_id
stringlengths 15
22
| url
stringlengths 31
150
| title
stringlengths 1
86
| text
stringlengths 100
23.8k
|
---|---|---|---|
20231101.sw_2236_29
|
https://sw.wikipedia.org/wiki/Agostino%20wa%20Hippo
|
Agostino wa Hippo
|
Pia miaka hiyo alijadiliana na wazushi hadharani na kurudisha amani iliyohatarishwa na makabila ya kusini yakifaidika na matatizo kati ya Kaisari na jemadari wake Bonifasi.
|
20231101.sw_2236_30
|
https://sw.wikipedia.org/wiki/Agostino%20wa%20Hippo
|
Agostino wa Hippo
|
Alimuandikia mpatanishi: “Ni utukufu mkubwa zaidi kuzuia vita vyenyewe kwa neno moja, kuliko kuangamiza watu kwa upanga, na vilevile kusababisha au kudumisha amani kwa amani kuliko kwa vita. Kwa sababu wanaopigana, ikiwa ni watu wema, bila shaka wanalenga amani, ila kupitia damu. Kumbe kazi yako ni kuzuia umwagaji damu”.
|
20231101.sw_2236_31
|
https://sw.wikipedia.org/wiki/Agostino%20wa%20Hippo
|
Agostino wa Hippo
|
Hata hivyo, tumaini lilitoweka Bonifasi alipoalika kwa hasira washenzi wa Kijerumani walioitwa Wavandali kutoka Hispania wavamie Afrika.
|
20231101.sw_2236_32
|
https://sw.wikipedia.org/wiki/Agostino%20wa%20Hippo
|
Agostino wa Hippo
|
Agostino aliaga dunia akiwa Hippo tarehe 28 Agosti 430, wakati Wavandali walipokaribia kuteka mji wake baada ya kuuzingira miezi mitatu, huku wakibomoa makanisa na nyumba za vijijini na kuua au kukimbiza wakazi, wakiwemo watawa. Baadhi waliteswa na kuchinjwa, wengine walibakwa au kufanywa watumwa.
|
20231101.sw_2236_33
|
https://sw.wikipedia.org/wiki/Agostino%20wa%20Hippo
|
Agostino wa Hippo
|
Mbele ya maovu hayo yaliyokomesha ustaarabu wa Kirumi, Augustino alizidi kutafakari fumbo la Maongozi ya Mungu ili kujifariji na kuwatuliza wengine kama alivyofanya miaka 20 ya nyuma, Roma ilipotekwa kwa mara ya kwanza na Wagoti. Aliona ustaarabu huo ulikuwa umechakaa, kumbe Kristo tu hazeeki kamwe na ni wa kutegemewa.
|
20231101.sw_2236_34
|
https://sw.wikipedia.org/wiki/Agostino%20wa%20Hippo
|
Agostino wa Hippo
|
Hapo awali, alidhani mtu akiongoka na kubatizwa atafikia kwa urahisi ukamilifu unaoelekezwa na Hotuba ya Mlimani. Miaka ya mwisho alikiri kwamba Yesu tu alitekeleza sawasawa hotuba yake hiyo. Waamini wanahitaji daima kuongoka na kutakaswa naye ili kufanywa wapya. “Nimeelewa kwamba mmoja tu ni mkamilifu kweli… Kumbe Kanisa lote - sisi sote, tukiwa pamoja na Mitume - tunapaswa kusali kila siku: ‘Utusamehe dhambi zetu kama tunavyowasamehe na sisi waliotukosea’”. Ndio wongofu wake wa tatu, uliomfanya amalizie maisha yake kwa unyenyekevu wa hali ya juu.
|
20231101.sw_2236_35
|
https://sw.wikipedia.org/wiki/Agostino%20wa%20Hippo
|
Agostino wa Hippo
|
Katika ugonjwa wa mwisho aliomba Zaburi za toba ziandikwe kwa herufi kubwa na kubandikwa ukutani aweze kuzisoma kutoka kitandani huku akijiaminisha kwa Mungu kwa machozi mengi usiku na mchana.
|
20231101.sw_2236_36
|
https://sw.wikipedia.org/wiki/Agostino%20wa%20Hippo
|
Agostino wa Hippo
|
Ili kujiandaa zaidi kufa, siku 10 za mwisho hakuruhusu mtu kumtembelea, ila waliomletea chakula na dawa.
|
20231101.sw_2236_37
|
https://sw.wikipedia.org/wiki/Agostino%20wa%20Hippo
|
Agostino wa Hippo
|
Katika historia yote Augustino ni kati ya watu wenye akili kubwa zaidi, iliyopenya masuala yoyote, pamoja na ubunifu wa ajabu na moyo mpana. Aliunda upya teolojia ya mapokeo akiitia chapa yake mwenyewe.
|
20231101.sw_2236_38
|
https://sw.wikipedia.org/wiki/Agostino%20wa%20Hippo
|
Agostino wa Hippo
|
Kati ya mababu wa Kanisa, ndiye aliyetuachia maandishi mengi zaidi, kuanzia yale maarufu sana yanayoitwa "Maungamo", kwa kuwa humo miaka 397-400 aliungama sifa za Mungu na ukosefu wake mwenyewe kwa kusimulia alivyoishi hadi miaka ya kwanza baada ya kuongoka.
|
20231101.sw_2236_39
|
https://sw.wikipedia.org/wiki/Agostino%20wa%20Hippo
|
Agostino wa Hippo
|
Kila wakati ulifurahia zaidi kitu fulani katika Augustino. Siku hizi anapendwa hasa kwa unyofu wake katika kujichunguza na kutoa siri zake, akikiri makosa yake na kuyageuza yawe sifa kwa Mungu.
|
20231101.sw_2236_40
|
https://sw.wikipedia.org/wiki/Agostino%20wa%20Hippo
|
Agostino wa Hippo
|
Uzingatifu wake wa fumbo la nafsi yake ambamo fumbo la Mungu limefichama, ni mzuri ajabu kiasi cha kubaki hata leo kilele cha kujitafiti kiroho. Aliandika: “Usiende nje, rudi ndani mwako; ukweli unakaa katika utu wa ndani; na ukiona umbile lako ni geugeu, panda juu yako. Lakini kumbuka, unapopanda juu yako, unapanda juu ya roho inayofikiri. Basi, ufikie pale mwanga wa akili unapowaka”. Tena: “Naona ni lazima wanadamu warudishiwe tumaini la kupata ukweli”.
|
20231101.sw_2236_41
|
https://sw.wikipedia.org/wiki/Agostino%20wa%20Hippo
|
Agostino wa Hippo
|
Posidi, mtu wa kwanza kuandika habari za maisha ya Augustino (kwa Kilatini, “Vita Augustini”), alisema “waamini wanamkuta daima hai” katika vitabu vyake. Kweli havionyeshi imepita miaka 1600 tangu viandikwe: humo anaonekana kama rafiki yetu wa wakati huu anayesema nasi kwa imani isiyozeeka.
|
20231101.sw_2236_42
|
https://sw.wikipedia.org/wiki/Agostino%20wa%20Hippo
|
Agostino wa Hippo
|
Kazi yake kubwa haikuwa kuandika maelezo juu ya vitabu na maneno ya Biblia yenyewe alivyofanya Origene, bali kuingiza Biblia katika mazingira ya kiroho, ya kijamii na ya kisiasa ya wakati wake. Hapo, akitegemea mamlaka ya imani inayodhihirishwa na Biblia, maandiko ya Kimungu yasiyoweza kukosea yakisomwa katika mapokeo ya Kanisa lililoorodhesha vitabu vinavyoiunda, aliuliza maswali na kutoa majibu yaliyo muhimu mpaka leo.
|
20231101.sw_2236_43
|
https://sw.wikipedia.org/wiki/Agostino%20wa%20Hippo
|
Agostino wa Hippo
|
Akilinganisha imani na akili, Augustino alichunguza hasa fumbo la Mungu (Ukweli mkuu na Upendo wa milele, unaohitajiwa na roho ili kupata amani) na la binadamu (ambaye ni sura na mfano wa Mungu). Huyo katika roho yake isiyokufa, bado ana uwezo wa kuinuka hadi kwa Mungu, ingawa uwezo huo umeharibiwa na dhambi na unahitaji kabisa kurekebishwa na neema.
|
20231101.sw_2236_44
|
https://sw.wikipedia.org/wiki/Agostino%20wa%20Hippo
|
Agostino wa Hippo
|
Teolojia yake kuhusu Utatu inaendeleza ile ya mapokeo na kuathiri Kanisa lote la Magharibi. Augustino anaweka wazi kuwa Nafsi tatu ni sawa lakini hazichanganyikani; tena anajaribu kuufafanua Utatu kwa kutumia saikolojia (mfano wa kumbukumbu, akili na utashi). Kitabu muhimu zaidi kuhusu Utatu (kwa Kilatini kinaitwa “De Trinitate”) alikiandika miaka 399-420. Kilichukua muda mrefu kwa kuwa alisimamisha uandishi wake miaka minane “kwa sababu ni kigumu mno na nadhani wachache tu wanaweza kukielewa; basi kuna haraka zaidi ya kuwa na vitabu vingine tunavyotumaini vitafaidisha wengi”.
|
20231101.sw_2236_45
|
https://sw.wikipedia.org/wiki/Agostino%20wa%20Hippo
|
Agostino wa Hippo
|
Hivyo alielekeza nguvu zake kutunga vitabu vya katekesi kwa wasio na elimu (hasa “De Catechizandis Rudibus”). Akijibu hoja za Wadonati, ambao walitaka Kanisa la Kiafrika na kuchukia mambo ya Kilatini, alikubali kurahisisha lugha hata kufanya makosa ya kisarufi kusudi wamuelewe zaidi akifafanua umoja wa Kanisa ulivyo muhimu kwa mahusiano na Mungu na kwa amani duniani.
|
20231101.sw_2236_46
|
https://sw.wikipedia.org/wiki/Agostino%20wa%20Hippo
|
Agostino wa Hippo
|
Hasa hotuba zake, zilizoandikwa na wengine wakati alipokuwa anazitoa kwa watu akiongea nao kirahisi, zimechangia kueneza ujumbe wake. Tunazo bado karibu 600, lakini zilikuwa zaidi ya 3,000.
|
20231101.sw_2236_47
|
https://sw.wikipedia.org/wiki/Agostino%20wa%20Hippo
|
Agostino wa Hippo
|
Pia alifafanua upya imani kuhusu umwilisho wa Mwana wa Mungu, akiwahi kutumia misamiati iliyokuja kupitishwa na Mtaguso wa Kalsedonia (451): uwepo wa hali mbili (ya Kimungu na ya kibinadamu) katika nafsi moja. Lengo la umwilisho lilikuwa wokovu wa watu, hivyo hakuna anayeweza kuokoka bila Kristo aliyejitoa sadaka kwa Baba, “akitakasa, akifuta na kutangua makosa yote ya binadamu, akiwakomboa kutoka mamlaka ya shetani”.
|
20231101.sw_2236_48
|
https://sw.wikipedia.org/wiki/Agostino%20wa%20Hippo
|
Agostino wa Hippo
|
Katika suala la neema na dhambi ni Agostino aliyefundisha kwamba ubinadamu umerithi dhambi ya asili kutoka kwa Adamu. Uhuru wa asili umepotezwa na dhambi hiyo, na hali hii imerithiwa na watu wote baadaye. Lakini kwa neema yake Mungu hufunua upendo wake kwao.
|
20231101.sw_2236_49
|
https://sw.wikipedia.org/wiki/Agostino%20wa%20Hippo
|
Agostino wa Hippo
|
Alisisitiza kwamba si binadamu anayemtafuta Mungu, bali Mungu ndiye anayemhurumia mwanadamu mwenye dhambi.
|
20231101.sw_2236_50
|
https://sw.wikipedia.org/wiki/Agostino%20wa%20Hippo
|
Agostino wa Hippo
|
Mchakato huo wote ni kazi ya neema ya Mungu: bila hiyo, binadamu hawezi kuongoka, kukwepa dhambi na kufikia utimilifu wa wokovu. Hayo yote ni zawadi tu ya Mungu, kama vilivyo pia udumifu na stahili za mtu.
|
20231101.sw_2236_51
|
https://sw.wikipedia.org/wiki/Agostino%20wa%20Hippo
|
Agostino wa Hippo
|
Sisitizo hilo la kwamba neema ni dezo, lilimuongoza Augustino kufundisha juu ya uteule, neema ambayo hakuna anayeweza kuikataa na ambayo inafikisha kwa hakika mbinguni. Kwa nini Mungu hawapi wote neema hiyo ni fumbo ambalo tuliinamie tu, kwa sababu hatuwezi kabisa kulielewa. Kwa vyovyote haiwezekani kumlaumu Mungu kwa ajili hiyo, eti si haki.
|
20231101.sw_2236_52
|
https://sw.wikipedia.org/wiki/Agostino%20wa%20Hippo
|
Agostino wa Hippo
|
Mawazo hayo yalikuja kukaziwa zaidi tena na watu kama Martin Luther, Yohane Kalvini na Janseni, namna iliyokataliwa na Kanisa Katoliki.
|
20231101.sw_2236_53
|
https://sw.wikipedia.org/wiki/Agostino%20wa%20Hippo
|
Agostino wa Hippo
|
Juu ya uhusiano kati ya serikali na kanisa Augustino katika miaka 413-426 aliandika kitabu "De Civitate Dei" (maana yake kwa Kilatini ni: Mji wa Mungu. Badala ya "mji" tungeweza kutafsiri pia: "eneo au kikundi cha watu au utawala").
|
20231101.sw_2236_54
|
https://sw.wikipedia.org/wiki/Agostino%20wa%20Hippo
|
Agostino wa Hippo
|
Alieleza kwamba iko "miji" miwili: mji wa Mungu (yaani Yerusalemu wa mbinguni, au Kanisa) na mji wa dunia hii, yaani taratibu za kisiasa.
|
20231101.sw_2236_55
|
https://sw.wikipedia.org/wiki/Agostino%20wa%20Hippo
|
Agostino wa Hippo
|
Katika "mji wa dunia hii" hali hubadilika. Hakuna taratibu za kudumu. Agostino alifahamu taratibu za Waroma Wapagani waliotazama Makaisari wao kuwa miungu, na vilevile habari za demokrasia ya Kigiriki ya kale. Akafahamu habari za mji mkubwa wa Roma ulioitwa "mji wa milele" lakini ulichomwa moto na maadui katika siku zake jinsi ilivyoanguka zamani miji ya Babeli na Yerusalemu.
|
20231101.sw_2236_56
|
https://sw.wikipedia.org/wiki/Agostino%20wa%20Hippo
|
Agostino wa Hippo
|
Pamoja na "mji" huo alisema upo "mji" wa pili ndio mji wa Mungu ambao ni mji wa upendo na undugu wenye neema yake.
|
20231101.sw_2236_57
|
https://sw.wikipedia.org/wiki/Agostino%20wa%20Hippo
|
Agostino wa Hippo
|
Miji yote miwili iko pamoja ingawa zina taratibu tofauti. Mkristo ni raia wa miji yote miwili. Huitwa kuwa mwaminifu pande zote mbili. Lakini ajue kwamba mji wa dunia hii hauna shabaha ya kudumu. Umeingiliwa na dhambi. Kumbe mji wa Mungu utadumu. Umepewa lengo la kudumu, unashiriki enzi ya Mungu.
|
20231101.sw_2236_58
|
https://sw.wikipedia.org/wiki/Agostino%20wa%20Hippo
|
Agostino wa Hippo
|
Ndiyo sababu inafaa serikali isikie mawazo ya Kanisa, kwani ni kwa njia ya Kanisa kwamba Mungu ameamua kufunua mapenzi yake. Mkristo anaweza kushiriki katika taratibu za kisiasa akijua ya kwamba mawazo na mipango yote ya siasa havidumu. Utakaodumu ni utaratibu wa Mungu tu.
|
20231101.sw_2236_59
|
https://sw.wikipedia.org/wiki/Agostino%20wa%20Hippo
|
Agostino wa Hippo
|
Ni kutokana na mafundisho hayo pia kwamba Kanisa la Magharibi lilijifunza umuhimu wa kuwa na msimamo imara mbele ya serikali mbalimbali kama ulivyojitokeza katika historia ndefu ya Kanisa, ingawa Agostino alijua jinsi Kaisari Theodosi alivyotubu kanisani baada ya askofu Ambrosi wa Milano kumtenga kwa sababu aliwatuza wanajeshi wa serikali yake walioua watu wengi ovyo walipotuliza fujo lililotokea katika mji wa Thesalonike. Watu wengi pamoja na Askofu walisikitikia tendo hilo. Baadaye Theodosi alipotaka kuingia katika ibada, Askofu huyo alimtangaza ametengwa kwa sababu ya kumwaga damu ya Wathesalonike, hivyo hawezi kushiriki meza ya Bwana. Kaisari akakubali kosa mbele ya umati. Hata baadaye viongozi wa Kanisa la magharibi wakafuata mara nyingi mfano wa Ambrosio na mafundisho ya Agostino.
|
20231101.sw_2236_60
|
https://sw.wikipedia.org/wiki/Agostino%20wa%20Hippo
|
Agostino wa Hippo
|
Kwa upande mmoja Kanisa lilijaribu kutawala jamii na serikali katika nchi za Ulaya. Lilidai sheria zote za serikali zifuate taratibu za Kanisa. Viongozi wa serikali walitakiwa kusimikwa na wale wa Kanisa. Hoja hiyo huitwa "Uklerikali" (clericalism).
|
20231101.sw_2236_61
|
https://sw.wikipedia.org/wiki/Agostino%20wa%20Hippo
|
Agostino wa Hippo
|
Nguvu ya kisiasa ya Kanisa ilifikia kilele chake mwanzoni mwa karne ya 13 wakati wa Papa Inosenti III, halafu ilizidi kupungua hadi kupingwa kabisa na mapinduzi mbalimbali ya Ulaya na Amerika (kuanzia mapinduzi ya Ufaransa 1789).
|
20231101.sw_2236_62
|
https://sw.wikipedia.org/wiki/Agostino%20wa%20Hippo
|
Agostino wa Hippo
|
Siku hizi wazo hili halipo tena lakini zamani lilileta matatizo mengi, kama vile ugandamizaji wa madhehebu tofauti na ya mtawala, na hata vita vya kidini.
|
20231101.sw_2236_63
|
https://sw.wikipedia.org/wiki/Agostino%20wa%20Hippo
|
Agostino wa Hippo
|
Agostino aliingiza pia hoja ya "vita halali" katika Ukristo uliowahi kukataa ukatili na vita kama dhambi dhidi ya Mungu. Agostino alieleza kwamba wakati mwingine vita ni halali, na kama ni halali ni wajibu wa Mkristo pia. Maelezo hayo yalitumiwa baadaye na watawala na wanasiasa Wakristo kwa kutetea vita vya kila aina.
|
20231101.sw_2236_64
|
https://sw.wikipedia.org/wiki/Agostino%20wa%20Hippo
|
Agostino wa Hippo
|
Lakini sehemu nyingine ya urithi huo imebaki: kazi ya Kanisa ya kuzitetea haki za binadamu, hata dhidi ya serikali inayoweza kuzigandamiza. Kwa mfano makanisa ndiyo yaliyopinga sana siasa ya ubaguzi wa rangi Marekani na Afrika ya Kusini, hata dhidi ya serikali zilizoutetea. Vilevile ni makanisa yanayotetea haki za wakimbizi katika nchi nyingi hata kama serikali zimeshachoka mzigo wa kupokea wageni maskini kutoka nchi jirani.
|
20231101.sw_2236_65
|
https://sw.wikipedia.org/wiki/Agostino%20wa%20Hippo
|
Agostino wa Hippo
|
Mwishoni tusifiche sehemu ya urithi wa Agostino iliyokuwa ngumu zaidi mpaka leo. Katika mikoa ya Afrika Kaskazini walikuwepo Wakristo wengi waliojitenga na Kanisa kubwa na kuanzisha madhehebu ya Wadonato. Agostino alijadiliana nao miaka mingi akijaribu kuwavuta warudi tena.
|
20231101.sw_2236_66
|
https://sw.wikipedia.org/wiki/Agostino%20wa%20Hippo
|
Agostino wa Hippo
|
Mwaka 411 B.K. serikali ya Kiroma ilitafuta shauri la Agostino katika suala la Wadonato kule Karthago na Numidia (Tunisia na Algeria). Serikali ilitaka kuwe na umoja wa kidini kati ya wananchi. Pia wapinzani wa utawala wa Roma huko Afrika Kaskazini walijiunga na Kanisa la Wadonato.
|
20231101.sw_2236_67
|
https://sw.wikipedia.org/wiki/Agostino%20wa%20Hippo
|
Agostino wa Hippo
|
Basi Agostino aliona kwamba Wadonato wameshika mafundisho ya uongo, akaogopa wataongoza waumini wao jehanamu. Akaona Kanisa lisiache wafundishe uongo (alivyoelewa mwenyewe), akaona vema kutumia nguvu ya serikali walazimishwe kurudi katika Kanisa kubwa.
|
20231101.sw_2236_68
|
https://sw.wikipedia.org/wiki/Agostino%20wa%20Hippo
|
Agostino wa Hippo
|
Mwenyewe hakukubali adhabu ya kifo kwa "wazushi" hao, lakini serikali ilichukua kibali chake cha kuingilia kati kama msingi wa kuwatesa vikali na kuwaua wengi. Wadonato walipoteswa hivi na serikali, Agostino akanyamaza, hakupinga.
|
20231101.sw_2236_69
|
https://sw.wikipedia.org/wiki/Agostino%20wa%20Hippo
|
Agostino wa Hippo
|
Mateso hayo ya Wakristo Wadonato chini ya serikali ya Kikristo mbele ya macho ya Kanisa Katoliki yaliendelea muda mrefu yakawa mwanzo wa mwisho wa Ukristo Afrika Kaskazini. Miaka mia mbili baadaye wanajeshi wa Waarabu Waislamu wakaingia huko, wakakuta Ukristo uliodhoofishwa (pia kutokana na dhuluma za Wavandali Waario dhidi ya Wakatoliki). Baada ya muda mfupi wenyeji wengi sana wa sehemu hizo wakaacha Ukristo wakajiunga na Uislamu.
|
20231101.sw_2236_70
|
https://sw.wikipedia.org/wiki/Agostino%20wa%20Hippo
|
Agostino wa Hippo
|
Tukiangalia hali ya Misri tunaona tofauti: huko Wakristo wakashika imani yao katika karne zote ingawa kwa matatizo makubwa chini ya serikali ya Kiislamu. Lakini katika sehemu ya Afrika Kaskazini-Magharibi nguvu za ndani za Ukristo zilivunjika wakati wa mateso hayo makali ya Wadonato (halafu ya Wakatoliki) kwa mikono ya Wakristo wenzao.
|
20231101.sw_2236_71
|
https://sw.wikipedia.org/wiki/Agostino%20wa%20Hippo
|
Agostino wa Hippo
|
Tatizo halikuishia Afrika Kaskazini. Agostino katika kitabu chake kimojawapo alitetea siasa ya ugandamizaji wa wazushi bila kuruhusu wauawe. Katika karne zilizofuata maandiko hayo yaliongoza sera ya Kanisa la magharibi dhidi ya wazushi kote Ulaya.
|
20231101.sw_2236_72
|
https://sw.wikipedia.org/wiki/Agostino%20wa%20Hippo
|
Agostino wa Hippo
|
Kanisa lilikubali wazo la kwamba wazushi wanapaswa kugandamizwa. Basi kwa karne nyingi Kanisa la magharibi likaendelea kuwagandamiza na kuwatesa Wakristo wasiokubali mafundisho yake au uongozi wake. Watu wakateswa, kuchomwa moto na kufungwa gerezani, yote hayo kwa idhini ya Kanisa.
|
20231101.sw_2236_73
|
https://sw.wikipedia.org/wiki/Agostino%20wa%20Hippo
|
Agostino wa Hippo
|
Hata madhehebu ya Uprotestanti kama Walutheri, Waanglikana na Wareformati yalitenda hivihivi baada ya kuwa dini rasmi ya serikali katika maeneo yao. Walifuata mfano uliowekwa wakati wa mgongano kati ya Kanisa kubwa na Wadonato huko Afrika Kaskazini katika karne ya 5.
|
20231101.sw_2236_74
|
https://sw.wikipedia.org/wiki/Agostino%20wa%20Hippo
|
Agostino wa Hippo
|
Bila shaka Agostino hakutegemea matokeo hayo lakini hata habari hizi za kuhuzunisha ni sehemu ya urithi wa mtu huyo ambaye kwa mengine tunamkumbuka kama mwalimu mkubwa wa Ukristo mzima.
|
20231101.sw_2236_75
|
https://sw.wikipedia.org/wiki/Agostino%20wa%20Hippo
|
Agostino wa Hippo
|
Mtu anataka kukusifu, yeye aliye sehemu ndogo ya viumbe vyako vyote, yeye anayetembea akielekea kifo, ushahidi wa dhambi yake,
|
20231101.sw_2236_76
|
https://sw.wikipedia.org/wiki/Agostino%20wa%20Hippo
|
Agostino wa Hippo
|
Hata hivyo mtu, sehemu ndogo ya viumbe vyako vyote, anataka kukusifu. Wewe unamchochea aonje furaha ya kukusifu,
|
20231101.sw_2236_77
|
https://sw.wikipedia.org/wiki/Agostino%20wa%20Hippo
|
Agostino wa Hippo
|
Confessiones (Maungamo) 397-398 - anamoeleza maisha yake pamoja na njia yake ya imani. Ni kitabu ambacho baada ya Biblia kilisomwa zaidi katika Karne za Kati
|
20231101.sw_2236_78
|
https://sw.wikipedia.org/wiki/Agostino%20wa%20Hippo
|
Agostino wa Hippo
|
Retractationes (Masahihisho) 426-428 - anamopitia maandiko yake ya awali akitaja mifano jinsi alivyobadilisha mawazo na hoja zake
|
20231101.sw_2236_79
|
https://sw.wikipedia.org/wiki/Agostino%20wa%20Hippo
|
Agostino wa Hippo
|
MT. AUGUSTINO, Kanuni– tafsiri ya Mapadri Waaugustino – ed. Benedictine Publications Ndanda Peramiho – Peramiho 1992 – ISBN 9976-67-059-1
|
20231101.sw_2236_80
|
https://sw.wikipedia.org/wiki/Agostino%20wa%20Hippo
|
Agostino wa Hippo
|
M. CULLEN, O.S.A., Maungamo ya Mtakatifu Augustino kwa Muhtasari – tafsiri ya E. Msigala, O.S.A. - ed. Benedictine Publications Ndanda Peramiho – Ndanda – ISBN 9976-63-643-1
|
20231101.sw_2236_81
|
https://sw.wikipedia.org/wiki/Agostino%20wa%20Hippo
|
Agostino wa Hippo
|
M. CULLEN, O.S.A., Mtakatifu Monika: Mlinzi wa Akina Mama Wakristu – tafsiri ya E. Msigala, O.S.A. - ed. Benedictine Publications Ndanda Peramiho – Ndanda 2002 – ISBN 9976-63-641-5
|
20231101.sw_2236_82
|
https://sw.wikipedia.org/wiki/Agostino%20wa%20Hippo
|
Agostino wa Hippo
|
Règle de St. Augustin pour les religieuses de son ordre; et Constitutions de la Congrégation des Religieuses du Verbe-Incarné et du Saint-Sacrament (Lyon: Chez Pierre Guillimin, 1662), pp. 28–29. Cf. later edition published at Lyon (Chez Briday, Libraire,1962), pp. 22–24. English edition, (New York: Schwartz, Kirwin, and Fauss, 1893), pp. 33–35.
|
20231101.sw_2236_83
|
https://sw.wikipedia.org/wiki/Agostino%20wa%20Hippo
|
Agostino wa Hippo
|
Pagels, Elaine Adam, Eve, and the Serpent: Sex and Politics in Early Christianity Vintage Books (Sep 19 1989) ISBN 0-679-72232-7
|
20231101.sw_2236_84
|
https://sw.wikipedia.org/wiki/Agostino%20wa%20Hippo
|
Agostino wa Hippo
|
Augustine of Hippo edited by James J. O'Donnell – texts, translations, introductions, commentaries, etc.
|
20231101.sw_2236_85
|
https://sw.wikipedia.org/wiki/Agostino%20wa%20Hippo
|
Agostino wa Hippo
|
Aurelius Augustinus at "IntraText Digital Library" – texts in several languages, with concordance and frequency list
|
20231101.sw_2236_86
|
https://sw.wikipedia.org/wiki/Agostino%20wa%20Hippo
|
Agostino wa Hippo
|
City of God, Confessions, Enchiridion, Doctrine audio books* St. Augustinus | Augustine of Hippo – a site dedicated to the life and teaching of the doctor of the Catholic Church.
|
20231101.sw_2237_0
|
https://sw.wikipedia.org/wiki/Wavandali
|
Wavandali
|
Wavandali walikuwa kabila kubwa la Kigermanik la mashariki ambao katika karne tano za kwanza BK walihama kutoka sehemu za Poland ya leo hadi Afrika ya Kaskazini wakiunda Ufalme wao katika maeneo ya Algeria na Tunisia ya leo, pamoja na kutawala visiwa vya Mediteraneo magharibi.
|
20231101.sw_2237_1
|
https://sw.wikipedia.org/wiki/Wavandali
|
Wavandali
|
Kutoka Hispania ya Kusini walivuka bahari ya Mediteraneo mwaka 429 na kuingia Afrika ya Kaskazini iliyokuwa jimbo la Dola la Roma.
|
20231101.sw_2237_2
|
https://sw.wikipedia.org/wiki/Wavandali
|
Wavandali
|
Kuna taarifa ya jemadari Mroma wa wakati ule ya kwamba walikuwa jumla ya wanaume wenye silaha kati ya 15,000 hadi 20,000, kwa hiyo pamoja na familia zao takriban watu 80,000.
|
20231101.sw_2237_3
|
https://sw.wikipedia.org/wiki/Wavandali
|
Wavandali
|
Wavandali waliteka Afrika ya Kaskazini yote iliyokuwa jimbo tajiri sana katika Dola la Roma likilimwa sehemu kubwa ya ngano kwa ajili ya mahitaji ya Italia.
|
20231101.sw_2237_4
|
https://sw.wikipedia.org/wiki/Wavandali
|
Wavandali
|
Mwaka 430 waliteka mji wa Hippo, maarufu kutokana na askofu wake Agostino, ambao ukawa makao makuu ya mfalme wao Genseriki.
|
20231101.sw_2237_5
|
https://sw.wikipedia.org/wiki/Wavandali
|
Wavandali
|
Mwaka 439 waliteka pia mji wa Karthago na mfalme akaufanya mji wake mkuu. Uvamizi wa Karthago uliwapatia Wavandali pia jahazi nyingi za kijeshi za Waroma. Hali hiyo iliwawezesha kushambulia hata mji wenyewe wa Roma mwaka 455, lakini hawakukaa, ila baada ya kuuvamia na kuuharibu walirudi Afrika.
|
20231101.sw_2237_6
|
https://sw.wikipedia.org/wiki/Wavandali
|
Wavandali
|
Ufalme wa Wavandali ulidumu karibu karne moja. Wakati wa madhehebu ya Waario, walitesa vikali Wakristo wenzao Wakatoliki.
|
20231101.sw_2237_7
|
https://sw.wikipedia.org/wiki/Wavandali
|
Wavandali
|
Katika karne ya 6 Kaisari Justiniani I wa Bizanti (Roma ya Mashariki) alimaliza utawala wao akivamia Afrika ya Kaskazini na kuirudisha katika Dola la Roma tangu mwaka 534.
|
20231101.sw_2237_8
|
https://sw.wikipedia.org/wiki/Wavandali
|
Wavandali
|
Blume, Mary. "Vandals Exhibit Sacks Some Cultural Myths", International Herald Tribune, August 25, 2001.
|
20231101.sw_2237_9
|
https://sw.wikipedia.org/wiki/Wavandali
|
Wavandali
|
Clover, Frank M: The Late Roman West and the Vandals. Aldershot 1993 (Collected studies series 401), ISBN 0-86078-354-5
|
20231101.sw_2237_10
|
https://sw.wikipedia.org/wiki/Wavandali
|
Wavandali
|
Die Vandalen: die Könige, die Eliten, die Krieger, die Handwerker. Publikation zur Ausstellung "Die Vandalen"; eine Ausstellung der Maria-Curie-Sklodowska-Universität Lublin und des Landesmuseums Zamość ... ; Ausstellung im Weserrenaissance-Schloss Bevern ... Nordstemmen 2003. ISBN 3-9805898-6-2
|
20231101.sw_2237_11
|
https://sw.wikipedia.org/wiki/Wavandali
|
Wavandali
|
Guido M. Berndt, Konflikt und Anpassung: Studien zu Migration und Ethnogenese der Vandalen (Historische Studien 489, Husum 2007), ISBN 978-3-7868-1489-4.
|
20231101.sw_2237_12
|
https://sw.wikipedia.org/wiki/Wavandali
|
Wavandali
|
Hans-Joachim Diesner: Vandalen. In: Paulys Realencyclopädie der class. Altertumswissenschaft (RE Suppl. X, 1965), S. 957-992.
|
20231101.sw_2237_13
|
https://sw.wikipedia.org/wiki/Wavandali
|
Wavandali
|
Ivor J. Davidson, A Public Faith, Chapter 11, Christians and Barbarians, Volume 2 of Baker History of the Church, 2005, ISBN 0-8010-1275-9
|
20231101.sw_2237_14
|
https://sw.wikipedia.org/wiki/Wavandali
|
Wavandali
|
Lord Mahon Philip Henry Stanhope, 5th Earl Stanhope, The Life of Belisarius, 1848. Reprinted 2006 (unabridged with editorial comments) Evolution Publishing, ISBN 1-889758-67-1. Evolpub.com
|
20231101.sw_2237_15
|
https://sw.wikipedia.org/wiki/Wavandali
|
Wavandali
|
Pierre Courcelle: Histoire littéraire des grandes invasions germaniques. 3rd edition Paris 1964 (Collection des études Augustiniennes: Série antiquité, 19).
|
20231101.sw_2237_16
|
https://sw.wikipedia.org/wiki/Wavandali
|
Wavandali
|
Roland Steinacher: Vandalen - Rezeptions- und Wissenschaftsgeschichte. In: Hubert Cancik (Hrsg.): Der Neue Pauly, Stuttgart 2003, Band 15/3, S. 942-946, ISBN 3-476-01489-4.
|
20231101.sw_2237_17
|
https://sw.wikipedia.org/wiki/Wavandali
|
Wavandali
|
Roland Steinacher: Wenden, Slawen, Vandalen. Eine frühmittelalterliche pseudologische Gleichsetzung und ihr Nachleben bis ins 18. Jahrhundert. In: W. Pohl (Hrsg.): Auf der Suche nach den Ursprüngen. Von der Bedeutung des frühen Mittelalters (Forschungen zur Geschichte des Mittelalters 8), Wien 2004, S. 329-353. Uibk.ac.at
|
20231101.sw_2237_18
|
https://sw.wikipedia.org/wiki/Wavandali
|
Wavandali
|
Stefan Donecker; Roland Steinacher, Rex Vandalorum - The Debates on Wends and Vandals in Swedish Humanism as an Indicator for Early Modern Patterns of Ethnic Perception, in: ed. Robert Nedoma, Der Norden im Ausland - das Ausland im Norden. Formung und Transformation von Konzepten und Bildern des Anderen vom Mittelalter bis heute (Wiener Studien zur Skandinavistik 15, Wien 2006) 242-252. Uibk.ac.at
|
20231101.sw_2237_19
|
https://sw.wikipedia.org/wiki/Wavandali
|
Wavandali
|
Walter Pohl: Die Völkerwanderung. Eroberung und Integration. Stuttgart 2002, S. 70-86, ISBN 3-17-015566-0.
|
20231101.sw_2237_20
|
https://sw.wikipedia.org/wiki/Wavandali
|
Wavandali
|
Yves Modéran: Les Maures et l'Afrique romaine. 4e.-7e. siècle. Rom 2003 (Bibliothèque des Écoles françaises d'Athènes et de Rome, 314), ISBN 2-7283-0640-0.
|
20231101.sw_2238_0
|
https://sw.wikipedia.org/wiki/Tunisia
|
Tunisia
|
Tunisia (kirefu: Jamhuri ya Tunisia - kwa Kiarabu الجمهرية التونسية, al-Jumhūrīya at-Tūnisīya) ni nchi ya Afrika ya Kaskazini inayopakana na Bahari ya Mediteranea, Libya na Algeria.
|
20231101.sw_2238_1
|
https://sw.wikipedia.org/wiki/Tunisia
|
Tunisia
|
Wakazi karibu wote (98%) wanajiita Waarabu na hutumia lugha ya Kiarabu ambacho ndicho lugha rasmi. Hata hivyo damu yao ni mchanganyiko hasa wa ile ya Waberber, Waarabu na Waturuki.
|
20231101.sw_2238_2
|
https://sw.wikipedia.org/wiki/Tunisia
|
Tunisia
|
Takriban watu 200,000, hasa kusini, wanaendelea kuzungumza Kiberber ambacho ni lugha asili ya wenyeji lakini Waberber wengi wamezoea kutumia Kiarabu.
|
20231101.sw_2238_3
|
https://sw.wikipedia.org/wiki/Tunisia
|
Tunisia
|
Upande wa dini, Uislamu unafuatwa na asilimia 99 za wakazi, nao ndio dini rasmi, lakini theluthi moja kati yao, na nusu kati ya vijana, wanajitambulisha kama wasio na dini, kiwango kikubwa kuliko nchi zote za Kiarabu. Waliobaki ni Wakristo, hasa Wakatoliki, na Wayahudi wachache.
|
20231101.sw_2239_0
|
https://sw.wikipedia.org/wiki/Historia%20ya%20Kiswahili
|
Historia ya Kiswahili
|
Neno Swahili lina asili ya Kiarabu: Sahil ina maana ya pwani; sawahil ’’as-sawāhilī’’ (السواحلي) ni wingi wake kwa kumaanisha yote yanayohusiana na pwani, watu au utamaduni wa eneo la pwani.
|
20231101.sw_2239_1
|
https://sw.wikipedia.org/wiki/Historia%20ya%20Kiswahili
|
Historia ya Kiswahili
|
Utafiti umeonyesha kwamba vyanzo vya Kiswahili vilikuwa katika lugha za jamii ya wakulima Wabantu waliofika kwenye pwani za Bahari Hindi; wataalamu hutofautiana wakiona asili hiyo ama kwenye mpaka wa Kenya na Somalia au Kenya na Tanzania za leo. Wasemaji wa kwanza walikuwa karibu na wasemaji wa Kipokomo, Kimijikenda na Kikomori.
|
20231101.sw_2239_2
|
https://sw.wikipedia.org/wiki/Historia%20ya%20Kiswahili
|
Historia ya Kiswahili
|
Mababu hao wa Waswahili wa baadaye waliunda vijiji kwenye pwani ilhali chakula chao kilikuwa hasa samaki na kome. Walijifunza kusafiri baharini wakaanza kushiriki katika biashara iliyoendelea kwenye pwani za Bahari Hindi tangu miaka kabla ya Kristo. Mfumo wa upepo wa monsuni unawezesha safari za mbali kwa kutumia vyombo sahili kwa kufuata upepo kutoka kaskazini kuelekea kusini, kusubiri huko hadi kugeuka kwa upepo na kurudi tena. Mnamo mwaka 800 BK Unguja Ukuu (kusini mwa mji wa Zanzibar) ilikuwa kitovu cha biashara ya kimataifa kwenye maeneo ya Tanzania ya leo.
|
20231101.sw_2239_3
|
https://sw.wikipedia.org/wiki/Historia%20ya%20Kiswahili
|
Historia ya Kiswahili
|
Pamoja na wafanyabiashara kutoka nchi za Kiislamu kufika kusini, watu wa pwani walisafiri wenyewe hadi Uarabuni na Bara Hindi; hapo waliweza kujiunga na Uislamu ambako kulileta faida mbalimbali: walikingwa zaidi wasikamatwe kuwa watumwa (iliyokuwa vigumu zaidi ukiwa Mwislamu), walikubaliwa kama washirikiki katika mfumo wa biashara iliyokingwa na sheria za Kiislamu. Vilevile wafanyabiashara kutoka kaskazini walikuwa salama zaidi wakikaa miezi kadhaa kwenye miji iliyotokea ikifuata desturi za Kiislamu. Misikiti ilianza kujengwa kwenye makazi ya pwani na vijiji vilibadilika kuwa miji.
|
20231101.sw_2239_4
|
https://sw.wikipedia.org/wiki/Historia%20ya%20Kiswahili
|
Historia ya Kiswahili
|
Kiswahili kilienea kama lugha ya miji na bandari za biashara ya kimataifa kwenye pwani ya Afrika ya Mashariki. Lahaja za Kiswahili ziliendelea tofauti kiasi kutokana na athira ya lugha za majirani tofauti kwenye kanda ndefu ya pwani; wataalamu wanaona makundi ya lahaja za kaskazini (pwani za Kenya na Somalia) na lahaja za kusini (pwani za Tanzania na Msumbiji). Kufuatana na biashara na dini lahaja zote zilipokea maneno ya Kiarabu kwa viwango tofauti; katika Kiswahili sanifu cha kisasa chenye asili katika lahaja ya Unguja kiasi hicho hukadiriwa takriban theluthi moja ya maneno yote.
|
20231101.sw_2239_5
|
https://sw.wikipedia.org/wiki/Historia%20ya%20Kiswahili
|
Historia ya Kiswahili
|
Kuna masimulizi kuhusu vyanzo vya miji kama vile Kilwa, Lamu ambamo miji hiyo ilianzishwa na wakimbizi kutoka Uajemi, hasa kutoka Shiraz, waliooa wenyeji. Hadi leo wenyeji wengine wa pwani na funguvisiwa la Zanzibar hujiita "Washirazi". Siku hizi wataalamu wengi hukubaliana kwamba masimulizi hayo si taarifa ya kihistoria ila visasili. Hata hivyo, utafiti wa DNA ya mifupa ya watu 80 iliyopatikana kwenye makaburi ya miji ya Waswahili kuanzia kisiwa cha Manda, Faza na Mtwapa huko Kenya hadi Kilwa, Songo Mnara na Lindi kusini mwa Tanzania, umeonyesha kwamba sampuli nyingi zilizochunguzwa zilitokana na watu waliozaliwa na mababu wa mchanganyiko kati ya wanaume Waajemi (kutoka Iran) na wanawake Waafrika.
|
20231101.sw_2239_6
|
https://sw.wikipedia.org/wiki/Historia%20ya%20Kiswahili
|
Historia ya Kiswahili
|
Utamaduni mpya ulijitokeza uliokuwa wa Kiafrika na wa Kiislamu ukajielewa kuwa sehemu ya dunia ya Uislamu. Hivyo Kiswahili kilizaliwa kuwa lugha ya Kibantu kilichopokea maneno mengi ya asili ya nje.
|
20231101.sw_2239_7
|
https://sw.wikipedia.org/wiki/Historia%20ya%20Kiswahili
|
Historia ya Kiswahili
|
Lugha iliandikwa kwa herufi za Kiarabu tangu karne ya 13 BK. Kwa bahati mbaya leo hatuna tena maandiko ya kale sana, kutokana na hali ya hewa kwenye pwani isiyosaidia kutunza karatasi na kurasa zenyewe zinaweza kuoza kutokana na unyevu hewani pamoja na wadudu wengi walioko katika mazingira ya pwani.
|
20231101.sw_2239_8
|
https://sw.wikipedia.org/wiki/Historia%20ya%20Kiswahili
|
Historia ya Kiswahili
|
Lakini maandiko ya kale yanayopatikana kutoka karne ya 17 huonyesha ya kwamba tenzi na mashairi vinafuata muundo uliotangulia maandiko yenyewe kwa karne kadhaa. Sehemu kubwa ya maandiko ya kale ni tenzi yaani mashairi yenye aya maelfu. Tenzi ndefu kabisa inahusu kifo cha Mtume Muhamad ikiwa na aya 45,000.
|
20231101.sw_2239_9
|
https://sw.wikipedia.org/wiki/Historia%20ya%20Kiswahili
|
Historia ya Kiswahili
|
Kiswahili kimepokewa kwa urahisi na wenyeji kwa sababu walikosa lugha ya pamoja kati yao, lugha za Kibantu ziko karibu sana na athira ya Kiarabu ilikuwa kilekile kote pwani. Haya yote yalisaidia kujenga umoja wa Kiswahili katika eneo kubwa la pwani ya Afrika ya Mashariki.
|
20231101.sw_2239_10
|
https://sw.wikipedia.org/wiki/Historia%20ya%20Kiswahili
|
Historia ya Kiswahili
|
Kufika kwa Wareno huko Afrika ya Mashariki kuanzia mwaka 1500 kulileta athira mpya ikiwa maneno kadhaa ya Kireno yameingia katika Kiswahili kama vile "bendera", "gereza" na "meza".
|
20231101.sw_2239_11
|
https://sw.wikipedia.org/wiki/Historia%20ya%20Kiswahili
|
Historia ya Kiswahili
|
Kuwepo kwa wafanyabiashara Wahindi katika miji mikubwa ya pwani kuliingiza pia maneno ya asili ya Kihindi katika lugha kama vile "lakhi", "gunia" n.k. Athira ya lugha za Kihindi iliongezeka kiasi baada ya Waingereza kutumia Wahindi wengi kujenga reli ya Uganda.
|
20231101.sw_2239_12
|
https://sw.wikipedia.org/wiki/Historia%20ya%20Kiswahili
|
Historia ya Kiswahili
|
Kiswahili kilitumika kama lugha ya biashara baina ya watu wa pwani na bara katika kanda ndefu sana kutoka Somalia hadi Msumbiji wa Kaskazini. Wafanyabiashara Waswahili waliendeleza biashara ya misafara hadi Kongo.
|
20231101.sw_2239_13
|
https://sw.wikipedia.org/wiki/Historia%20ya%20Kiswahili
|
Historia ya Kiswahili
|
Kiswahili kiliendelea kuenea kwenye njia za misafara hii. Kila msafara ulihitaji watu mamia hadi maelfu wa kubeba mizigo ya biashara kutoka pwani hadi pale msafara ulipolenga hata Ziwa Tanganyika. Watu hawa wote walisambaza matumizi ya Kiswahili katika sehemu za ndani.
|
20231101.sw_2239_14
|
https://sw.wikipedia.org/wiki/Historia%20ya%20Kiswahili
|
Historia ya Kiswahili
|
Lakini katika maeneo fulani biashara hii ilijenga pia kizuizi. Watu kama Waganda waliona Kiswahili ni lugha ya Waislamu tena lugha ya biashara ya watumwa; hivyo hadi leo ni wagumu kukubali Kiswahili.
|
20231101.sw_2239_15
|
https://sw.wikipedia.org/wiki/Historia%20ya%20Kiswahili
|
Historia ya Kiswahili
|
Wamisionari Wakristo wa awali, kama Ludwig Krapf, Edward Steere na A.C. Madan, walifanya utafiti wa lugha na kutunga kamusi na sarufi za kwanza pamoja na kuunda mfumo wa kuandika Kiswahili kwa herufi za Kilatini.
|
20231101.sw_2239_16
|
https://sw.wikipedia.org/wiki/Historia%20ya%20Kiswahili
|
Historia ya Kiswahili
|
Karne ya 19 ilileta utawala wa kikoloni. Wakoloni walitangulia kufika katika bandari za pwani wakatumia mara nyingi makarani, askari na watumishi kutoka eneo la pwani wakijenga vituo vyao barani. Watu hao walieneza Kiswahili pande za bara.
|
Subsets and Splits
No community queries yet
The top public SQL queries from the community will appear here once available.