedy alituzwa Tuzo ya Pulitzer ya Wasifu kwa ajili ya wasifu ya wabunge wanane wa Senati ya Marekani; kitabu kiliitwa Profiles in Courage.
|
20231101.sw_2088_4
|
https://sw.wikipedia.org/wiki/John%20F.%20Kennedy
|
John F. Kennedy
|
Mwaka 1947 alianza kujiingiza katika siasa na mwaka 1960 alichaguliwa kuwa Rais wa Marekani. Ni rais pekee muumini wa Kanisa Katoliki katika historia ya nchi hiyo.
|
20231101.sw_2088_5
|
https://sw.wikipedia.org/wiki/John%20F.%20Kennedy
|
John F. Kennedy
|
Kati ya mengine alisema "Wamarekani wasiulize Marekani imewatendea nini, bali wajiulize kwanza wao wenyewe wameitendea nini nchi yao".
|
20231101.sw_2097_0
|
https://sw.wikipedia.org/wiki/Kwarara
|
Kwarara
|
Kwarara ni ndege wa nusufamilia Threskiornithinae katika familia Threskiornithidae ambao wana miguu mirefu. Domo refu lao limepindika na hutumika kwa kutafuta chakula ndani ya matope. Spishi nyingi za kwarara huweka matago yao juu ya miti, kwa kawaida pamoja na yange, koikoi au domomwiko. Jike huyataga mayai 2-4.
|
20231101.sw_2099_0
|
https://sw.wikipedia.org/wiki/Alexander%20Graham%20Bell
|
Alexander Graham Bell
|
Alexander Graham Bell (3 Machi 1847 – 2 Agosti 1922) alikuwa kati ya wagunduzi wa mawasiliano ya simu. Alizaliwa katika mji wa Edinburgh nchini Uskoti lakini baadaye alihamia nchi za Kanada na Marekani. Baba yake alikuwa mwalimu wa watoto wenye matatizo ya kusikia na kuongea. Alifanikiwa katika jaribio lake la kwanza mwaka 1876.
|
20231101.sw_2099_1
|
https://sw.wikipedia.org/wiki/Alexander%20Graham%20Bell
|
Alexander Graham Bell
|
Bell hakuwa mtu wa kwanza wa kutengeneza simu kwa mawasiliano lakini mashine yake ilikuwa ya kwanza iliyoweza kutumiwa kibiashara nje ya majaribio na maabara. Alitumia matokeo ya utafiti wa watangulizi hasa Mwitalia Antonio Meucci.
|
20231101.sw_2100_0
|
https://sw.wikipedia.org/wiki/Karl%20Friedrich%20Benz
|
Karl Friedrich Benz
|
Karl Friedrich Benz alizaliwa tar. 25 Novemba 1844 akiitwa Karl Friedrich Michael Vaillant huko Mühlburg / Karlsruhe Ujerumani wa Kusini Magharibi. Baada ya kumzaa mamake Josephine Vaillant akaolewa na babake Johann Georg Benz. Hivyo akaitwa Karl Friedrich Michael Benz lakini baadaye akajiita Carl Friedrich Benz.
|
20231101.sw_2100_1
|
https://sw.wikipedia.org/wiki/Karl%20Friedrich%20Benz
|
Karl Friedrich Benz
|
Alikuwa mhandisi Mjerumani mwenye sifa ya kuwa alitengeza motokaa ya kwanza au gari la kwanza lililotumia nguvu ya nishati ya petroli.
|
20231101.sw_2100_2
|
https://sw.wikipedia.org/wiki/Karl%20Friedrich%20Benz
|
Karl Friedrich Benz
|
Mwaka 1864 alichukua digri ya uhandisi, mw. 1871 alianzisha kampuni yake ya kwanza. Hapo alitengeneza injini ya petroli ya mapigo mawili mwaka 1878/79 aliyoendeleza kuwa injini ya mapigo manne. Benz hakuwa mhandisi wa kwanza kutengeneza injini za aina hii, Mjerumani mwenzake Nikolaus Agosti Otto aliwahi kuchukua hataza ya injini ya mapigo manne mwa. 1876. Injini za aina hii zilifanya kazi viwandani vikiendesha mashine mbalimbali.
|
20231101.sw_2100_3
|
https://sw.wikipedia.org/wiki/Karl%20Friedrich%20Benz
|
Karl Friedrich Benz
|
1886 Benz alikuwa mtu wa kwanza aliyeweka injini ya petroli kwa gari. Gari lake la kwanza lilikuwa na magurudumu matatu yenye nguvu-farasi 0.8. Mke wake Bertha Benz alifanya safari kubwa ya kwanza kwa gari hili kwa umbali wa km 89 kutoka Mannheim kwenda Pforzheim (yote Ujerumani wa Kusini Magharibi). Alipoishia petroli alipaswa kuinunua katika duka ya madawa kwani hapakuwapo na kituo cha petroli bado.
|
20231101.sw_2100_4
|
https://sw.wikipedia.org/wiki/Karl%20Friedrich%20Benz
|
Karl Friedrich Benz
|
Benz aliendelea kutengeneza gari lenye magurudumu manne. Kwa jina la "Velo" lilikuwa motokaa ya kwanza iliyotengenezwa kwa wingi duniani.
|
20231101.sw_2100_5
|
https://sw.wikipedia.org/wiki/Karl%20Friedrich%20Benz
|
Karl Friedrich Benz
|
Benz aliona kupanuka kwa biashara yake watoto wake wakiendelea kuendesha makampuni yake. Mwaka 1926 kampuni ya Benz iliunganishwa na kampuni ya Gottlieb Daimler kwa jina la "Daimler-Benz".
|
20231101.sw_2106_0
|
https://sw.wikipedia.org/wiki/Isaac%20Newton
|
Isaac Newton
|
Isaac Newton (25 Desemba 1642 – 20 Machi 1727) alikuwa mwanahisabati, mwanafizikia na mwanateolojia kutoka nchi ya Uingereza.
|
20231101.sw_2106_1
|
https://sw.wikipedia.org/wiki/Isaac%20Newton
|
Isaac Newton
|
Ndiye aliyegundua tawi la kalkulasi (sambamba na Leibniz), sheria za mwendo na ya uvutano (graviti).
|
20231101.sw_2106_2
|
https://sw.wikipedia.org/wiki/Isaac%20Newton
|
Isaac Newton
|
Mchango mwingine wa Isaac Newton upo katika nadharia ya mwanga, akitumia prisma kuonyesha jinsi rangi zinazounda mwanga (kama zinavyoonekana kwenye upinde wa mvua) zinavyotokea.
|
20231101.sw_2106_3
|
https://sw.wikipedia.org/wiki/Isaac%20Newton
|
Isaac Newton
|
Alichangia pia astronomia kwa kuboresha darubini ya kuakisia (darubini akisi) iliyoleta matokeo mazuri. Alitambua ya kwamba kanuni za mvutano zinatawala pia mwendo wa sayari. Alitunga ramani ya nyota kufuatana na tafiti za Flamsteed.
|
20231101.sw_2106_4
|
https://sw.wikipedia.org/wiki/Isaac%20Newton
|
Isaac Newton
|
Kwa kuwa alizaliwa katika familia ya Kianglikana, alitumia muda mwingi kufanya utafiti wa Biblia na theolojia pia. Alilenga kupatanisha elimu ya sayansi na imani yake. Aliandika "Graviti inaeleza miendo ya sayari lakini haiwezi kueleza ni nani aliyeanzisha miendo yao. Mungu anatawala mambo yote na yaliyopo na yanayoweza kuwepo".
|
20231101.sw_2106_5
|
https://sw.wikipedia.org/wiki/Isaac%20Newton
|
Isaac Newton
|
Tarehe 10 Desemba 1682 alimuandikia Richard Bentley: «Siamini ulimwengu unaweza kuelezwa na sababu za maumbile tu, bali nalazimika kuuona kama tunda la hekima na ubunifu vya mmoja mwenye akili». Hata hivyo, yeye binafsi hakukubali mafundisho juu ya Utatu wa Mungu.
|
20231101.sw_2106_6
|
https://sw.wikipedia.org/wiki/Isaac%20Newton
|
Isaac Newton
|
The Newton Manuscripts at the National Library of Israel – the collection of all his religious writings
|
20231101.sw_2106_7
|
https://sw.wikipedia.org/wiki/Isaac%20Newton
|
Isaac Newton
|
Descartes, Space, and Body and A New Theory of Light and Colour, modernised readable versions by Jonathan Bennett
|
20231101.sw_2106_8
|
https://sw.wikipedia.org/wiki/Isaac%20Newton
|
Isaac Newton
|
Opticks, or a Treatise of the Reflections, Refractions, Inflexions and Colours of Light, full text on archive.org
|
20231101.sw_2106_9
|
https://sw.wikipedia.org/wiki/Isaac%20Newton
|
Isaac Newton
|
(1686) "A letter of Mr. Isaac Newton... containing his new theory about light and colors", Philosophical Transactions of the Royal Society, Vol. XVI, No. 179, pp. 3057–3087. – digital facsimile at the Linda Hall Library
|
20231101.sw_2106_10
|
https://sw.wikipedia.org/wiki/Isaac%20Newton
|
Isaac Newton
|
This well documented work provides, in particular, valuable information regarding Newton's knowledge of Patristics
|
20231101.sw_2106_11
|
https://sw.wikipedia.org/wiki/Isaac%20Newton
|
Isaac Newton
|
Bardi, Jason Socrates. The Calculus Wars: Newton, Leibniz, and the Greatest Mathematical Clash of All Time (2006) excerpt and text search
|
20231101.sw_2106_12
|
https://sw.wikipedia.org/wiki/Isaac%20Newton
|
Isaac Newton
|
Berlinski, David. Newton's Gift: How Sir Isaac Newton Unlocked the System of the World. (2000); isbn|0-684-84392-7
|
20231101.sw_2106_13
|
https://sw.wikipedia.org/wiki/Isaac%20Newton
|
Isaac Newton
|
Buchwald, Jed Z. and Cohen, I. Bernard (eds.) Isaac Newton's Natural Philosophy, MIT Press (2001) excerpt and text search
|
20231101.sw_2106_14
|
https://sw.wikipedia.org/wiki/Isaac%20Newton
|
Isaac Newton
|
Cohen, I. Bernard and Smith, George E., ed. The Cambridge Companion to Newton. (2002). 500 pp. focuses on philosophical issues only; excerpt and text search; complete edition online
|
20231101.sw_2106_15
|
https://sw.wikipedia.org/wiki/Isaac%20Newton
|
Isaac Newton
|
Eamon Duffy, "Far from the Tree" (review of Rob Iliffe, Priest of Nature: the Religious Worlds of Isaac Newton, Oxford, Oxford University Press, 2017, ISBN|9780199995356), The New York Review of Books, vol. LXV, no. 4 (8 March 2018), pp. 28–29.
|
20231101.sw_2106_16
|
https://sw.wikipedia.org/wiki/Isaac%20Newton
|
Isaac Newton
|
Hawking, Stephen, ed. On the Shoulders of Giants. Places selections from Newton's Principia in the context of selected writings by Copernicus, Kepler, Galileo and Einstein
|
20231101.sw_2106_17
|
https://sw.wikipedia.org/wiki/Isaac%20Newton
|
Isaac Newton
|
Newton, Isaac. Papers and Letters in Natural Philosophy, edited by I. Bernard Cohen. Harvard University Press, 1958, 1978; .
|
20231101.sw_2106_18
|
https://sw.wikipedia.org/wiki/Isaac%20Newton
|
Isaac Newton
|
Newton, Isaac (1642–1727). The Principia: a new Translation, Guide by I. Bernard Cohen; , University of California (1999)
|
20231101.sw_2106_19
|
https://sw.wikipedia.org/wiki/Isaac%20Newton
|
Isaac Newton
|
Shapley, Harlow, S. Rapport, and H. Wright. A Treasury of Science; "Newtonia" pp. 147–9; "Discoveries" pp. 150–4. Harper & Bros., New York, (1946).
|
20231101.sw_2106_20
|
https://sw.wikipedia.org/wiki/Isaac%20Newton
|
Isaac Newton
|
Trabue, J. “Ann and Arthur Storer of Calvert County, Maryland, Friends of Sir Isaac Newton,” The American Genealogist 79 (2004): 13–27.
|
20231101.sw_2106_21
|
https://sw.wikipedia.org/wiki/Isaac%20Newton
|
Isaac Newton
|
Dobbs, Betty Jo Tetter. The Janus Faces of Genius: The Role of Alchemy in Newton's Thought. (1991), links the alchemy to Arianism
|
20231101.sw_2106_22
|
https://sw.wikipedia.org/wiki/Isaac%20Newton
|
Isaac Newton
|
Force, James E., and Richard H. Popkin, eds. Newton and Religion: Context, Nature, and Influence. (1999), pp. xvii, 325; 13 papers by scholars using newly opened manuscripts
|
20231101.sw_2106_23
|
https://sw.wikipedia.org/wiki/Isaac%20Newton
|
Isaac Newton
|
Ramati, Ayval. "The Hidden Truth of Creation: Newton's Method of Fluxions" British Journal for the History of Science 34: 417–38. in JSTOR, argues that his calculus had a theological basis
|
20231101.sw_2106_24
|
https://sw.wikipedia.org/wiki/Isaac%20Newton
|
Isaac Newton
|
Snobelen, Stephen "'God of Gods, and Lord of Lords': The Theology of Isaac Newton's General Scholium to the Principia", Osiris 2nd series, Vol. 16, (2001), pp. 169–208 in JSTOR
|
20231101.sw_2106_25
|
https://sw.wikipedia.org/wiki/Isaac%20Newton
|
Isaac Newton
|
Wiles, Maurice. Archetypal Heresy. Arianism through the Centuries. (1996) 214 pages, with chapter 4 on eighteenth century England; pp. 77–93 on Newton, excerpt and text search.
|
20231101.sw_2106_26
|
https://sw.wikipedia.org/wiki/Isaac%20Newton
|
Isaac Newton
|
Newton's First ODE – A study by on how Newton approximated the solutions of a first-order ODE using infinite series
|
20231101.sw_2106_27
|
https://sw.wikipedia.org/wiki/Isaac%20Newton
|
Isaac Newton
|
Enlightening Science Videos on Newton's biography, optics, physics, reception, and on his views on science and religion
|
20231101.sw_2106_28
|
https://sw.wikipedia.org/wiki/Isaac%20Newton
|
Isaac Newton
|
The Linda Hall Library has digitized Two copies of John Marsham's (1676) Canon Chronicus Aegyptiacus, one of which was owned by Isaac Newton, who marked salient passages by dog-earing the pages so that the corners acted as arrows. The books can be compared side-by-side to show what interested Newton.
|
20231101.sw_2108_0
|
https://sw.wikipedia.org/wiki/Mtakatifu%20Marko
|
Mtakatifu Marko
|
Mtakatifu Marko (kwa Kilatini Mārcus; kwa Kigiriki Μᾶρκος) aliishi katika karne ya 1 BK. Alikuwa Myahudi wa Yerusalemu aliyeongokea mapema Ukristo pamoja na Maria mama yake. Kanisa la kwanza lilikuwa linakusanyika nyumbani mwao.
|
20231101.sw_2108_1
|
https://sw.wikipedia.org/wiki/Mtakatifu%20Marko
|
Mtakatifu Marko
|
Baadaye alikuwa na Mtume Petro na Paulo katika mji wa Roma hadi walipouawa na serikali ya Kaisari Nero (dhuluma ya miaka 64-68).
|
20231101.sw_2108_2
|
https://sw.wikipedia.org/wiki/Mtakatifu%20Marko
|
Mtakatifu Marko
|
Ndipo, kwa kufuata mafundisho ya Petro aliyemwita mwanae, alipoamua kuandika Injili ya kwanza, iliyotumiwa na kufuatwa na Mtume Mathayo na Mwinjili Luka, ingawa katika orodha za Biblia inashika nafasi ya pili.
|
20231101.sw_2109_0
|
https://sw.wikipedia.org/wiki/Mtakatifu%20Paulo
|
Mtakatifu Paulo
|
Alimaliza ushuhuda wake kwa Yesu kwa kufia dini yake mjini Roma wakati wa dhuluma iliyoanzishwa na Kaisari Nero.
|
20231101.sw_2109_1
|
https://sw.wikipedia.org/wiki/Mtakatifu%20Paulo
|
Mtakatifu Paulo
|
Sherehe yake inaadhimishwa kila mwaka tarehe 29 Juni pamoja na ya Mtume Petro, lakini pia uongofu wake una sikukuu maalumu, tarehe 25 Januari.
|
20231101.sw_2109_2
|
https://sw.wikipedia.org/wiki/Mtakatifu%20Paulo
|
Mtakatifu Paulo
|
Mtakatifu Paulo alizaliwa kati ya miaka 7-10 BK katika familia ya Kiyahudi ya kabila la Benyamini (Israeli) na madhehebu ya Mafarisayo iliyoishi katika mji wa Tarsus (kwa sasa mji huo uko sehemu ya kusini mashariki ya nchi ya Uturuki).
|
20231101.sw_2109_3
|
https://sw.wikipedia.org/wiki/Mtakatifu%20Paulo
|
Mtakatifu Paulo
|
Jina lake la kwanza (la Kiebrania) lilikuwa Sauli, lakini kadiri ya desturi ya wakati ule alikuwa pia na jina la Kigiriki: Paulos kutoka Kilatini Paulus (= mdogo). Mwenyewe alikuwa na uraia wa Roma kama wananchi wote wa Tarsus.
|
20231101.sw_2109_4
|
https://sw.wikipedia.org/wiki/Mtakatifu%20Paulo
|
Mtakatifu Paulo
|
Angali kijana alisomea ualimu wa Sheria (yaani wa Torati) huko Yerusalemu chini ya mwalimu maarufu Gamalieli wa madhehebu ya Mafarisayo.
|
Subsets and Splits
No community queries yet
The top public SQL queries from the community will appear here once available.